Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
yupo mme wangu, usimtaje taje atajing'ata. Hivi wewe ndio figanigga.?
msalimie. Mimi ni Mtei.
Kausha.
Mia
yupo mme wangu, usimtaje taje atajing'ata. Hivi wewe ndio figanigga.?
Nipo, umepotelea wapi?
Asante sana..napenda madereva tax waaminifu kama wewe. Kesho uje mapema kumpeleka house girl wangu sokoni.
Unagwaiwa hivo
sijui ulimwambia achana na mimi?
Hahahaha! Tukiwa huku tumesameheana Rejao, kule panatia uchungu bana.Halafu nina bifu na wewe....this time mpaka kikao cha ndugu kiamue..
Nipo humuhumu.
vp pacha? U hali gani? Napga cmu yako haipatikani. Nini tatizo? Au ndo Ashura wa Makumbusho keshaiteka?
Labda una senene?
Anaogopa kuomba
shem mi mzima, mi kiukweli koni nazipenda sana na huwa natenga budget yake kila wiki. Lol.
Shem ninavyokupenda nikugwaye!! Si bora nijiuzulu jf.
Unajua leo ni zamu yako?beee, niko hapa Rejjy.
Aombe kwani kanisani hapa?
Pasaka hii..nimeshawaambia waandae beberu na mbege ya kutosha. Lazima tukuweke kitimoto. Mambo ya kupingana na kaka yako publicly hatutayavumilia kabisa.Hahahaha! Tukiwa huku tumesameheana Rejao, kule panatia uchungu bana.
Nakupenda sana tukikutana chit chat na mmu! Wewe ni ndugu yangu wa damu hilo halina ubishi lol.
Haya nambie lini utakuja nyumbani tusuluhishwe?
Mbona hatukutani?
Pacha niko murua...kuna kifaa kipo ilala...kule kwa wasomali...si unajua kuna mtu alikuja humu akatangaza soko!...nimeamua kwenda kushuhudia...gulioni katerero!
hivi kwenye send-off yako sikukuletea kile kibaiskel cha Azam?nimeshasahau...
nimeshaawambia wekeni kibonyezeo cha DISLIKE...hamtaki...haya maswali yote yangekua yamejibika by nw!
mi pia sijui swahiba, naona mtei anatumia trademark ya mzee wa mia, labda wana uhusiano.
Vp umefanikiwa? Next tym unipe info.