tatizo shem wangu wewe huwa hutimizi ahadi. Shem erick aliahidi jiko la gesi na tumelipata. Safari hii kibaskeli cha koni kisipofika nakifata mwenyewe.
...kuna huyu mrembo anajiita ..."AMYNER".... Im jus driven into her...
@bishanga, mimi kuna mtu mmoja tu ndio aliwahi kuniuzi tangu nijoin jf, kiukweli nilimgwaya ila mwisho wa siku tuliongea yakaisha.
Ahsanteni wote ambao mnaona siwagwayi! Lol, ninaemgwaya itabidi ajibebe maana sina namna ya kumfurahisha.
Nimetoa la moyoni.
mi pia sijui swahiba, naona mtei anatumia trademark ya mzee wa mia, labda wana uhusiano.
usijali pacha...afu nimehamia gari kubwa...hivi una Airtel yangu?hii mpaya achana na ile inayoishia na 10
We nae acha ushambenga,ugomvi kwa jirani unakuhusu nini?
Sleep well na nakutakia Pasaka njema (genuinely from the bottom of my heart).