Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

...accoplished? Huna haja ya kuandika Kiingereza kwa papara. Unafikiri google ndio kila kitu? Hapa tunafananisha wapiga solo. Tosh alikuwa mpiga solo?
Hujui kitu .....nimekwambia kama ww ni mvivu at least nenda google....otherwise ....nikupe vitabu ....vinavyozungumzia historia ya Tosh .....sio unapinga kizembe.....Tosh baba yake alikuwa ni mchungaji wa kanisa.....yy alianza kuimba na kupiga gitaa kanisani at the age of 5.....anzia hapo....alafu tafuta reccomendations za wanamuziki wengi wa Marekani waalimu wa muziki uingereza ....(he is aclaimed to be one of the best guitarist ever happen on earth) ukianzia na Lone Rich kuhusu upigaji wa gita wa Tosh....kwako ww Tosh unayemfahamu ni yule aliyeimba na Bob Marley tu...nje ya hapo humjui...there is alot to tell about this fella
 
wote wakali ila diblo anatisha kwenye keys,kwenye extra ball ya loketo hakurudia mpigo hata mmoja,kila akibadilisha pigo ni jipya,wataalam wanakwambia alibadili nyuzi mara 32,matchatcha kulikuwa na nyekese,mle gita linalia over limo mumayi
 
Huna lolote. Nimekuwa mwanamuziki kwa zaidi ya miaka thelathini na tano kwa hiyo ninafahamu ninachoongea. Sisimuliwi na mtu. Huwezi kumfananisha Tosh na wapiga solo mahiri wa Congo, kwa mfano Dally na Diblo, kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa anapiga rhythm guitar na sio solo (labda hujui tofauti). Mpiga solo mahiri toka Jamaica enzi hizo alikuwa Junior Marvin, na bado anaendelea kwa sasa. Tosh hamfikii hata chembe mpiga rhythm Lokassa ya Mbongo. Yaani ukijiita ras ndio unaona umekuwa bingwa wa reggae na historia yake? Tosh alikuwa mpiga guitar wa kawaida sana. Heshima kubwa aliyokuwa nayo Tosh ni katika utunzi, uimbaji na uanaharakati, hilo sibishi. Wewe inaonekana ni mtu wa kusimuliwa, ndio maana unakimbilia google kupata historia. Nimeishi enzi za Tosh na Bob sihitaji kusimuliwa.
 
Hao wote wawili ni mafundi wa kupiga magitaa ya solo na vyombo vingine vya mziki huko jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Congo, ingawa kwenyewe hakuna demokrasia. Sasa kumekuwa na ubishi hapa kijiweni hali iliyopelekea mvutano wa kimawazo baina ya pande zote mbili! Hivyo basi kwa sisi tunaopendelea mziki huu wa lingala, soukus,bolingo, nk.tuna maoni gani kwa wawili Hawa! Je, nani zaidi kati yao? Pia unaweza ukataka wimbo ambao unaona kila mmoja alifanya vizuri.
umenikuna ila daliki moko ni noma
 
hahaa acha kabisa rapa akishaita Daliiiki Mookoo sikilizia mpini unavovutwa hapo , wanamuita mchawi wa gitaa la solo!
 
Daah wote ni noma mm sipigi kura hapo maana itaniuma kumpigia mmoja.Woote kiukweli na kazi kazi.
 
Huna lolote. Nimekuwa mwanamuziki kwa zaidi ya miaka thelathini na tano kwa hiyo ninafahamu ninachoongea. Sisimuliwi na mtu. Huwezi kumfananisha Tosh na wapiga solo mahiri wa Congo, kwa mfano Dally na Diblo, kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa anapiga rhythm guitar na sio solo (labda hujui tofauti). Mpiga solo mahiri toka Jamaica enzi hizo alikuwa Junior Marvin, na bado anaendelea kwa sasa. Tosh hamfikii hata chembe mpiga rhythm Lokassa ya Mbongo. Yaani ukijiita ras ndio unaona umekuwa bingwa wa reggae na historia yake? Tosh alikuwa mpiga guitar wa kawaida sana. Heshima kubwa aliyokuwa nayo Tosh ni katika utunzi, uimbaji na uanaharakati, hilo sibishi. Wewe inaonekana ni mtu wa kusimuliwa, ndio maana unakimbilia google kupata historia. Nimeishi enzi za Tosh na Bob sihitaji kusimuliwa.
Baki hivyo hivyo na uelewa wako batili
 
Hivi aliyepiga kwenye nyimbo za yondo sister ni nani?
Nadhani huyo ndo yuko juu
Mkuu kama hujui muziki bora uwe kimya,kuna nyimbo zilikuwa kali kuluko hata za yondo,kuna wasanii kana FEDE LAWU,ALAIN KOUNKOU,FREDE MAJUNGA,JEAN BARON,TCHIKOTCKAYA,SHIMITA,AUROUS MABELE,SOUKOUS STARS,n.k ,kwa uchache tu hao,na wote wamepigiwa solo na diblo dibala,acha kukariri mambo
 
wote wakali ila diblo anatisha kwenye keys,kwenye extra ball ya loketo hakurudia mpigo hata mmoja,kila akibadilisha pigo ni jipya,wataalam wanakwambia alibadili nyuzi mara 32,matchatcha kulikuwa na nyekese,mle gita linalia over limo mumayi
Gitaa kama liko kwenye maji, lakini Extra Ball siyo mchezo
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Nawapa Credit wote wawili.
Je hawa watatu wako hai na kama wako hai wako nchi gani?
1.Dally Kimoko
2.Diblo Dibala
3.Ngouma Lokito
Lakini je hawa nao wa kundi la Soukouss Stars wako wapi?
1.Shimita
2.Balu Canta
3.Salhdin
4.
 
yondo kusala
lucien bokilo
 
Back
Top Bottom