Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,469
- 2,207
Ukipenda pitia na Tres impol ni nzuri sana kwa jinsi alivyokua anakemea watu wenye tabia mbaya.Ndio mkuu.ni Franco Luambo Makiadi na band yake ya T-p Ok Jazz miaka ya 1985 bila kukosea mkuu
Ukipenda pitia na Tres impol ni nzuri sana kwa jinsi alivyokua anakemea watu wenye tabia mbaya.Ndio mkuu.ni Franco Luambo Makiadi na band yake ya T-p Ok Jazz miaka ya 1985 bila kukosea mkuu
Dah ukipata mwanamke kama mamou ni bora umrudishe kwao, ana kiwango cha usaliti cha hali ya juu.Ndio mkuu.ni Franco Luambo Makiadi na band yake ya T-p Ok Jazz miaka ya 1985 bila kukosea mkuu
Zangali Makiadi Ipopolipo Zaliko- BeniiiiiikoooooHivi yule Deniko aliekuwa anapiga Gitaa kwa Koffii na Madilu yupo wapi siku hizi maana jamaa nae anaweza si mchezo.
Mboka manyemaAaah umenirudisha (mboka) nyumbani,,woooote hao ni balaa
Du daliki moko naona balaa wewe angalia Ile solo aliyoichalaza kwenye wimbo wa awilo longomba tubwiza tubwiza, au angalia in the morning ya Kanda bongo man hapo ndio utajua daliki moja hatari
Kaka nenda YouTube soma historia ya Tosh utagundua kwamba alikuwa anapiga kila chombo,yeye alikuwa mtunzi na mwongozaji kwamba wewe utapiga hivi huyu atapiga hivi na pamoja na uimbaji ukiangalia wimbo wake wa eaqalrights utaona anaacha kuimba anapiga ngoma wimbo wa stir it up akishirikiana na Bob Tosh aliimba na kupiga soloTosh hakuwa mpiga solo guitar. Na pia huwezi kumfananisha Tosh na Dally au Diblo kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa mtunzi mzuri na muimbaji mpambanaji, lakini sio mahiri kwa kukung'uta gitaa. Luambo Luanzo Makiadi alikuwa anapiga gitaa mpaka inalia kama iko ndani ya mayi. Na tusimsahau Dr. Nico Kasanda wa Mpallay, mmoja wa waasisi wa taasisi.
Aisee nirudie mara ngapi? Hii haimfanyi Tosh kuwa mpiga solo. Wanamuziki (wapiga ala) wengi wanaweza kugusa chombo zaidi ya kimoja. Hii ni kawaida kwenye muziki wa dansi. Na nimekuambia sina haja ya You Tube. Nimeishi kabla na baada ya kundi original la The Wailers (Bob, Tosh na Bunny); kwa hiyo ninaijua historia.Kaka nenda YouTube soma historia ya Tosh utagundua kwamba alikuwa anapiga kila chombo,yeye alikuwa mtunzi na mwongozaji kwamba wewe utapiga hivi huyu atapiga hivi na pamoja na uimbaji ukiangalia wimbo wake wa eaqalrights utaona anaacha kuimba anapiga ngoma wimbo wa stir it up akishirikiana na Bob Tosh aliimba na kupiga solo
Ila hawa jamaa kina Dalii Kimoko na Diblo Dibala ni wakali kwa muziki wa kwetu lingala,Luambo Lwanzo Makiadii Franco nae alikuwa muimbaji na mpiga solo mzuri nimekumbuka enzi ya jois wowowo
mwambia hivi labda kama anamzungumzia Junior Marvin katika kundi la Bob Marley and the wailers yeye ndio alikuwa anacharaza guitar, anachiwa ukumbi mbele anapiga mpaka magoti anapagawisha mashabiki. na akitaka kujionea statute live concert ya Bob Marley London rainbow ya mwaka 1977. mle jamaa kafanya yake, kuna nyimbo kama heathen, live up your self nk. lakini akiniambia Tosh katuongopea.Huna lolote. Nimekuwa mwanamuziki kwa zaidi ya miaka thelathini na tano kwa hiyo ninafahamu ninachoongea. Sisimuliwi na mtu. Huwezi kumfananisha Tosh na wapiga solo mahiri wa Congo, kwa mfano Dally na Diblo, kwa vyovyote vile. Tosh alikuwa anapiga rhythm guitar na sio solo (labda hujui tofauti). Mpiga solo mahiri toka Jamaica enzi hizo alikuwa Junior Marvin, na bado anaendelea kwa sasa. Tosh hamfikii hata chembe mpiga rhythm Lokassa ya Mbongo. Yaani ukijiita ras ndio unaona umekuwa bingwa wa reggae na historia yake? Tosh alikuwa mpiga guitar wa kawaida sana. Heshima kubwa aliyokuwa nayo Tosh ni katika utunzi, uimbaji na uanaharakati, hilo sibishi. Wewe inaonekana ni mtu wa kusimuliwa, ndio maana unakimbilia google kupata historia. Nimeishi enzi za Tosh na Bob sihitaji kusimuliwa.
Jamaa wanataka kulazimisha kuwa Tosh alikuwa mpiga solo. Sijui wameipata wapi hii hadithi.mwambia hivi labda kama anamzungumzia Junior Marvin katika kundi la Bob Marley and the wailers yeye ndio alikuwa anacharaza guitar, anachiwa ukumbi mbele anapiga mpaka magoti anapagawisha mashabiki. na akitaka kujionea statute live concert ya Bob Marley London rainbow ya mwaka 1977. mle jamaa kafanya yake, kuna nyimbo kama heathen, live up your self nk. lakini akiniambia Tosh katuongopea.
sio kweli, tosh mtoe hapo, hata katika kundi la Bob Marley and the wailers mpigaji mahili alikuwa Junior Marvin, huyu ndio alikuwa anachiwa sebure pekee yake anapiga guitar mpaka unafurahi. yaani jamaa alikuwa sumuDuniani kuna wapiga gita watatu wazuri waliopata kutokea (guitarist).....Tosh.....Diblo...na mzungu mmoja ...jina nimemsahau....waulize watu wa magitaa ...watakwambia vizuri
Sema tu mi sijajua kusend hizi videos ningewatupia hapa labda kama alikusudia kumzungumzia Junior Marvin, watu siku hizi anaamini sana Google wanabishana na watu ambao wameshuhudia kipindi cha muziki ukiwa ni muziki kweli.Jamaa wanataka kulazimisha kuwa Tosh alikuwa mpiga solo. Sijui wameipata wapi hii hadithi.
Sema tu mi sijajua kusend hizi videos ningewatupia hapa labda kama alikusudia kumzungumzia Junior Marvin, watu siku hizi anaamini sana Google wanabishana na watu ambao wameshuhudia kipindi cha muziki ukiwa ni muziki kweli.
Ni Mamou au Tu Vois Sauti ya kike ni ya marehemu Mpudi Decca (mpiga bass).Msaada kwenye tuta:
Kuna wimbo nadhani umeimbwa na Franco, ila nimeusahau jina ni wimbo ambao ndani kuna sauti ya huyo mwimbaji na mwanamke mmoja ambae anaimbiwa arudi nyumbani baada ya kuondoka kwa mmewe.
Kinaimbwa kifaransa kwenye huo wimbo, ila yule mwanamke anaonekana yuko mbali sasa franco anampigia simu inaita ngiriiiiii ngiriii ngiriiii anaongea kifaransa hapo na yule mama anajibu.
Napenda sana huo wimbo Nani mwenye kuujua anisaidie jina la huo wimbo niutafute.
Hapa: Bob Marley live at the Rainbow Theatre, London 1977. Na hapa Junior Marvin alilikung'uta solo ipasavyo.