eti eeh, humfahamu yule wewe, ngoja akupore mume presha ikupande ndo utamjua kuwa ni gubegube, shaurilo
Acha dharau dogo, nitakushusha busha............
Hapo kwenye red kwani umesikia utotoni nimecheza na Bi. kidude!!!!!!!!!!!
Unikomeeeeeeeeeeee
sitaki kuamini macho, ubongo na moyo pia. daaaa.....haya bana.charminglady Haya C6 uncle hajambo?
Dogo umerudi?? hebu pita kwenye poll afu kwa raha zako bofya kwa Arabela, achana na huyo mkongomani na swaga za ikibinda nkoi
sitaki kuamini macho, ubongo na moyo pia. daaaa.....haya bana.
Mbona nimeisha mpigia kula zamani madame B mkuu. Arabela asubili mwakani nitampigia