Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, @hyegia Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa
Mi nilidhani unatuita tumpigie Mama vNawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote kura ni kwa Arabela aaaaa
Mi nilidhani unatuita tumpigie Mama v
Hivi ye keshakua m-bibi eeeh? Lol
Kwanza naitafuta poll hata sioni imenitoa ushamba balaa natamani niitandike b52 lisambaratike!
ha ha haaa! Kampeni eeeh! haya Baba V tuma posho ya kuhonga kwa M-pesa tuendeleze kampeni na tshirt na kofia tutengeneze
Naona umewachagua watu wa Dar tu eeeh sawa uzuri hata Ruhazwe JR kateua kwa upendeleo.Jamani wakubwa wangu heshima kwenu!! Pamoja na kuwa mmoja wa p4, nawaangukia kuwaombeni kura zenu kwa uwingiiiiiiiii! Na msiponipigia hakika kundi la 'masalia' litakesha kunipigia! Nawatakieninkila la kheri katika kunipigia kura!
Mwahhhhh to ol of u! gfsonwin, Zinduna, FP BADILI TABIA, yummy, Paloma, Zion Daughter, Catherine, The secretary, amu, Chauro, Smile, sweetlady, Kongosho, Kipipi, First lady1,
jamani na wakaka woteeeeeeeeee mkianziwa na hubby wangu Asprin, shem wangu wa ukwee Kaizer na mahommies wa hubby, TANMO, Teamo, Fidel80, kura zenu plzzzzzzz! Nipo safarini nampeleka mama kwenye matibabu tena! Nikipotea basi gfsonwin na Asprin miniendelezee kampeni zangu! Mwahhhhhh!
Chimbuvu
Nawaita PakaJimmy, Mungi, zomba, Filipo nitonye Mamzalendo, marejesho Erickb52, Arushaone, Mamndenyi, Bishanga, Dena Amsi, Mr Rocky , FP Lily Flower, mwaJ snow white sweetlady, watu8, measkron, HYGEIA Husninyo, AshaDii, The Boss, Mphamvu, Paloma, zubedayo_mchuzi, Ruttashobolwa, gfsonwin, King'asti, Kongosho, Kaunga, Smile, platozoom, ndetichia, BADILI TABIA, BAK Asprin Mtambuzi Rejao, Dena Amsi, Nicas Mtei, Dark City, Mzee wa Rula, Kijino, nivea, giLESi, mary hunbig, stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura Madame B awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni binti mrembo wa kuvutia,kazi ni kwenu wana chit chat,mpigieni kura Madame B
Naona umewachagua watu wa Dar tu eeeh sawa uzuri hata Ruhazwe JR kateua kwa upendeleo.
Arusha si tutaangalia tu.
Salamu kwa Invisible mi nimemind iweje Arusha tusiwe na mshiriki tangu haya makitu yaanze? Not fair.
Arusha wing PakaJimmy Mzee wa Rula Preta sweetlady Arushaone LiverpoolFC Lily Flower Mr Rocky Blaki Womani Tonykp Mamzalendo IGWE Filipo marejesho Loner Kabakabana na wengine hakuna kupiga kura hadi awepo mtu wa Arusha
Mkuu Ruhazwe JR kazi nzuri.... Nimependa your motivation and creativity... Hongera saana. Ikiwezekana uongee vizuri na Invisible atufikirie na sisi ya wamama... :becky: