figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,707
- 59,225
kulikuwa na tofauti zimeisha
nakuja tanga aisee!. mia
kulikuwa na tofauti zimeisha
nakuja tanga aisee!. mia
Eti, kuna nini hapa!?
Eti, kuna nini hapa!?
Kwani wewe unatafuta nini? Hapa kuna matokeo ya Std 7.
vipi umefaulu?? Au ndo vile tena kichwa cha analogia!
Mkuu huwezi kuamini mpaka sasa sijui ni nini kinachoendelea. Muandaaji kaingia mitini sijui!!!
Tumpe muda. Labda ndo anapiga mahesabu achakachue vipi zawadi...
hapa kwema tu hata sielewi whats next sijui mwenzangu
...una ajenda ya siri nini..mbn hunishrkshi hao wageni...au fwedha zao zina kuzuzua nini?
Ruhazwe JR uko wapi, usikuwa unatafuta soo kama la Lundenga!Mkuu huwezi kuamini mpaka sasa sijui ni nini kinachoendelea. Muandaaji kaingia mitini sijui!!!
ushindi unaridhika ni wa halali? just kiddingwe si unaona mwanangu kapata alama 115 hapo...moja kwa moja Kilakala...
ushindi unaridhika ni wa halali? just kidding
mkuu nimeshapata tayar,tunashukuru,ila sijafanya marekebisho hapo juu kwakua nipo mbali na laptop natumi kisimu cha mchina nashindwa kufanya edit,ila muda si mrefu ntakua nshafanya edit hapo juu.ahsante sana