Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
Umeona eeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh........

TUNATAKA ZAWADI ZETUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

Hivi huyu mshindi wa Pili Arabela yuko wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............!!!!!!!!!!!!! Arabela toka huko ulikokuwa uje huku TUDAI ZAWADI.
TUNATAKA HAKI YETU..........................TUNATAKA HAKI YETU...............
Mmetutembeza na Vininiliu tu mbele ya Watazamaji leo hii hautaki kutupa Haki yetu.
gifts-2122b05c61abbbbfeea1f850722db20898458c39-s6-c10.jpg
 
nipooooooo. Yani dah Ruhazwe amepoteeea. Twataka zawadiiii
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bado tupo kwenye kikao cha wadhamini na tunataka kupiga picha na washindi pamoja na kuwapa maua,sasa aliyepewa tenda ya kusambaza maua kala nyasi
 
Wapi Gazeti letu pendwa la udaku la JF????

Naomba kichwa cha habari cha leo kisomeke hiv

SHINDANO LA MISS CHIT CHAT LAINGIA DOA... MUANDAAJI AINGIA MITINI NA ZAWADI ZA WASHIRIKI

copy to: Chimbuvu, Slave, Mu-sir, watu8, Erickb52, Nicas Mtei, Arabela, Madame B masopakyindi Samaritan na kitalolo

bila kuwasahau Invisible na Moderator

tumuombe [MENTION]Mzizi mkavu[/MENTION] ampige kipapai tehetehtehete.

sijawahi ona mashindano washindi wanadai zawadi namna hii.

labda ile timu ya znz ilipewa zawadi wachezaji wakajigawia huko huko.

Ebu tumpe muda kidogo huwezi jua yaliyomkuta maana siwe amini kama Ruhazwe JRanaweza kimbia na laki moja tumpeni muda atakuja kutoa maelezo hapa au anafanya utaratibu wa kutoa zawadi kama alivyoahidi.

kuweni wapole charminglady Madame Bna Arabela
 
Last edited by a moderator:
Watoto wamekuja juu,
Wanadai nyumba yao,
................
........
...

Just Singing!
 
Bado tupo kwenye kikao cha wadhamini na tunataka kupiga picha na washindi pamoja na kuwapa maua,sasa aliyepewa tenda ya kusambaza maua kala nyasi

Chimbuvu mna utani na sisi eeeeh....... Au mlikuwa mnageresha kwenye udhamini????????
Si mtuweke wazi tu.... Madame B na Arabela hebu msikieni huyu avosema!!!!
 
Last edited by a moderator:
tumuombe Mzizi mkavu ampige kipapai tehetehtehete.

sijawahi ona mashindano washindi wanadai zawadi namna hii.

labda ile timu ya znz ilipewa zawadi wachezaji wakajigawia huko huko.

Ebu tumpe muda kidogo huwezi jua yaliyomkuta maana siwe amini kama Ruhazwe JRanaweza kimbia na laki moja tumpeni muda atakuja kutoa maelezo hapa au anafanya utaratibu wa kutoa zawadi kama alivyoahidi.

kuweni wapole charminglady Madame Bna Arabela

Weeeeeeeee........... kitalolo, Unasemajeee............!!!!!!!!!!!!!
Eti tuwe wapole, Unaona Raha eeeeeeeeee, Basi tupe wewe hizo zawadi kwa Niaba yao.
Hivi wewe unajua Ukauzu tuliouleta Siku ile pale jukwaani au unaongea tu.
HAPA HAKAI MTU KIMYA MPAKA KIELEWEKE.
CC. Shem Paw, Anko Fang na kaka Invisible, tusaidieniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Eversoft+Testimonial+Chit+Chat+Session+with+%28L-R%29+Farah+Melissa,+Magdeline+Wang,+Ms.+Cynthia+Song+and+Nadia+Heng.jpg

Hapa Hakieleweki Mpaka Tupate Zawadi, Afu Cheki Zinduna anavyotaka tumjibie maswali ya Members, Hatutaki.
 
Last edited by a moderator:
tumuombe [MENTION]Mzizi mkavu[/MENTION] ampige kipapai tehetehtehete.

sijawahi ona mashindano washindi wanadai zawadi namna hii.

labda ile timu ya znz ilipewa zawadi wachezaji wakajigawia huko huko.

Ebu tumpe muda kidogo huwezi jua yaliyomkuta maana siwe amini kama Ruhazwe JRanaweza kimbia na laki moja tumpeni muda atakuja kutoa maelezo hapa au anafanya utaratibu wa kutoa zawadi kama alivyoahidi.

kuweni wapole charminglady Madame Bna Arabela

Unajua nini kitalolo kama kuna tatizo si aliweke wazi???? Kwanini atuachie "Sintofahamu" ????

Ruhazwe JR hebu kuja pande hii uliweke wazi!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Bado tupo kwenye kikao cha wadhamini na tunataka kupiga picha na washindi pamoja na kuwapa maua,sasa aliyepewa tenda ya kusambaza maua kala nyasi

We Ndo msemaji eeeeeeeeeeeeeee..........!!!!!!!!!!!!!!
Mume wangu kaa Pembeni, sihitaji kukupoteza,
Sitaki kuwa mjane na Umri huu, kaa kando.
Hapa mpaka kieleweke...............

810.jpg

NISHIKENI JAMANIIIIIIIIII...............
MWAKA HUU TUTAMLA NYAMA Ruhazwe JR,
 
Last edited by a moderator:
Yan watu tulikesha kupita kila jukwaa kupiga kampeni na kuomba kura mimi, kampen manager watu8 na kambi yangu nzima afu muandaaji asepe???? Weeeeeee mbona atahama JF ati......

Slaa%2Bkuhutubia%2BKinungu%2B1..JPG
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom