Wote waliosajili IDs za ziada zilikuwa merged; nilishalitolea ufafanuzi hili. Ndo maana wengine waliona kura zinapukutika ghafla! Kila tunapobaini udanganyifu, unafanyiwa kazi haraka sana

hehehe unamaana gani wewe mshindani? tena unaandika kwa herufi kubwa unahatari wewe..
Mbona wadhamini wameongezeka lakini zawadi kwa mshindì haijaongezeka?
mkuu soma vizuri maelezo niliyoyatoa kwenye update.nimeseme jumla ya tsh 71,000 zilizo ongezeka zipo pembeni ili akipatika mdhamini wa kama elf 10 tutakuwa na elfu 81 ambazo tukijumlisha na elfu 20 hizo za kumlipia mchango jf,tutakua na zaidi ya lak ambayo tunaweza tukamlipia jf gold bronze...niulize tena

nashukuru cl kwa kuweka kumbukumbu sawa,niliteleza.nilimaanisha jf god memberSamahani mkuu kwa kukusahihisha.. Subscription zipo kama ifuatavyo:-
JF Bronze member
JF Gold membet
JF Platinum member
JF Tanzanite member
na sio JF Gold Bronze
na asipopatikana Mdhamini mwingine itakuaje?
Mkuu kama unatumia zantel poa... Lakini tiGO hupati ng'o make me sio mtumiaji wa tiGO!!! :becky:
weeeeee
Nini...... ?????!!!!!
unashinda ngoja nikaongezee uzamini kwa mshindi wa kwanza niwe mbaguzi kabisa
Mkuu kama unatumia zantel poa... Lakini tiGO hupati ng'o make me sio mtumiaji wa tiGO!!! :becky:
Nini...... ?????!!!!!
mmepungukiwa ngapi ni top-up?
karibu mkuu,karibu,ingia mpaka ndan mlango upo waz
mmepungukiwa ngapi ni top-up?