Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

Nani unampa kura yako kama Miss Chit Chat 2012?

  • Cacico

    Votes: 27 11.2%
  • Remmy

    Votes: 7 2.9%
  • Madame B

    Votes: 40 16.5%
  • Ciello

    Votes: 5 2.1%
  • Charminglady

    Votes: 115 47.5%
  • Arabela

    Votes: 48 19.8%

  • Total voters
    242
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
We Ruhazwe JR si unaona kura za watu zinavyopungua...???
Jibu hili swali sasa usikae kimya umaharibu maana ya shindano zima...
Haiwezekani kura zikawa zinaendelea kupiga rivasi...angalie scripts za hicho ki-polling system bhanaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Wakati naweka ushahidi wa picha charminglady alikua na kura 21, sasa anazo 20. Hahahah....inabidi nicheke tu...mkuu Invisible tafadhali busara zako zinahitajika....
 
Last edited by a moderator:
Wakati naweka ushahidi wa picha charminglady alikua na kura 21, sasa anazo 20. Hahahah....inabidi nicheke tu...mkuu Invisible tafadhali busara zako zinahitajika....

sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done
 
Last edited by a moderator:
sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done

Bora umenielewa mkuu, hivyo kuna uwezekano kukawa na ubatili kwenye kura zilizopigwa...
 
sure bro, something must be wrong somewhere and something must be done

Baba V kwangu mimi sioni tatizo,kwani kadri kura zao zinavyopungua ndio kwa Arabela zinavyoongezeka.Hapo ninaona kuna watu wamegundua kuwa walipiga kura kimakosa kisha wakatoa kule walikopiga mwanzo na kumpigia Arabela.Au labda kama ukishapiga kura moja inakuwa hakuna uwezekano wa kubadilisha...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaah i know whats going on here,hahahahahaahahhaha
hahahahaahahah

We Ruhazwe JR si unaona kura za watu zinavyopungua...???
Jibu hili swali sasa usikae kimya umaharibu maana ya shindano zima...
Haiwezekani kura zikawa zinaendelea kupiga rivasi...angalie scripts za hicho ki-polling system bhanaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mna copy kwa Baba V then mnapaste kwenu na kuedit juu
 
Mbona mna copy kwa Baba V then mnapaste kwenu na kuedit juu

Waache tu wanajichosha hao, hawajui kuwa kila post yangu ina copy right, si ajabu ndo maana kura zao zinapungua kumbe ni Plagiarism inawaponza. Cheki walivyopangana hapo juu kama waliambiana, can't you guys invent your own ways of campaigning? No wonder tunawatimulia vumbi,aliyeanza kaanza
 
Mim nawahakikishia ulinzi wa kutoibiwa wake zenu...wale wote watakao mpigia my sweet ARABELA....
 
Last edited by a moderator:

Ofa ya ulinzi waambie..wale wote watakao pga kura kwa Miss chit chat mtarajiwa..Arabela...
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…