Mkuuu Ruhazwe JR ili kukwepa lawama next time unda kamati kama ile ya lundenga ili likitokea la kutokea ***** uangukie kamati...hivi kuna majaji?? kuna watu wanawaulizia sijui wanataka kupenyeza rupia?
Tutapiga mkuu.. ngoja waendelee kujinadi kidogo...
GeeCee.
mamito kura yako kwa CL please...
Wapambe mko wengi na wote mabest sasa inabidi nisimfuatishe mpambe yoyote nichague bila kufuatisha kampeni
Wapambe mko wengi na wote mabest sasa inabidi nisimfuatishe mpambe yoyote nichague bila kufuatisha kampeni
Nawaita
PakaJimmy, Mungi,
zomba, Filipo
nitonye Mamzalendo,
marejesho Erickb52,
Arushaone,
Mamndenyi, Bishanga,
Dena Amsi, Mr Rocky ,
FP Lily Flower,
mwaJ snow white
sweetlady, watu8,
measkron, HYGEIA
Husninyo, AshaDii,
The Boss, Mphamvu,
Paloma,
zubedayo_mchuzi,
Ruttashobolwa,
gfsonwin, King'asti,
Kongosho, Kaunga,
Smile, platozoom,
ndetichia, BADILI
TABIA, BAK
Asprin Mtambuzi
Rejao, Dena Amsi,
Nicas Mtei, Dark
City, Mzee wa Rula,
Kijino, nivea,
giLESi, mary hunbig,
stevoh na wengineo mje hapa mumpigie kura
Arabela awe miss chit chat wa mwaka 2012, ni
binti mrembo,mtaratibu,mwenye nidhamu na anawapenda wana chit chat wote
kura ni kwa Arabela aaaaa
Baba V, hebu nipe maelekezo namna ya kumpigia charminglady, nashindwa kupata option ya kupost my vote!
Mwaka huu nimegoma kupiga kura mpaka nipewe bahasha ya khaki yenye zile karatasi zenye thamani.
Baba V, hebu nipe maelekezo namna ya kumpigia charminglady, nashindwa kupata option ya kupost my vote!
Mwaka huu nimegoma kupiga kura mpaka nipewe bahasha ya khaki yenye zile karatasi zenye thamani.
wapi Madame B aje ajibu tuhuma hapa, ana tuhuma ambazo nahitaji mwongozo wa Ruhazwe JR kama anafaa kuendele na kinyang'anyiro hiki au la!??, Madame B come this way pleaseee
hahaaaaaa
nilikuona tokea zamani unavojishebeduashebedua.
ln mchukue tu, mie najiendea kwa paka mweusi.
Salama kabisa St. Paka Mweusi, vipi wewe umeamkaje?sweetlady umeamka salama jumapili ya leo mama..??