Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Nilivyomwelewa muuliza hawa maservice provider wanapata data kutoka mikonga satcom wenzie wenye mikonga je hawa wenye mikonga wanachukua kwa nani? Yaani wholesalers wao. Hii sijawahi jua. Yaani nani ni source ya data?
 
Me nilisikia familia ya Rockefeller ndio ilikuwa inamiliki satellite huko anga za juu kwa ajili ya mawasiliano ya simu TV na mawasiliano mengine.. kabla nchi kadhaa kuanza na wao kutuma satellite kwa usalama wao, kuhusu Internet pia wanaweza kuwa ni wao but aliyegundua www ameshakufa miaka Michache iliyopita. But Makampuni makubwa yanayomiliki mambo ya mawasiliano ni ya hao wayahudi na ni asili ya Rothschild family tu. Kuna siri kubwa kuwafahamu walivyogawa utajiri kwa watu wanaowataka haswa hawa wanapewa scholarship mbalimbali duniani. Sawa na hawa wayahudi wa Acacia ukiwabana wanakuja watu wengine na hao wengine wakibanwa watakuja wengine ila mwisho ni hao Rothschild family na Rockefeller shield wa Rothschild
 
Kwaiyo tunavyolipa pesa za huduma wenyewe ndo wanachukua???????

Kama sijakosea kuna kitu kama hiki Internet Service Proveder levels; wapo Tier 1, Tier 2 and Tier 3. Japo hakuna mmiliki kama watangulizi wanavyodai lakini hao Tier 3 laweza kuwa ndo kundi la wamiliki maana wao hawahitaji kununua vifurushi kwa yeyote ili ku-access internet. Lakini Tier 2 ananunua huduma kwa Tier 3; Tier 1 ananunua kwa Tier 2. Probably na sisi tunanunua bundles zetu toka kwa Tier 1.
 
Tuanze hapa kwanza :
Me najua haina mwenyewe ila yoyote yule anaweza kuwa nayo, zaidi device za ku supply ndio zina wenyewe i.e unapo nunua devices zako nakuanza ku supply Internet kama walivyo ttcl, tigo, voda, simbanet n.k inakuwa ya kwako.

Mfano tena kuhusu umeme, umeme ni wanani? Yoyote yule anaweza uza umeme ilimradi apate kibali. Equipments atakazo tumia kufua huo umeme ndio zina wenyewe.
Samahani kwa kuchanganya lugha.
 
Habarini wataalamu

Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?

Nawakilisha
internet aina mmiliki .maana ya internet ni maisha ya jamii ambayo hutakuta kazi zote uchumi,michezo biashara,sanaa,kazi,muongozo,habari n.k mnapo unganika kujua basi yanaitwa mawasiliano na hili mpate mawasailiano lazima mtu hakufikishie mawasiliano .
kumbuka internet ni mali ya jamii na mawasiliano ni mali ya mtu mmoja au wengi
 
Internet haimilikiwi na mtu ni Huduma kama barabara ,maji , umeme , n.k
Kuhusu gharama anaetoa Huduma hiyo ndio mnufaika.
 
Nilivyomwelewa muuliza hawa maservice provider wanapata data kutoka mikonga satcom wenzie wenye mikonga je hawa wenye mikonga wanachukua kwa nani? Yaani wholesalers wao. Hii sijawahi jua. Yaani nani ni source ya data?
Mkuu Huduma zote hutolewa na mtoa Huduma. Mfano unauliza SATCOM Hawa hutengeneza Huduma ya internet. Yaani internet ni kitu ambacho kipo tayari ni wewe kuamua kuanza kununua mitambo na kuweka Huduma. Ni kama unataka kuuliza kampuni za simu za mikononi wanatoa wapi network?
 
Me nilisikia familia ya Rockefeller ndio ilikuwa inamiliki satellite huko anga za juu kwa ajili ya mawasiliano ya simu TV na mawasiliano mengine.. kabla nchi kadhaa kuanza na wao kutuma satellite kwa usalama wao, kuhusu Internet pia wanaweza kuwa ni wao but aliyegundua www ameshakufa miaka Michache iliyopita. But Makampuni makubwa yanayomiliki mambo ya mawasiliano ni ya hao wayahudi na ni asili ya Rothschild family tu. Kuna siri kubwa kuwafahamu walivyogawa utajiri kwa watu wanaowataka haswa hawa wanapewa scholarship mbalimbali duniani. Sawa na hawa wayahudi wa Acacia ukiwabana wanakuja watu wengine na hao wengine wakibanwa watakuja wengine ila mwisho ni hao Rothschild family na Rockefeller shield wa Rothschild
Uongo mtupu.
 
Tuanze hapa kwanza :
Me najua haina mwenyewe ila yoyote yule anaweza kuwa nayo, zaidi device za ku supply ndio zina wenyewe i.e unapo nunua devices zako nakuanza ku supply Internet kama walivyo ttcl, tigo, voda, simbanet n.k inakuwa ya kwako.

Mfano tena kuhusu umeme, umeme ni wanani? Yoyote yule anaweza uza umeme ilimradi apate kibali. Equipments atakazo tumia kufua huo umeme ndio zina wenyewe.
Samahani kwa kuchanganya lugha.
Umetoa mfano mzuri sana.hapa kila mtu ataelewa.
 
La kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Kila kaalama unakokaona hapa ni byte, (mfano neno( "hautaelewa") lina bytes 12).kwa hyo 1000bytes=1kilobytes(kb),1000kb=1megabytes,1000mb=1gigabytes(gb).Kwa hyo unapolipa hela na kupata mb, ina maana umepata tiketi ya kuingia kwenye network ya mtu,. Internet ni connection ya networks, kwa hyo aina mwenyewe.
 
Hakuna mmiliki wa internet..... Bali waliogundua internet walikua ni wamarekani chini YA kitengo cha usalama (US Department of Defense project) miaka YA 1960.....
 
La kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Mb na gb ni vipimo tu vya data utumiazo kama utumiapo umeme kipimo ni kilowatts ama maji wanatumia meta hivyo gb ama mb ni kipimo ambacho hawa mitandao wanatumia kukulipisha huduma watoayo
 
Miakaya 90 kuna mainvestors waliombwa kuwekeza kwenye huduma za internet. Wakaanza kywahoji jamaa wanaopitch idea, "Rais wa internet ni nani?" Kila wajielekezwa wanarudi palepale "rais wa internet ni nani" ikabidi jamaa mmoja ajitokeze na kusema yeye ndiyo Rais hapo ndiyo mazungumzo yakaendelea.
 
Miakaya 90 kuna mainvestors waliombwa kuwekeza kwenye huduma za internet. Wakaanza kuwahoji jamaa wanaopitch idea, "Rais wa internet ni nani?" Kila wakielekezwa wanarudi palepale "rais wa internet ni nani" ikabidi jamaa mmoja ajitokeze na kusema yeye ndiyo Rais hapo ndiyo mazungumzo yakaendelea.
 
Back
Top Bottom