Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,385
Last edited by a moderator:
Nadhani mtoa mada anataka kujua nani mmiliki wa "Optic Fibres"Simple explanations:
Mtu kumiliki internet = mtu kumiliki computer/servers zote duniani.
Swali zuri sana. Na mimi nasubiri sana jibu kwa hamu.Habarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
The simple answer to that question is nobody and everybody. The Internet is not a single thing. The Internet is a collection of many hundreds of thousands of different computer networks and hundreds of millions of computers, all speaking the same “language.”Habarini wataalamu
Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?
Nawakilisha
Kuna makampuni.yanawauzia kutoka huko duniani.data zinasafirishwa kwa kutumia mkongo.(kama ntakuwa sijakosea)La kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???

Kwa Mungu mkuuLa kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???