Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,568
- 1,350
Last edited by a moderator:
Fara is my Middle name! tukana upya,,,Uliona ukinyamaza utaonekana fara??
domain sio internet kaka
"If I'm ever on life support I've left strict instructions to turn it off then on again. I plan to reboot and come back as atheist 2.0"
Mkuu CYBERTEQ nimesoma signature message yako imenivutia sana...kama litafanikiwa hilo ulilolisema basi nami ntaomba unisaidie either kujail break au kuroot OS yangu ili niweze kufunction kama wewe freely
Maji safi yaliyo chini ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya binadamu huwa hayana mmiliki. Ukifaniukiwa kuchimba/kuchimbiwa au kuwa na kisima kikubwa unachomiliki kisheria kiasi cha kuweza kuwagawia wengine (e.g. DAWASCO), unaweza ukaamua kama utawagawia bure au watalipia, au hata usiwagawie kabisa utumie wewe mwenyewe tu, kama unaona matumizi yako ni makubwa au maji yako siyo mengi. Hata internet imefanana kiasi hivyo. Sema tu kuna mtu aliyegundua internet mwaka 1992 anaitwa Tim Berners Lee. Huyu ndiye aliyegundua internet ila sidhani kama ana hati miliki yake. Kwa mfano, ulishawahi kujiuliza kama kuna mtu ana hati milki ya masafa ya mawasiliano kv ya redio, simu nk? Nadhani sheria kama hiyo haipo duniani. Anyway ni mawazo yangu tu, naweza nisiwe sahihi kama ninavyodhani!
Mkuu/YEYOTE yabidi niulize. Hivi mtu aki-control DOMAIN za internet ina maana ndio ka-control mtandao? hapa inanipa shida sana kuelewa. Maanake ile link niliyoweka (Posting # 84) inaonyesha hata akina Germany wanalalamika US wame-control internet na wamarekani wanalaumiana "kuachia hiyo" control. Na inaelekea bila hiyo domain computer inapata kizazaa kuelewa mitaa ya kimtandao. Tafadhali Darsa Wakuu. Haya ni mageni kwangu.
cc KakaKiiza CYBERTEQ
Haiko free as such except ni serikali inalipia, you will never find it absolutely free, kwa sababu kuna gharama zake za kuiendesha. VPN naweza kuifananisha na tele-conferencing kama ingekuwa ni kwenye simu. Kwa mfano tuseme watu wa kampuni ya vodacom walioko Marekani, Africa, Asia, Ulaya, wanaweza wakaunganisha komputa zao in such a way wakawa wanafanya mawasiliano as if wote wako ndani ya jengo moja na au hata chumba kimoja. Komputa zao zinawezeshwa kufanya mawasilaiano as if ziko connected kwenye routing device (switch or router) moja wakati ziko mbali mabara tofauti. Hivyo ndivyo inavyokuwaga VPN. Kwa maana nyingine ni kuwa ukiingia kwenye network utaziona komputa hizi logically ziko kwenye LAN moja while in the actual fact ziko physically kwenye WAN tofauti tofauti!U just gave a home work, kumbe it free ndo mana kule kwa wenze2 inakuwaga free on public sis huku unalipia tena inapewa Viji mb,
Vp kuhusu ""VERTUAL PRIVATE NERTWORK"" (VPN) i think home werk yangu itaanzia hapo¿¿¿
KeyserSoze,Kama tukisema www ni barabara na njia zote zinazokwenda kwenye kila nyumba duniani basi domain name itakuwa ni kila address ya kila nyumba iliyopo kwenye hizo barabara, ili mtu afike kwako kutoka kwangu lazima address yako iwe tofauti na ya mwingine ili mtu asipotee..., Sasa kuhusu domain za internet sio kwamba mtu anacontrol per se.., bali kuna non profit organisation ambayo ipo bali hili kuhakikisha na kushauri/kutoa guideline ni vipi hizi address ziwe na kutofautiana ili mtu akitaka kuja kwako asijikute amekwenda kwa mwingine...
Hio Organization watu walikaa hata baada ya internet kuanza, ilianzishwa ili kuhakikisha efficient kwenye internet kwa kujiwekea sheria ili kila mtu azifate sio sababu ya ku-control bali kuhakikisha efficiency..
Wewe leo hukatazwi kuanzia mtaa wako na kuweka nyumba zako ila kama usipoweka address/milango (domain) kama ilivyozoeleka ya kwako ukaweka kwenye dari na sio ukutani basi watu wakija kwako kukutafuta lazima watapotea
Hakuna mtu anayemiliki internet sababu internet ni mkusanyiko wa computer / servers duniani hivyo basi hata mimi hapa nyumbani na hii server yangu yenye mafaili yangu kuhusu site yangu (mmiliki wa hii site yangu) ni mmoja wapo wa huu muunganiko ila siwezi kusema namiliki internet (mawasiliano ya computer) ila ninamiliki hii site ambayo nayo ni part ya internet
Huwa napata tatizo hasa kujua mmliki halali wa Internet je net inakuwa controlled na nchi gani au mtu gani?
[h=2]Governance[/h]The Internet is a globally distributed network comprising many voluntarily interconnected autonomous networks. It operates without a central governing body.Huwa napata tatizo hasa kujua mmliki halali wa Internet je net inakuwa controlled na nchi gani au mtu gani?
Mkuu hii uliyoiona tumesomea katika #CCNA +CCNP Hivyo kama unaona mimi nimeuliza kiboya unaweza kuwa haujui hii makitu wewe acha watu wapasuke vichwa hili na sisi tujue vizuri Internet Resource maana imekaa kimitego hasa hawa wamarekani wanavitu wanaficha..tukijua tutajua kwanini na Ndege ya Malesia ilipotea na kwa nini haioneka!Kama kuna mtu anaweza akazima mtandao na watu wasijue kinachoendelea upande wapili!Soma mada hii hapa JF utapata majibu ya moja kwa moja kwa swali lako. Kifupi ni njia ambayo Marekani ina-control and monitor dunia. Soma mada hii: Internet, historia na mwendelezo hadi matumizi kukomaa tutumiavyoleo
Marekani ndo wamilik wa intanet. Www, iligunduliwa na wizara ya ulinzi ya marekani mwanzoni mwa miaka ya 80.
Inasemwa rais wa marekani anayo ufunguo wa kuizima.