Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

No satellite no internet! The question is; who owns the satellites?
Satellite unaweza kumiliki hata wewe. Nakumbuka India kama sikosei nao wamerusha satellite mwaka Jana .hata Nigeria pia. Advantage ya kuwa na satellite unaweza kucontrol mawasiliano ya nini unataka watu wapate na nini wasipate. Kuna free satellite na pia prepaid satellite
 
No satellite no internet! The question is; who owns the satellites?
Its not true
kunanjia mbili za kupata internet:
1. Through setellites- hii njia imetumika hasa kipindi cha nyuma, alafu pia inagharama kubwa sana..... kama unakumbuka kuanzia mika ya 2010 kurudi nyuma vifurushi vya internet vilikuwa ghari sana.... pia hii njia ya setellite ipo slow sana
Makampuni mengi huwa wanaitumia kama backup namaanisha kama njia mbadala wa internet

2. Undersea fiber cable- hii njia ya kupaga internet dunia kwa kutumia nyaya/waya zinazoitwa fiber optic..... fiber optic zinasafirusha data kwa speed kama ya mwanga, pia gharama zake zipo chini sana.

MFANO HALISI: ukitunia shilingi 3800/= kwa kupata internet kwa njia ya setellite..... hapo ingekuwa kwa optic fiber ungelipa sh 640 kwa kiwango cha data hicho hicho.

Kuanzia mwaka 2010 na kuendele huduma za internet hapa mchini tz zilishuka kwa kiasi fulani... hii ilitokana na mapinduzi ya fiber technologies
vt.png

View attachment 524958

Kwa hiyo unaamini kabisa kwamba satellites zikizimwa utaendelea kupata internet?!
 
Me nilisikia familia ya Rockefeller ndio ilikuwa inamiliki satellite huko anga za juu kwa ajili ya mawasiliano ya simu TV na mawasiliano mengine.. kabla nchi kadhaa kuanza na wao kutuma satellite kwa usalama wao, kuhusu Internet pia wanaweza kuwa ni wao but aliyegundua www ameshakufa miaka Michache iliyopita. But Makampuni makubwa yanayomiliki mambo ya mawasiliano ni ya hao wayahudi na ni asili ya Rothschild family tu. Kuna siri kubwa kuwafahamu walivyogawa utajiri kwa watu wanaowataka haswa hawa wanapewa scholarship mbalimbali duniani. Sawa na hawa wayahudi wa Acacia ukiwabana wanakuja watu wengine na hao wengine wakibanwa watakuja wengine ila mwisho ni hao Rothschild family na Rockefeller shield wa Rothschild
Story za vijiweni hizi.
 
"Nobody own internet but there are the ones who controls the internet"

The world and google might be encouraging you that you own internet or nobody own it...not true..

Or because you buy and unacheka bundles by yourself then you say nobody own internet?
Who is is investigating you from facebook when you do a crimes?

Or because you build your towers, network infrastructures, and jaza ujazwe then unamiliki internet then why don't you build your servers?

North Korea is one of the country to have developed everything by itself from the scratch...but yet miaka ya nyuma Washington ilizima internet ya wa North Korea for several hours....Pyongyang walikuwa hawachat mpka US akawaachia then u say no body owns it....this might be the saying to make you feel free from inside an unknown trap....

If so develop your internet infrastructure and say nobody owns it...but i tell you there are shits owns it.
 
Hapo bila shaka north korea alikuwa anatumia setillete ya USA au iyo backbone cable ilikuwa niya USA ndo maana USA alidisconnet internet ya north korea pia kumbuka watu wanapolipia kwenye haya makapun yanalipa kwa ajir ya huduma ya internet sio internet kwasababu internet ni huduma
 
"Nobody own internet but there are the ones who controls the internet"

The world and google might be encouraging you that you own internet or nobody own it...not true..

Or because you buy and unacheka bundles by yourself then you say nobody own internet?
Who is is investigating you from facebook when you do a crimes?

Or because you build your towers, network infrastructures, and jaza ujazwe then unamiliki internet then why don't you build your servers?

North Korea is one of the country to have developed everything by itself from the scratch...but yet miaka ya nyuma Washington ilizima internet ya wa North Korea for several hours....Pyongyang walikuwa hawachat mpka US akawaachia then u say no body owns it....this might be the saying to make you feel free from inside an unknown trap....

If so develop your internet infrastructure and say nobody owns it...but i tell you there are shits owns it.
Sikubaliani na wewe. Matumizi ya internet yako ya aina nyingi.huwezi kusema kuna mtu anaimiliki wakati kila mtu ana Uhuru wa kutumia computer yake kwa program anazozitaka. Baadhi ya server za network kubwa kubwa kama Google, Facebook, WhatsApp na social media nyingine zipo USA na wanaweza kumanage. Lakini kwa mfano Uchina wanayo social network ya kwao ambayo ni wachina wenyewe wanaweza kucontrol.
 
Naona watu wanazunguka tu, nauliza kivi nani n mpishi wa data??
Hichi ulichoandika nacho ni data
Habarini wataalamu

Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?

Nawakilisha

Ingia hapo usome vizuri utawakuta

THE SEVEN COMPANIES THAT REALLY OWN THE INTERNET | Icaruswept
 
Internet + network = UCHAWI wa KIZUNGU ukiwaza sana kichwa kinauma
Mtoa mada naona hamjamuelewa nadhani alimaanisha hivi
Kwa mfano hapa dar es salaam source ya maji ni mitambo ya ruvu so ikifungwa kule dar nzima hakuna maji fresh
Je ninani huyo ambaye akizima ule mswich dunia nzima inakosa access ya kupata INTERNET ?
ipo hivi ili uweze kupata internet lazima uwe na access ya network
hapo kabla mataifa machache yaliyofanikiwa kurusha satelite angani ndo yalikuwa na access ya network hivyo internet ilipokuja kuachiwa HURU kwa matumizi ya kawaida miaka ya 90 katikati ndipo mabadiliko ya kuacces network yalipoanza
hadi kufikia miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zilizo endelea zilikuwa na mitambo yenye uwezo wa kuaccess network ili kupata internet
Hata hivyo bado kuna mwenyewe 7bu katika internet lazima kuna mambo yanahitaji ushirikiano ndo mana mpk kesho USA MRUSI na MJAPANI wanashilikiana katika mambo haya ya anga lkn hao wote kuna mtaalamu zaidi MUISRAEL yupo nyuma yao
Ila kuna mataifa haya mawili yanakuja kwa kasi sana ila moja lilijigawanya limepoteza uwezo nalo ni KOREA na jingne CHINA likifuatiwa kwa mbali na INDIA

katika dunia ya sasa hawa ndo jamii ya watu wenye akiri kubwa ya uvumbuzi
Myahudi
Mkorea
Mchina

Mmarekani yeye anaiba hao watu na kuwasimika nchini kwake ndo mana hadi kesho NASA kuna mchanganyiko wa hao viumbe
Vivo hivyo kwa mataifa mengine
 
Eerh! Mtalaam nimeingia sasa! Jibu: INTERNET = INTERconnected NETworks. Kwa lugha ya Madafu = Mitandao iliyounganishwa. Hii ina maana kuwa kuna aina nyingi za mitandao (networks) hapa Duniani (scale-wise), kuanzia chini kwenda juu: Peer to Peer (PC 2 zilizounganishwa kwa ethernet cable au Wireless), LAN (PCs zaidi ya 1 zilizounganishwa kupitia kifaa kiitwacho 'Switch', Metropolitan Network (Mtandao wenye switch kadhaa na router ila una coverage ya eneo maalum la kijiographia, ie, Mkoa), Intranet (Mtandao unaotumia vifaa muhimu ambavyo ni Router, Switch na una-cover nchi moja/upo ndani ya nchi moja geographically), and finaly, Mitandao iliyounganishwa baina ya nchi na nchi, yaani 'Inter-connected Networks' (Internet). Mpaka hapo utagundua kuwa hii mitandao ambayo ni ya computer inategemea na ukubwa kijiographia, uwingi wa vifaa na pia uwingi wa huduma zinazopatikana kwenye mitandao hiyo hadi tunafikia kwenye level ya juu kabisa ya ki-Dunia ambayo ndio INTERNET. Hivyo, hakuna mmiliki wa Internet zaidi ya taasisi zilizoundwa na wadau kwa ajili ya 'UDHIBITI' na 'USIMAMIZI', hapa nilitaka kumaanisha 'Regulation', ila kiswahili kimekuwa shallow kidogo! Taasisi hizo kama ilivyo TCRA, huakikisha kuwa mambo ya msingi yanazingatiwa, yaani hakuna kucheza rafu! Vitu vya msingi ni kama vile MAJINA, PROTOCALI, NAMBA (IP), MIPAKA YA KIJIOGRAPHIA, NK. Baadhi ya hizo taasisi (regulators) ni kama vile ICANN, IETF, FCC, IEEE, nk. Suala la msingi hapa ni kujua kuwa mtandao wa Internet unakuwepo pale miundombinu ya Dunia nzima inayounganisha Computer moja moja zenye materials mbalimbali kama vile movie, mziki, documents, picha mnato, tovuti, huduma ya barua pepe, nk inapomuwezesha mtumiaji wa mtandao huo kuweza ku-acces kile anachotaka kutoka computer yoyote hapa duniani. Duh, nimechoka kuandika, ila hopefully tumeelewana.
 
Mbona Trump aliwahi kusema "... Hata internet tunayotumia inatoka kwao (Marekani) na wakiamua kuizima there is nothing we can do" hili nalo limekaaje? No one owns internet kweli? Na kama kweli "hayupo" Trump alipata wapi jeuri ya kusema hivi au alikua ana maana gani?
 
Alisema hivyo kwa sababu, kampuni almost zote zinazoratibu mtandao huo wa computer wa dunia (internet) aidha zipo Marekani, Marekani ilihusika katika kuanzishwa kwake, ilikuja kuziweka 'under her captivity' au ilikuja kuzimiliki baadaye, si unajua dunia hii mwenye nacho huongezewa na ubabe ndio unaotawala dunia? Zipo ideas nyingi za uratibu wa internet ambazo USA hakuhusika ila kwa kuwa yeye ni mbabe wa kiuchumi/kijeshi alikuja akaziteka baadaye!

Pia usisahau kuwa miundombinu mikubwa inayounga dunia yote hasa kwenye sekta ya internet ni SATELLITE! Unajua ni nchi gani inayomiliki Satellite nyingi dunia hii? Ni USA Baby!

Mwenye nguvu...................!
 
Back
Top Bottom