Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Alisema hivyo kwa sababu, kampuni almost zote zinazoratibu mtandao huo wa computer wa dunia (internet) aidha zipo Marekani, Marekani ilihusika katika kuanzishwa kwake, ilikuja kuziweka 'under her captivity' au ilikuja kuzimiliki baadaye, si unajua dunia hii mwenye nacho huongezewa na ubabe ndio unaotawala dunia? Zipo ideas nyingi za uratibu wa internet ambazo USA hakuhusika ila kwa kuwa yeye ni mbabe wa kiuchumi/kijeshi alikuja akaziteka baadaye!

Pia usisahau kuwa miundombinu mikubwa inayounga dunia yote hasa kwenye sekta ya internet ni SATELLITE! Unajua ni nchi gani inayomiliki Satellite nyingi dunia hii? Ni USA Baby!

Mwenye nguvu...................!
Mkuu setellite sio lazma kwa internet... hiyo ilikuwa zamani ila sasa sehemu nyingi duniani wanatumia undermarine fiber optic cable

Au jaribu kuGoogle undersea fiber optic au marine fiber optic utapata kila kitu
 
Ninavyojua mimi kila Nchi kubwa Duniani wameweka Satelite zao huko Angani( USA wana satellite 24) ambazo ndio zinasaidia mpango mzima wa Internet Mashindano makubwa yaliyopo sasa ni Nchi kubuni mbinu kuwa na speed ya Internet(China Inategemea ku-establish 5G ifikapo 2020) ili Ipata faida zaidi.
 
Habarini wataalamu

Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?

Nawakilisha

Short & clear
Mmiliki: 'usalama' kwani kubadiliahana habari ilianzia jeshi has a habar za kivita.

2007 database center makao makuu HQ ilikuwa sanfrancisco USA . currently ........??
 
La kujiuliza hizi bando za MBs na GBs wanazipata kwa nani hawa watu wa mitandao???
Wao pia wananunua huduma toka kwa watoa huduma wakubwa huko duniani na wanalipa subscriptions kama wewe unavyolipa kwao
 
Habarini wataalamu

Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?

Nawakilisha
Internet is a vast connection of computer networks worldwide. kinachotokea ni kwamba wewe dunia nzima kuna servers mbalimbali ambazo watu wanaeka data zao kisha hizo server wanaziconnect kwenye network ili watu wengine from other places waweze kuziaccess, hiyo network ndio inaitwa internet kwakuwa imekusanya network nyingi ndogo ndogo.
Internet ni mfano wa bomba kubwa la maji ambalo linapitisha maji, sasa ili wewe upate maji lazima ujiunge kwenye hilo bomba, lakini hauna vifaa vya kukuunganishia kwenye hilo bomba ndio hapo kuna kampuni ambayo ina vifaa vyote ambavyo inakuunganisha kwenye bomba hilo kwa muda fulani kwa malipo fulani.
Ukiangalia mfano wa hapo juu bomba kubwa ni internet, maji yanayopita kwenye bomba ni data mbalimbali ambazo zinapatikana kwenye internet, hiyo kampuni ni hawa service providers wetu eg. voda, tigo etc., huo muda wataokuunganisha ndio kama hizo MB, GB.
 
Mkuu setellite sio lazma kwa internet... hiyo ilikuwa zamani ila sasa sehemu nyingi duniani wanatumia undermarine fiber optic cable

Au jaribu kuGoogle undersea fiber optic au marine fiber optic utapata kila kitu
All this are Networking infrastructure. Miliki ni huyo ISP holders niliokuonyesha hapo juu
 
Americans ni founders wa infrastructure ya Internet. Contents zinatoka kila kona ya Dunia. Always America
 
Habarini wataalamu

Napenda kujua nani ndie mmiliki wa internet.... I mean pale tunapolipia huduma hii je mtu wa mwisho ktk jumuisho kuu wa makusanyo n nani?
NOTE: Najua maana ya internet vzur, ila napenda kujua mmiliki wa huduma hiii pia anapatikana nchi gani.......?

Nawakilisha
Ingia kwenye deep web utajua
 
internet aina mmiliki .maana ya internet ni maisha ya jamii ambayo hutakuta kazi zote uchumi,michezo biashara,sanaa,kazi,muongozo,habari n.k mnapo unganika kujua basi yanaitwa mawasiliano na hili mpate mawasailiano lazima mtu hakufikishie mawasiliano .
kumbuka internet ni mali ya jamii na mawasiliano ni mali ya mtu mmoja au wengi
uko nondo. ila tofautisha matumizi ya irabu na h. aina-haina, hutakuta hukanusha kitu. kinyume na maana yako kulingqna na sentes
 
Weka ukweli au kaa kimya kenge unakuwa kama chadema kazi kupinga bila kutoa mbadala... nyie ni nyani hamtaki kujenga ati tutajenga kesho kila siku msemo huo nyumba haijengwi
internet na cdm ni vitu viwili tofauti mkuu. GT wanapingana kwa hoja si matusi
 
NASA wanaanga wamarekani ndio wamiliki wa mwisho wa huumradi wakuteka dunia[emoji83]
 
alikiwa akimaanisha kuwa atakata mawasiliano yetu na server zilizopo uko kwao kwa disconnect izo backbone cable au fiber optic au kuzui izo setelite zao kutupatia iyo huduma ya internet kumbuka izo setelite zinamilikiwa na wao na pia sis afrika atuna izo setelite nyingi tunategeme kutoka kwao ili afrika kuwa kama kijiji
Sasa mbona kuna watu wanasema internet haina mwenyewe!! Kama kuna mtu anaweza kuzima internet basi internet ina mwenyewe.
 
Nimekuelewa pia ikumbukwe kwa sis tunalipia huduma ya internet inayotolewa na izi kampun kama voda ,tigo ila akuna mliki wa intetnet pia usisahu kuwa hata ww ni internet
Kama Trump anaweza kuizima..hilo neno "haina mwenyewe" msiliongee tena hapa.
 
Naona watu wanazunguka tu, nauliza kivi nani n mpishi wa data??
Jibuni hili, hapa ndio kwenye swali.....yaani tunavyomlipa Voda na yeye anamlipa nani? Mpaka tumjue mtu wa mwisho.
 
Alisema hivyo kwa sababu, kampuni almost zote zinazoratibu mtandao huo wa computer wa dunia (internet) aidha zipo Marekani, Marekani ilihusika katika kuanzishwa kwake, ilikuja kuziweka 'under her captivity' au ilikuja kuzimiliki baadaye, si unajua dunia hii mwenye nacho huongezewa na ubabe ndio unaotawala dunia? Zipo ideas nyingi za uratibu wa internet ambazo USA hakuhusika ila kwa kuwa yeye ni mbabe wa kiuchumi/kijeshi alikuja akaziteka baadaye!

Pia usisahau kuwa miundombinu mikubwa inayounga dunia yote hasa kwenye sekta ya internet ni SATELLITE! Unajua ni nchi gani inayomiliki Satellite nyingi dunia hii? Ni USA Baby!

Mwenye nguvu...................!
Afadhali mkuu wewe umejibu. INTERNET INAMILIKIWA NA MAREKANI.
 
Internet haimilikiwi na mtu ni Huduma kama barabara ,maji , umeme , n.k
Kuhusu gharama anaetoa Huduma hiyo ndio mnufaika.
Mkuu uwe unafikiri.
1. Barabara zinamilikiwa na serikali na ndio maana kuna sheria mbalimbali ukiharibu barabara kuna mtu wa kukushitaki(serikali)
2. Umeme unamilikiwa naTanesco kila mtu anajua. Hata ule wa pale Tegeta tunajua mmiliki wake ni IPTL na tunamlipa hela tukituma umeme wake. NIAMBIE INTERNET INAMILIKIWA NA NANI, NANI TUNAMLIPA HELA (usiniambie voda,tigo)
 
Kwa nilivyoelewa mimi Swali la nani Mmiliki wa DATA au Msambazaji Mkuu??

Majibu yapo zaidi ya Matatu Tofaut Kwanza Tutambue Africa tupo Third World Countries na Ikumbukwe kua kua 2nd World Countries na Kuna 1st World Countries...

SASA BASI:

Lazima tukubaliane kua Mtu wa 3rd world na 1st world n tofaut kila kitu..so anapopata DATA mtu wa 3rd world n tofaut na mtu wa 1st world

SOO...

Swali la mleta mada nadhani limelenga kwa Hawa 1st world Countries ni Wapi wanatoa Data na Boss anaewapa Data ni Nani??

Sasa kama inavyojulikana 1st world countries wao wana uwezo,nguvu,akili,Pesa kwahiyo kuhusu DATA nadhani kila mtu anajua anapochukua na anapoipatia..yani huko wao nao kila mtu anajua mwenyewe anapotoa...coz huwez nambia MKOREA anapotoa DATA ni sehemu moja na MMAREKANI hapana hamna kitu kama hicho.

Kwa hivyo ieleweke kua Hamna jibu litakalokuja kwa moja kwa moja kua mmliliki wa DATA ni Nani,sio swali rahisi kama kuuliza mmiliki wa Hospital za AGHAKAN...kwa hiyo hilo swali lina majibu Tofauti kulingana na NCHI gani na ipo ktk kundi Gani.

N sawa uulize nani anahela kwa wanamuziki..halafu mtu aje tu aropoke Diamond au JAY Z au P didy Hapana kuna vitu vya kukusanya ili jibu likitoka linajulikana,nani msanii tajiri Tanzania?? Nani msanii Tajiri AFrica?? ivyoooo jibu litapatikana.

Tukija ktk DATA hapa napo swali libadilishwe liwekwe kulingana na maelezo yangu hapo Juuu.

(huo ndo uelewa wangu ulipoishia zaidi ya hapo sijui)
 
Lakini nasikia mawasiliano ya internet yaligunduliwa na jeshi la marekani kuwezesha mawasiliano ya siri za jeshi. Baadaye activists waliikaba serikali ya marekani iyaweke wazi for the enormous benefits of whole world at large! Kwa muktadha huo nani anamiliKi internet. Hakuna mwenye patent ya originality.... I stand to be corrected
 
Mtandao unamilikiwa na kila mmoja ambaye ni part ya Internet isipokuwa mmarekani anapart kubwa na muhimu katika internet na ndiye mwanzilishi kupitia department ya ulinzi ya USA iliyokuja na Project yake ya ARPANet (Advanced Research Project Agency Net)
 
Back
Top Bottom