Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

chief-mkwawa, cable na wi-fi same applies as mobile provider kulingana na majibu yako. Mf. Anaeweka kwenye restaurant atanunua kwa local isp na local kwa intl isp mpaka kwa mwenyewe anaetengeneza bytes

mkuu bytes hazitengenezwi mfano kuna picha ya michael jackson imehifadhiwa marekani kwenye computer fulani wewe unapoclick kwenye ile address ili upate ile picha; picha itavunjwa vunjwa katika bits ili kurahisisha usafirishaji (pua; mdomo; kifungo; kifungo n.k.) baada ya kufunjwa vunjwa na modem ya kule kwenye picha ilipo kila bits zitatafuta njia nyepesi kuweza kufika kwenye modem yako huenda pua ikatumia satellite; mdomo ukatumia mkonga; sikio cable n.k na kama sikio likipotea njiani modem yako huku itagundua kuna kitu kinamiss itaomba tena. Sasa baada ya hizi bytes zote kufika kwenye destination zitakuja na information jinsi ya kuunganisha hizi bytes zote kumtengeneza michael jackson ili uweze kumuona kwenye pc yako ingawa huenda njia iliyotumia na pua na sikio ni tofauti.....

Kwahio hata wewe ukitaka unaweza kuwa internet service provider wa eneo lako ila itabidi uwe na njia bandwidth ya kuweza kuwapa wateja wako iwe cable au satellite yako (au kukodisha kutoka kwa isp mkubwa) mfano ttcl anaweza akakukodisha kiasi fulani ili messages information za wateja wako ziweze kufika kwenye gateway (yaani njia kuu kwa maneno mengine) kwahio wewe utakuwa unawalipa ttcl tu kwa hio service. Pia kumbuka google na kina facebook wanataka kuleta internet bure through satellites kwahio na wao watakuwa wanamiliki hizo satellites na hawatakuwa answerable kwa yeyote yule. Kumbuka internet ndio maana ikaitwa web yaani ni kama nyumba ya buibui ukikata njia moja unaweza ukapita pengine ili uweze kufika
 
Last edited by a moderator:
TANROAD inamiliki mpaka barabara za Rwanda?!!!!!!
Kuna kitu nimeshahisi kuhusiana na hii thread, HUENDA haukuwa na malengo ya kujifunza, IHAMISHIE JUKWAA LA CHITCHAT au UTANI.

Uko sahihi mkuu
 
angalia vizuri hao uliowataja, siyo tier 1 isp. otherwise uko sahihi kaka.

kaka mi nimezungumzia part yangu nnayoielewa ya mobile data na hawa jamaaa wanagundua hizi infrastructure hawapewi na mtu nna uhakika na historia zao zinajulikana toka enzi hizo za radio call na simu za kwenye magari.

pia kuongezea hakuna list ya kampuni ya kimarekani hapo hata mitandao ya kimarekani kama atnt verizon na sprint wanategemea ulaya kwenye miundombinu ya gprs na lte. ulaya ndio waliogundua na hadi leo ndo wanamiliki part kubwa.
 
Mi nimejifunza kitu kimoja muhimu hapa. Kwamba hakuna mtu anaweza kuzima switch sehemu huko marekani na dunia nzima ikakosa internet.

Nadhani hapo ndio kwenye jibu la mleta mada.

sawa kabisa mkuu. marekani wanaweza kucontrol vile vipande vilivyo kwenye judiciary yao, allies wao na vibaraka wao tu, lakini kitu kitaendelea kuwa hewani kama kawaida, maana hata content ziko kwenye servers mbalimbali dunia nzima, ndiyo maana kuwakabili maharamia inakuwa kazi ngumu.
 
Kwahiyo mkuu hawa secom fiber yao wameunga kwa hao jamaa?? au huyo jamaa ndo mtengenezaji pekee wa domain?? kama siyo kwanini domain zipo nyingi??je na wao wanaunga kwa huyo mwenye www.

Seacom ni just a cable company ya kukuza network kati ya mabala, ambayo ka nlivosema internet ni networks nyingi na hamna anaezimiliki zote!! Ila katika kusurf internet huwezi bila kua na IP, ambayo ISP wako amekupa ambae nae kapewa na moja kati ya 5 or 6 big ISPs wa dunia ambao wote hao wamepewa na ICANN.
 
ICANN ambao ndo wanahusika kutoa domain name na IP addresses ambazo bila hizo huwezi kuingia on the internet!! Usipolipia domain name yako, account inafungwa na inakua wazi kwa mwingine kubeba.
Mkuu Internet ilikuwepo hata kabala ya ICANN kilichofanyika ili kusiwe na mchanganyiko na muingiliano wa address moja kuwa na wamiliki wengi n.k. waliamua kuweka kitengo cha kusimamia haya mambo kuhakikisha yanakwenda kwa usalama na efficiently.., wala ICANN haifanyi kazi kwa faida ni Non Profit Organization.., na mambo ya Domain name hayanihusu mimi ninayesurf bali mmiliki wa website na yeye atanunua na kulipia hio domain name kutoka kwa domain name registrars ambao wapo wengi (nadhani na wewe ukitaka unaweza kufanya biashara hii) ofcourse chochote kuhusu haya mambo ni ushauri na ushirikiano na ICANN (ili kuwe na efficient). Kwahio hata mtu asipolipia Domain name yake kwa registrar basi site yake haitapatikana kwa jina lile, na yeye kutokuwepo mtandaoni (watu kumpata through that address) sio kwamba mtandao haupo

Pia mimi ninapoingia kwenye net ile IP address ninayopewa kwa wakati huo ninapewa na ISP wangu (local internet provider) kwa wakati huo kulingana na traffic na software ya IP wangu ili kuweza kunitambua nipo wapi na kila ninachohitaji (information) zinafika kwangu (na hiyo itakuwa temporary IP Number nikitoka signoff hio IP anaweza akawa issued mwingine
 
Yeah ni kweli mostly what you just said and yes i do know hii ni non profitable organisation thanks for pointing it out!! Ukipitia one last time nilichopost mkuu utaona niliweka neno 'MILIKI' in quotes na kuongeza slash(/) control MAJOR aspect of the internet ni ICANN!!! IP address unayopewa (ambayo bila hiyo huwezi ingia mtandaoni) Local ISP kaipata probably from AFRINIC!! Nadhani unajua dunia nzima allocation za IP address ISP wanachukua toka kwenye appropriate Regional registry!! Kama zinavoonekana below
rir-map.svg

Nazo hizi Regional Internet Registries(RIR) wanapewa pool of IPs toka IANA an organisation run by ICANN. So sio kwamba nasema the guys wanamiliki internet, ila just pointing out kua hii organization ndo inacontrol au 'kumiliki' a big chunk of the web!!! Cheers
resources:IANA — Number Resources
 
Internet ni mawimbi ya kielectronic (electronic waves) yanayosafirisha mawasiliano.
Mfumo mzima wa Net huanzia kwenye Satelites zinazorushwa na mataifa mbali mbali. Life span ya kila satelite ni kuanzia 15 yrs na zaidi. Mawimbi yanayorushwa toka kwnye satelite mpka duniani huuziwa watu wanaoitwa SP (serve providers) ambao wamegawanyika kwa wakubwa na wadogo. Wakubwa ni makampuni kama Google na Yahoo also British Telecom (BT) na Canal France ya Ufaransa na wadogo ndo akina Simba net, Smile, tigo, voda na wengneo.
Makampuni kama Google, BT, CF na Yahoo pia wanamiliki Satelite zao na nying humilikiwa na taasisi kubwa za kimarekani kama NASA, NSA, na kwa UK kuna British Aerospace, Russia kuna Russia Aerospace china pia ni China Aerospace.
SP wadogo Wakishauziwa mfumo wa mawimbi toka kwa SP wakubwa nao huwauzia Subscribers (akina sie) kwa mifumo mbali mbali mfano ni hivi vifurushi tunavyonunua.
Satelitte nyingi zinazo provide Internet duniani kwa sasa zinamilikiwa na USA na wanaprovide in a more cheap way kiasi kwamba mataifa mengi na mawakala wa mawasiliano wameji subscribe kwenye mifumo hii ya mawasiliano ya wamarekani. Mfano hata sisi taasisi zetu za kiserikali hapa Tanzania kama Mamlaka ya Hali ya Hewa hutumia Satelite hizi hizi kupata Information za hali ya Hewa na taarifa nyngne za kiraia kuhusu nchi yetu.
Nchi zinapoona Usalama wake uko Shakani kwa kutumia Satelite za nchi ngeni hutengeneza Satelite zao wenyewe na kuzirusha ili ziweze kusambaza mfumo wa mawimbi haya (internet) katika territory yake na faida ya kufanya hivi ni kudhibiti taarifa zinazoingia na kutoka katika nchi husika na pia kulinda taarifa muhimu za siri za nchi husika. Mfano wa waliofanya hivi ni Iran (ukiwa Iran hupati intenet tunayotumia wote duniani wao wana mfumo wao kila kitu ni Iran tu), North Korea (wameifungia nchi yao kwenye mfumo wao tu ukiwa huko huwez jua nn kinaendelea duniani) China (tena China wana facebook yao inaitwa Ring ren hapo nyuma waliipiga marufuku facebook ya Marekani, Russia pia wana mfano wa GPS yao jina limenitoka hawatumii GPS ya Wamarekani na pia wanacontroll mfumo wote wa Waves toka Satelite za Wamarekani hivyo wanaweza kuzuia chochote watakacho.
Kutengeneza au Kuunda Satelite na kuirusha angani ni expensive sana si kila nchi inaweza afford hata kwa baadhi ya mataifa ya ulaya hivyo wote wanajisubscribe kwenye mfumo wa Marekani lakini lakini USA wamedominate sna mfumo wa Internet na pia ni cheap na site zao ndio zinafanya vzur mfano Google, youtube, yahoo, hata Social Network zinazotamba ni za USA mfano Fb, Instagram, Viber, Whatsapp na Twitter hivyo kuwa na mfumo wenu pekee kunaufanya uwe so depent kwa information hasa za kimataifa kwa mifumo ya wamarekani na hii itafanya mkose soko la matangazo cz kurun mifumo hii ni ghali inabidi iwe na nature ya kibiashara iweze kujiendesha. Mfano nikikwambia Russia wana mfumo wao wa GPS lakini duniani hata haufahamiki na matumizi yake makubwa ni kwenye Jeshi lao cz hata Raia wa kawaida wa Russia hutumia GPS ya marekani kama Navigation tool.
 
mossad007 musiwe brainwashed na wamarekani si google wala si yahoo hakuna hata mmoja anaemiliki network. na si kweli kwamba eti hao kina google ndio wamiliki wakubwa kisha wanawapa isp wadogo kina tigo na voda.

kama nilivyoeleza hapo juu provider mkubwa anaewapa internet marekani ni erricson kampuni ya ulaya na nokia kidogo pia anawapa.

ni kweli google ana plan za kuuza network yeye na facebook lakini bado hawajaanza na wala hakuna uhakika kuwa watafanikiwa sababu kazi hii inahitaji research za uhakika ili ubaki kwenye game tofauti na biashara za consumer.

pia internet si lazima iwe ya satelite hio ni part tu kuna internet za waya zipo dunia nzima zinapita baharini na hii ni ramani yake. ila nahisi ya mda kidogo maana mkonga wa taifa siuoni

glasvegels.jpg
 
Last edited by a moderator:
Internet ni mawimbi ya kielectronic (electronic waves) yanayosafirisha mawasiliano.
Mfumo mzima wa Net huanzia kwenye Satelites zinazorushwa na mataifa mbali mbali. Life span ya kila satelite ni kuanzia 15 yrs na zaidi. Mawimbi yanayorushwa toka kwnye satelite mpka duniani huuziwa watu wanaoitwa SP (serve providers) ambao wamegawanyika kwa wakubwa na wadogo. Wakubwa ni makampuni kama Google na Yahoo also British Telecom (BT) na Canal France ya Ufaransa na wadogo ndo akina Simba net, Smile, tigo, voda na wengneo.
Makampuni kama Google, BT, CF na Yahoo pia wanamiliki Satelite zao na nying humilikiwa na taasisi kubwa za kimarekani kama NASA, NSA, na kwa UK kuna British Aerospace, Russia kuna Russia Aerospace china pia ni China Aerospace.
SP wadogo Wakishauziwa mfumo wa mawimbi toka kwa SP wakubwa nao huwauzia Subscribers (akina sie) kwa mifumo mbali mbali mfano ni hivi vifurushi tunavyonunua.
Satelitte nyingi zinazo provide Internet duniani kwa sasa zinamilikiwa na USA na wanaprovide in a more cheap way kiasi kwamba mataifa mengi na mawakala wa mawasiliano wameji subscribe kwenye mifumo hii ya mawasiliano ya wamarekani. Mfano hata sisi taasisi zetu za kiserikali hapa Tanzania kama Mamlaka ya Hali ya Hewa hutumia Satelite hizi hizi kupata Information za hali ya Hewa na taarifa nyngne za kiraia kuhusu nchi yetu.
Nchi zinapoona Usalama wake uko Shakani kwa kutumia Satelite za nchi ngeni hutengeneza Satelite zao wenyewe na kuzirusha ili ziweze kusambaza mfumo wa mawimbi haya (internet) katika territory yake na faida ya kufanya hivi ni kudhibiti taarifa zinazoingia na kutoka katika nchi husika na pia kulinda taarifa muhimu za siri za nchi husika. Mfano wa waliofanya hivi ni Iran (ukiwa Iran hupati intenet tunayotumia wote duniani wao wana mfumo wao kila kitu ni Iran tu), North Korea (wameifungia nchi yao kwenye mfumo wao tu ukiwa huko huwez jua nn kinaendelea duniani) China (tena China wana facebook yao inaitwa Ring ren hapo nyuma waliipiga marufuku facebook ya Marekani, Russia pia wana mfano wa GPS yao jina limenitoka hawatumii GPS ya Wamarekani na pia wanacontroll mfumo wote wa Waves toka Satelite za Wamarekani hivyo wanaweza kuzuia chochote watakacho.
Kutengeneza au Kuunda Satelite na kuirusha angani ni expensive sana si kila nchi inaweza afford hata kwa baadhi ya mataifa ya ulaya hivyo wote wanajisubscribe kwenye mfumo wa Marekani lakini lakini USA wamedominate sna mfumo wa Internet na pia ni cheap na site zao ndio zinafanya vzur mfano Google, youtube, yahoo, hata Social Network zinazotamba ni za USA mfano Fb, Instagram, Viber, Whatsapp na Twitter hivyo kuwa na mfumo wenu pekee kunaufanya uwe so depent kwa information hasa za kimataifa kwa mifumo ya wamarekani na hii itafanya mkose soko la matangazo cz kurun mifumo hii ni ghali inabidi iwe na nature ya kibiashara iweze kujiendesha. Mfano nikikwambia Russia wana mfumo wao wa GPS lakini duniani hata haufahamiki na matumizi yake makubwa ni kwenye Jeshi lao cz hata Raia wa kawaida wa Russia hutumia GPS ya marekani kama Navigation tool.
OH MY GOD!!! Mkuu kwa heshima naomba either ufute au ufanye research ya ulichoandika alafu uje u-edit huu uzi maana unapotosha umma!! Makosa ni mengi mpaka nashindwa pa kuanzia, INTERNET ni MAWIMBI!?? Yana frequency ya ngapi!? Kwenye EM wave spectrum mawimbi haya yanakaa kwene band gani!?? Ila tu kukuelewesha kidogo naona desa zimechanganyikana, kwene TCP/IP ambao ndio mfumo or Protocol runing the Packets in the internet chini kabisa kuna PHYSICAL LAYER, katika hii layer kuna means tu ambazo data zinaweza kusafiri kwene mtandao nazo ni kama Cable i.e Ethernet, Coax, au wireless!! Satellites zinafanya kazi ya kusafirisha 2 data katika eneo kubwa la ulimwengu!!
 
Twende taratibu.. Em ielezee TCP hapa
 
Aissee wakuu nashukuru sana kwa maelezo yenu mazuri na mimi naungana na mdau mmoja aliyesema mpaka sasa wote tumekubaliana hakuna sole owner wa internet...
Sasa naona wadau mmeanza kuchimba ndani ya madesa ya I.T sie wengine wazee wa Google afu Enter naona tunaanza kupotea..
Kwa kuongezea kidogo hivi hizo mnazoziita "sever" ndio zinatunza data zote za kwenye "internet "...?? Kwahiyo napoifungua JF.com nikiwa let's say hapa bongo the actual page inaweza kuwa kumbe imeifadhiwa kwenye sever labda iliyoko Nevada Marekani..je kuna ukweli katika hili..??
 
mossad007 musiwe brainwashed na wamarekani si google wala si yahoo hakuna hata mmoja anaemiliki network. na si kweli kwamba eti hao kina google ndio wamiliki wakubwa kisha wanawapa isp wadogo kina tigo na voda.

kama nilivyoeleza hapo juu provider mkubwa anaewapa internet marekani ni erricson kampuni ya ulaya na nokia kidogo pia anawapa.
Mkuu nadhani hapo unapotoka sana tu.., sababu kwa haraka haraka nimecheki Tier 1 ISPs za marekani peke yake (yaani hawa ni ISPs ambao hawategemei kununua bandwidth kwa mtu yoyote na wana infrastructure za kutosha na nimepata wafuatao (kumbuka hii ni Marekani peke yake) Sasa unaposema marekani wanapata internet kutoka kwa Erickson na Nokia nadhani kunahitajika maelezo zaidi

Abovenet
AT&T
Broadwing Communications
Cogent
Grande Communications
ICG Communications
Level(3)/Global Crossing
Looking Glass Networks
MCI
McLeodUSA
OnFiber Communications
Qwest
Savvis
SBC
Sprint
Telmex
Time Warner Telecom
UUNET
Verizon
WilTel Communications
XO
TeliaSonera International Carrier
 
Aissee wakuu nashukuru sana kwa maelezo yenu mazuri na mimi naungana na mdau mmoja aliyesema mpaka sasa wote tumekubaliana hakuna sole owner wa internet...
Sasa naona wadau mmeanza kuchimba ndani ya madesa ya I.T sie wengine wazee wa Google afu Enter naona tunaanza kupotea..
Kwa kuongezea kidogo hivi hizo mnazoziita "sever" ndio zinatunza data zote za kwenye "internet "...?? Kwahiyo napoifungua JF.com nikiwa let's say hapa bongo the actual page inaweza kuwa kumbe imeifadhiwa kwenye sever labda iliyoko Nevada Marekani..je kuna ukweli katika hili..??

Kweli tupu JF ingeweza kuamua kwamba files zake zote kuzihifadhi kwenye computer yao wenyewe lets say Hapo Bongo, ila kwa efficiency na kuhakikisha kwamba site inakuwepo kwa muda wote watu huwa wanatafuta a Webhost ili akuwekee files zako, na hawa mara nyingi wapo efficient na hakuna mambo ya kwamba umeme umakatika wala nini, na webhost wengi wapo marekani kwa garama ndogo sana anakuwekea files zako na unakuwa unalipia kwa mwaka..

Pia kuna kitu kinaitwa virtual webhost..., hata wewe ukitaka unaweza kuanza kuuza webhosting services kwa watu hapa Bongo kwa kununua nafasi (space) kwa webhost mkubwa alafu wewe kuwauzia wateja wako na kuwachaji pesa (ilimradi unachokiuza kisizidi ukubwa wa space ile unayoikodisha kwa webhost wako; kwahio unakuwa a webhost reseller..

Kwa ufupi kila unachokiangalia kwenye net kipo sehemu kimehifadhiwa kwenye computer fulani popote pale ulimwenguni na kina address yake unique ili wewe uweze kukipata inabidi utumie ile address unique..., mfano kupata hii page lazima utumie hii address
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...mmiliki-halali-wa-internet-3.html#post9237728

ambayo huenda imelala sehemu kwenye server huko sijui wapi (maybe America)
 
Wewe bado hujamuelewa vizuri muuliza swali, unabaki kuzungumzia internet protocol na ISP.
Jamaa anataka kujua hao Voda wanatoa wapi hiyo service? Hiyo mikongo ya baharini (Fiber Optic) imetokea nchi gani?

Imetokana na bigbang theory
 
OH MY GOD!!! Mkuu kwa heshima naomba either ufute au ufanye research ya ulichoandika alafu uje u-edit huu uzi maana unapotosha umma!! Makosa ni mengi mpaka nashindwa pa kuanzia, INTERNET ni MAWIMBI!?? Yana frequency ya ngapi!? Kwenye EM wave spectrum mawimbi haya yanakaa kwene band gani!?? Ila tu kukuelewesha kidogo naona desa zimechanganyikana, kwene TCP/IP ambao ndio mfumo or Protocol runing the Packets in the internet chini kabisa kuna PHYSICAL LAYER, katika hii layer kuna means tu ambazo data zinaweza kusafiri kwene mtandao nazo ni kama Cable i.e Ethernet, Coax, au wireless!! Satellites zinafanya kazi ya kusafirisha 2 data katika eneo kubwa la ulimwengu!!

Asee hata mimi nimeshangaa kusikia kuwa internet ni mawimbi!
 
Back
Top Bottom