Nani anamiliki Internet(Who owns the internet)?

Maji safi yaliyo chini ya ardhi kwa ajili ya matumizi ya binadamu huwa hayana mmiliki. Ukifaniukiwa kuchimba/kuchimbiwa au kuwa na kisima kikubwa unachomiliki kisheria kiasi cha kuweza kuwagawia wengine (e.g. DAWASCO), unaweza ukaamua kama utawagawia bure au watalipia, au hata usiwagawie kabisa utumie wewe mwenyewe tu, kama unaona matumizi yako ni makubwa au maji yako siyo mengi. Hata internet imefanana kiasi hivyo. Sema tu kuna mtu aliyegundua internet mwaka 1992 anaitwa Tim Berners Lee. Huyu ndiye aliyegundua internet ila sidhani kama ana hati miliki yake. Kwa mfano, ulishawahi kujiuliza kama kuna mtu ana hati milki ya masafa ya mawasiliano kv ya redio, simu nk? Nadhani sheria kama hiyo haipo duniani. Anyway ni mawazo yangu tu, naweza nisiwe sahihi kama ninavyodhani!

Correction Mkuu, Tim Berners Lee aligundua World Wide Web (www) na sio internet. Huu ni mojawapo tu ya mifumo ya matumizi ya internet ambayo inawezesha ku-access interlinked hypertext documents (samahani sijui tafsiri yake kwa kiswahili). Kwa lugha nyepesi ni kuwa WWW inawezesha ku-access wavuti (websites) mbalimbali ambazo zina maandishi, picha, video n.k kwa kutumia web browser (sijui tafsiri yake kwa kiswahili).
 
Actually ukitaka kuongea kwa lugha sahihi zaidi, ali-develop. Wikipedia inadefine internet as follows:

The Internet is a global system of interconnected computer networks that use the standard Internet protocol suite (TCP/IP) to link several billion devices worldwide. It is a network of networks that consists of millions of private, public, academic, business, and government networks, of local to global scope, that are linked by a broad array of electronic, wireless, and optical networking technologies. The Internet carries an extensive range of information resources and services, such as the inter-linked hypertext documents and applications of the World Wide Web (WWW), the infrastructure to support email, and peer-to-peer networks for file sharing and telephony.

Sasa kwa maelezo yako kama www na internet ni tofauti, kipi kiliwahi kuwepo kabla ya mwingine?. Mimi ninvyojua for the layman language, the internt is simply a global connection of computers via the www. Now, can the interet exist in the absence of the www? Which one is dependent on the other (i.e. wiout which it can not exist). I gess the internet came into existence only after Lee developed the www, the time before which it was non existent!
 
Mimi nilichokuwa nasahihisha ni kwamba mtajwa hakugundua internet kama ulivyosema kwani internet ilikuwa developed in 1960's huko US wakati www ilikuwa developed in 1990's. Halafu hapo kwenye blue ni vice versa (www works via internet) na ushahidi ni hapo juu kwenye red.
 
Bado sijaelewa. Ninavyojua walianza kwa ku-connect computers ndani ya chumba na chumba for file sharing purposes only, yaani kama LAN vile. Baada ya kuwa www imekuwa developed, ndiyo connections zikawa zinakuwa extended beyond LAN, wakaanza ku-connect jengo na jengo, mji na mji, na hatimaye nchi a nchi, na ndiyo pale www ilipoanza kufanya kazi. Walichogundua kipindi hicho haikuwa internet as such isipokuwa ilikuwa ni INTRANET that could not be developed beyond LAN level, internet imekuja kuwepo tu baada ya www kuwa developed. Kilichogunduliwa mwaka 1960 siyo internet except something which led to the internet after Lee developed the www
 
Siyo somo fupi kiasi hicho, lazima aanzie karibu zaidi ili umwelewe. Ni chain kutoka kwenye modem yako kwenda voda kwenda ttcl kwenda Seacom kwenda Century Link au Qwest. Ni "system" na ndani yake kuna wahusika WENGI na wote wanategemeana, HAKUNA MMOJA ANAYEWEZA KUSEMA ANAMILIKI.

tunaweza kusema mmiliki yupo hata pakiwa na wahusika wengi. Tunapozungumzia mmiliki tunazungumzia mtu wa kwanza ambaye ndiyo mwanzilishi. Mfano ukiwa na conference call ina maana mmiliki wa mawasiliano ni yule anayewaunganisha ambapo yeye akikata simu basi kikao hakiendelei. Na hilo ndilo swali la mleta mada.
 
Mmiliki ni nani? jadili ndani ya mada.
 
hahahahahaa, kumbe hauna uwezo wa kujadili, haya tumeshakuelewa.

ukisoma ukaelewa ndipo utakapojua. Ila nikusaidie hakuna mtu au taasisi yoyote inayomiliki internet isipokuwa kinachomilikiwa na mtu au taasisi ni isp. Mfano tcra ndiyo mmiliki wa mawasiliano tanzania. Wao wakizima server ya hapa haimaanishi kenya au uganda wanakosa mawasiliano
 
Repetition, umesoma lakini post za huko nyuma?
TCRA ni regulation authority tu, they doesn't own shit!
 
Yap hata ukisoma kwenye hiyo link utaona ni kitu gani kipo na nimezungumzia nini.
 
wala usipate shida ndugu yangu mmiliki halali ni yule mwenye kampuni ya microsoft wa marekani nimemsahau jina lake
Huwa napata tatizo hasa kujua mmliki halali wa Internet je net inakuwa controlled na nchi gani au mtu gani?
 
wala usipate shida ndugu yangu mmiliki halali ni yule mwenye kampuni ya microsoft wa marekani nimemsahau jina lake
Bill Gate? je na wenye apple company, Linux? Ubuntu? etc.Bado sijashawishika kwani hata aliyeanzisha Network lazima kuna sources kama inapita kwenye Settelite lazima kuna mmiliki.
 
sasa hao ndo siwajui labda yule wa ubuntu naweza kumfamu kidogo
aliyeanzisha ubuntu ni Mtambuzi
Bill Gate? je na wenye apple company, Linux? Ubuntu? etc.Bado sijashawishika kwani hata aliyeanzisha Network lazima kuna sources kama inapita kwenye Settelite lazima kuna mmiliki.
 
Last edited by a moderator:
"If I'm ever on life support I've left strict instructions to turn it off then on again. I plan to reboot and come back as atheist 2.0"
Mkuu CYBERTEQ nimesoma signature message yako imenivutia sana...kama litafanikiwa hilo ulilolisema basi nami ntaomba unisaidie either kujail break au kuroot OS yangu ili niweze kufunction kama wewe freely
 
Last edited by a moderator:
Hivi mpaka wawambie provider???!!!kwani hakuna mahali kuna backbone??je ikifa bado provider watakuwa na uwezo wa net??mathalani nikusaidie hapa backbone haapa anamiliki au kuendesha ni simbanet ndo maana bakiwepo na shida ya fibber net mjini inasumbua inabidi watu atumie satellite dish kwa ajili ya internet sasa hapo imekaaje?

KakaKiiza,
NILIVYOELEWA hii article inaonyesha mmliki ni serikali ya Marekani na inaelekea ni mpaka 2015 ndipo wanafikiria kuwapa na wengine SAY katika umiliki wa TOOL HII.

The U.S. Gives the Internet to the World - US News

sijui kama nimekusaidia mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom