fagix
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 741
- 563
Daah huyu jamaa anaaribu sasa, atamfanya mkuu wa nchi amwongezee mdaa!,, bora ananyamazagee tu apite na 100 kwenye issue hiiMtoto wa malyangili angewahi kusepa kabla ya kusepeshwa,tukutane Kwa Mzee wa kuliamsha dude tukale ubuyu wa ZanzibarView attachment 851783
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima you’re my manMtoto wa malyangili angewahi kusepa kabla ya kusepeshwa,tukutane Kwa Mzee wa kuliamsha dude tukale ubuyu wa ZanzibarView attachment 851783
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamwisho sokoni...wakuu, hii ni prediction tu. Kwa tunaomfahamu Mkulu, vere suni anamtoa mkuku huyu Makonda. Makonda ameshindwa kujifunika kwa turubai na ameishia kujificha kwenye shamba la karanga au nyuma ya nguzo ya umeme.
Hivyo tutabiri, nani atakuwa mkuu wa mkoa mpya, na awe na sifa gani ili kuongoza vyema mkoa huu wenye changamoto nyingi na unaoongoza kwa kuliingizia taifa pato kubwa!!
Kwaheri kaka Makonda. The street is waiting for u. Kolomije wanakuandalia mapokezi makubwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na imeshatoka hiyo Dogo ataendelelea na majukumu yake kama kawaidaAngalau dada wewe umeliona hili, mkulu angekuwa na dhamira hiyo hakuwa na haja ya kulitolea ufafanuzi, badala yake ingekuwa kama ya nape & mwigulu, barua ya utenguzi ingekuwa mitandaoni sa hii
Unajua kucheza na akili za watanzania ni rahisi sana huyu mwenye kaya angekuwa mtumbuaji hata asingetoa maelezo mengi angefyeka maelezo yangefuata ila hapa tumechezewaHuyo unaemtaja hajapata kosa la kumtoa hapa Dar hizo unazohisi ni kelele tu. Hicho ni kizimba cha jiwe haking'olewi kirahisi hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na madhaifu yake bado ni RC bora kwa baadhi ya maeneo. Akilipa kodi si ATAKUWA safi na KUENDELEA? Just curious.