Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Eti eennhh!!.Hakuna kama makonda. Makonda ana weakness zake ila sehemu kubwa yupo vizuri. Mikoa mingine tulimtamani sana huyu makonda japo mwaka mmoja tu. Rais aliletee sisi huku ili watu wanyooke.
...wakuu, hii ni prediction tu. Kwa tunaomfahamu Mkulu, vere suni anamtoa mkuku huyu Makonda. Makonda ameshindwa kujifunika kwa turubai na ameishia kujificha kwenye shamba la karanga au nyuma ya nguzo ya umeme.
Hivyo tutabiri, nani atakuwa mkuu wa mkoa mpya, na awe na sifa gani ili kuongoza vyema mkoa huu wenye changamoto nyingi na unaoongoza kwa kuliingizia taifa pato kubwa!!
Kwaheri kaka Makonda. The street is waiting for u. Kolomije wanakuandalia mapokezi makubwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Tayari Gambo anafungasha kuja kuchukua jiji nimemuacha ana futa viatu
Angalau dada wewe umeliona hili, mkulu angekuwa na dhamira hiyo hakuwa na haja ya kulitolea ufafanuzi, badala yake ingekuwa kama ya nape & mwigulu, barua ya utenguzi ingekuwa mitandaoni sa hiiWakumuwajibisha Makonda hajazaliwa bado, mtasubiri sana.
Hiz ndizo acc nyingne za Mr zero brain.Hakuna kama makonda. Makonda ana weakness zake ila sehemu kubwa yupo vizuri. Mikoa mingine tulimtamani sana huyu makonda japo mwaka mmoja tu. Rais aliletee sisi huku ili watu wanyooke.
Bora ampe sam mahela au sepetuLe Mutuz au steve nyerere
Mkulu hatabiriki. Unakumbuka ya Mama Kilango?Angalau dada wewe umeliona hili, mkulu angekuwa na dhamira hiyo hakuwa na haja ya kulitolea ufafanuzi, badala yake ingekuwa kama ya nape & mwigulu, barua ya utenguzi ingekuwa mitandaoni sa hii
Kwani Mama Kilango ni mpakwa mafuta?
atafaa sana