Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .

Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri

Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .

Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .

Wakati si milele
Sio ufalme ule.
 
Imebaki Story !
 
Back
Top Bottom