MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
Anapewa wolper coz kashatangaza papuchi nje njeBora ampe sam mahela au sepetu
Ni kweli, the devil is still aliveWakumuwajibisha Makonda hajazaliwa bado, mtasubiri sana.
...wakuu, hii ni prediction tu. Kwa tunaomfahamu Mkulu, vere suni anamtoa mkuku huyu Makonda. Makonda ameshindwa kujifunika kwa turubai na ameishia kujificha kwenye shamba la karanga au nyuma ya nguzo ya umeme.
Hivyo tutabiri, nani atakuwa mkuu wa mkoa mpya, na awe na sifa gani ili kuongoza vyema mkoa huu wenye changamoto nyingi na unaoongoza kwa kuliingizia taifa pato kubwa!!
Kwaheri kaka Makonda. The street is waiting for u. Kolomije wanakuandalia mapokezi makubwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimewaka mkuu kwepaji Kodi hatari...likisingizia walimu...mpokeeni tu huko mikoani mkulu keshamchoka[emoji23]Hakuna kama makonda. Makonda ana weakness zake ila sehemu kubwa yupo vizuri. Mikoa mingine tulimtamani sana huyu makonda japo mwaka mmoja tu. Rais aliletee sisi huku ili watu wanyooke.
Huna pointi, mkwepa kodi hana chake, wenzetu ulaya ukikwepa kodi hata Kama uliiwezesha nchi kutwaa kombe la dunia, we ni out too ifike hapo nchi isonge.Hakuna kama makonda. Makonda ana weakness zake ila sehemu kubwa yupo vizuri. Mikoa mingine tulimtamani sana huyu makonda japo mwaka mmoja tu. Rais aliletee sisi huku ili watu wanyooke.
Duh! Umenifanya nicheke ka-mwehu! Nilisahau kumbe wapo wapakwa mafuta! Haya buana!Kwani Mama Kilango ni mpakwa mafuta?