Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,385
Na usisahu na Mr stone riversNasoma kitabu kinaitwa "A coup that never was"
Sent using Jamii Forums mobile app
Na usisahu na Mr stone riversNasoma kitabu kinaitwa "A coup that never was"
At least Mrisho Gambo anaweza kukava ama yule wa Simiyu...wakuu, hii ni prediction tu. Kwa tunaomfahamu Mkulu, vere suni anamtoa mkuku huyu Makonda. Makonda ameshindwa kujifunika kwa turubai na ameishia kujificha kwenye shamba la karanga au nyuma ya nguzo ya umeme.
Hivyo tutabiri, nani atakuwa mkuu wa mkoa mpya, na awe na sifa gani ili kuongoza vyema mkoa huu wenye changamoto nyingi na unaoongoza kwa kuliingizia taifa pato kubwa!!
Kwaheri kaka Makonda. The street is waiting for u. Kolomije wanakuandalia mapokezi makubwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja
Mpya. Imaani yangu wapinzani wqtaona kuw rais haha unabira
Sent using Jamii Forums mobile app
HafaiTayari Gambo anafungasha kuja kuchukua jiji nimemuacha ana futa viatu
Una kiswahili kigumu ingawa kinasomeka!Kama wewe mke basi mumeo ana tabu sana. Unapinga tu. That’s a disease, see a Doctor. Kinachoonekana ulisubiri Rais amtoe Mpango. Huwa mna Theories zenu hewa nyingi sana, Sasa mnapoona Mh Mbona kinyume mnakuja na Cinema. Please make it faster and consult a doctor.
Hivi ni Sky ninayemjua mm au kuna mtu 'kahaki' account hii?Wakumuwajibisha Makonda hajazaliwa bado, mtasubiri sana.
Mkuu upo serious, au unatania?Aggrey Mwanri anatufaa sana..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Una akili sana.Siku zote masadi na matapeli wanajua kuchapa kazi sana.
Tunachowakataa ni kuzuia watu wengine hata kusema. Wasijione na kujitangaza kama malaika. Madhaifu yao yapo ndio maana yanapokuwa wazi sana basi wakubali kuachia ngazi watu wengine nao waongoze.
Ukiona mtu ni mchapa kazi sana na anatumia nguvu kubwa sana kuzuia watu wengine kumhoji ujue kuna uovu anaoficha.
Hii nchi ili iondokane na viongozi wenye ubinafsi na kujilimbikizia Mali ni lazima siasa za KiCCM zipotee kabisa . Paibuke chama kingine chenye nguvu na CCM ipumzike kwa kupokezana utawala. Serikali ya chama kingine ingebanwa sana na maaliwatani wa CCM kulikonilivyo sasa CCM wanakosa wapinzani imara wa kuwabana.
Kwa sasa CCM ni kichaka cha kula nchi bila hofu. Ndio maana hata wapinzani wanakimbilia huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh. Mmmmm ebwahahahaha. Nimeshindwa kumalizia kicheko changu, ni kirefu.Le mutuz , le mbembeziiii Nye nye nyee