Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .

Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri

Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .

Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .

Wakati si milele
Mi napendekeza Lemutuz Supabrand, you know!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulinganisha uwezo wa Pascal Mayalla na baadhi ya watendaji wengi wa serikali anawazidi sana IQ, na uwezo wa kujenga hoja za maendeleo ,

Kiongozi lazima uwe na vision, kama alivyo bwana Mayalla,

Kuna sehem nimepata taarifa nyeti kwamba Mayalla yuko katika target za mkubwa, japo kuna hata Kafulila katajwa nafasi hiyo lakin anayepewa kipaumbele ni Mayalla

Ikiwa kweli basi huyu mnyetishaji wangu sitambeza kabisa
 
Unatoa siri mapema,unaharibu mikakati,ndiomana uzi wako ulifutwa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .

Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri

Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .

Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .

Wakati si milele
...J Mtatiro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulinganisha uwezo wa Pascal Mayalla na baadhi ya watendaji wengi wa serikali anawazidi sana IQ, na uwezo wa kujenga hoja za maendeleo ,

Kiongozi lazima uwe na vision, kama alivyo bwana Mayalla,

Kuna sehem nimepata taarifa nyeti kwamba Mayalla yuko katika target za mkubwa, japo kuna hata Kafulila katajwa nafasi hiyo lakin anayepewa kipaumbele ni Mayalla

Ikiwa kweli basi huyu mnyetishaji wangu sitambeza kabisa
Ulimfahamu Kabudi kabla hajaingia rasmi ccm au Dr Bashiru Ally ? hapo mahali ukiingia sharti akili uziache mlangoni .
 
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .

Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri

Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .

Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .

Wakati si milele
Cyprian Musiba

Sent using Mikoyan MiG-29
 
  • Mtu mwenye umri wa makamo AU Mzima kiasi ( Miaka 40-69)
  • Itafaa zaidi akiwa mwenyeji/mzaliwa wa pwani au aliyefanya kazi Dar kwa muda mrefu
Apewe mama Sophia Simba
  • Kwanza kisiasa itamaanisha reconciliation ya kilichotokea katika mchakato wa kumpata mgombea wa CCM mwaka 2015
  • Pili ni mama mchapakazi, anaheshimika na wanawake ambao ni population kubwa zaidi Dar
  • Tatu ni mzaramo (even though hatumpi uongozi kwa uzaramo wake per se), huyu ni mwenyeji wa mji, analijua jiji, anaijua saikolojia ya jiji, Pia Kama alivyowahi kusema JPM kuwa Wazaramo ni watani wake, basi sasa ni muda muafaka kumpa kiti mtani wake naamini hatomwngusha
  • Nne, Ni mtu mzima, anajua nini maana ya uongozi
  • Ana haiba ya uongozi bila shaka hatutaona mambo ya ajabu mkoani Dar
  • Anaijua CCM, ataiwakilisha Dar vizuri kwenye chama, maana mkuu wa mkoa ni mjumbe wa vikao vya chama ktk mkoa
  • Huyu ana kura za wanawake nyuma yake nyingi, ni asset kwa JPM kwenye uchaguzi wa mwaka 2020
  • Kupewa huyu mama mkoa itakuwa ni meseji ya Unity baina ya faction ndani ya CCM kuwa wanakwenda kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 wakiwa wamezika tofauti za mwaka 2015
  • Ni mwanamama, Dar kwa sasa inahitaji utulivu kama ule wa Kilimanjaro kwa mama Mghwira, naamini aina hii ya calming energy inaweza kuletwa na mwanamke tena mtu mzima mwenye uzoefu katika uongozi
Ni mawazo yangu tu!

Nimependa namna ulivyodadavua hoja
 
Mtaongea but haisaidii kitu, Makonda hatemwi na ataendelea kuchapa kazi kama kawaida...wengi wanamponda eti kisa hakusoma mara anatumia vyeti feki hahaaa...sisi hatuhitaji msomi banaa bali mchapakazi. Makonda Mungu akulinde aise...
 
Kwamba atakuwa RC wa milele ?
 
Back
Top Bottom