Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Huyu engineer RC wa Pwani ni mtu aliyejipanga sana! sio wa maneno yeye ni vitendo tu
nataman angekuwa Dar es salaam kwa sababu zifuatazo;
kwanza ni muumini mkubwa wa serikali ya viwanda - Jamaa ameweka mazingira mazuri kwa viwanda kibaha ikiwemo ulinzi imara ili biashara za wawekezaji ziende kwa amani
pili amedhibitu majambazi huko pwani mpaka raha! maana yalikuwa yanatishia usalama!

ni hayo tu
Tafadhali acheni hizo kampeni, Mkuu wetu wa Mkoa wa Pwani tunamuhitaji mno ili akamilishe program yake ya kuufanya Mkoa wa Pwani kuwa ni Mkoa wa viwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is only God and not otherwise! ...kama kati yetu yupo anayeijua vyema hata dakika moja ijayo kuhusu maisha na awe wa kwanza kuchukua nafasi ya Muumba
 
Jiji imekuwa hovyo hakuna wa kulisemea ! Kila kitu holela ! Bora n'a mwingine ajaribu bahati yake ! Watu Walikuwa wanafanya biashara zao !
 
Mpaji ni Mungu na aliyepewa kapewa tu, ombeni yaliyo mema naamini Mungu wetu anajibu kwa wakati.
 
...wakuu, hii ni prediction tu. Kwa tunaomfahamu Mkulu, vere suni anamtoa mkuku huyu Makonda. Makonda ameshindwa kujifunika kwa turubai na ameishia kujificha kwenye shamba la karanga au nyuma ya nguzo ya umeme.

Hivyo tutabiri, nani atakuwa mkuu wa mkoa mpya, na awe na sifa gani ili kuongoza vyema mkoa huu wenye changamoto nyingi na unaoongoza kwa kuliingizia taifa pato kubwa!!

Kwaheri kaka Makonda. The street is waiting for u. Kolomije wanakuandalia mapokezi makubwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app


Nyie ndio wachawi wenyewe mnataka kuinfluence uamuzi wa Rais. Mpeni facts maamuzi muachieni.

1. Mapato ya Dar yameshuka.
2. Alifanya mpango wa kukwepa kodi.
3. Hajui sheria na kakiuka maadili ya uongozi.
4. Haishi kwa mfano, ananena tofauti na anavyotenda.
5. ....
 
JK alimwona anafaa baada ya kumzaba kibao mzee wa watu akampa uDC. Sioni kitakachomfanya JPM kumwondoa. Yeye yupo tu, tutake tusitake.
 
Hakuna kama makonda. Makonda ana weakness zake ila sehemu kubwa yupo vizuri. Mikoa mingine tulimtamani sana huyu makonda japo mwaka mmoja tu. Rais aliletee sisi huku ili watu wanyooke.
Mwizi na tapeli, ndivyo alivyojipambanua Makonda mbele ya Rais wa nchi pamoja na watanzania kwa ujumla. Endeleeni kumpamba kwa maslahi yenu.
 
Back
Top Bottom