Nani anafaa kumrithi Makonda Dar es Salaam?

Long live makonda wewe ni mfano wa kuigwa na uhakika your moving to another step, unatakiwa uwe waziri wala sio ukuu wa mkoa you deserve more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu engineer RC wa Pwani ni mtu aliyejipanga sana! sio wa maneno yeye ni vitendo tu
nataman angekuwa Dar es salaam kwa sababu zifuatazo;
kwanza ni muumini mkubwa wa serikali ya viwanda - Jamaa ameweka mazingira mazuri kwa viwanda kibaha ikiwemo ulinzi imara ili biashara za wawekezaji ziende kwa amani
pili amedhibitu majambazi huko pwani mpaka raha! maana yalikuwa yanatishia usalama!

ni hayo tu
 
"Kwa tunaomfahamu" huyu wa Pwani si tu anafaa kuwapo mkoani Dar Es Salaam au popote pale kama RC, bali anafaa zaidi kuwapo pale wizarani. (Ministri ov indastriz).

Mtaka pia wa Simiyu yuko njema sana, na kwa kifupi Mh. Mtaka na Mh. Eng Ndikilo, tunaweza kusema "they are more of the same''.

Kwa nafasi ya RC wa DSM, kwa maoni yangu, atafutwe tu mtu mwingine (kama kuna haja ya kufanya hivyo) na sio hao wawili kwa sababu kwa sasa, Simiyu na Pwani zinawahitaji hao wawili kuliko wakati wowote ule.

NB: Mimi bado naamini kwamba nafasi ya RC mkoani DSM bado ina mtu na mtu huyo ataendelea kuwapo hapo, hapa nimechangia tu kwa minajili ya hao ma RC wengine, kwa kadri ya "ninavyowafahamu"
 
Tangu Rais JPM atoe hotuba yake akiwa Chato juu ya sakata la Makontena ya Bandarini ambayo yametajwa kuwa ya 'Makonda' wa Dar na Rais akaeleza kinaga ubaga msimamo wa Serikali kuwa lazma yalipiwe kodi ni wengi wameshangilia uamuzi huu wa Rais, wengine wakaenda mbali kuwa akitumbuliwa watachukua kadi ya 'CCM' na kuwa Wanachama rasmi kutokana na kukoshwa na maelezo ya Mwenyekiti huyo wa Chama Taifa na Rais wa JMT.

Swali pekee ninalojiuliza endapo Rais atasema RC apumzike kupisha uchunguzi kama ilivyotokea miezi michache iliyopita mpaka akaletwa RC wa Pwani unadhani ni nani anaweza kuiendeleza kwa amani na utulivu Dar ya 'Makonda' sababu kwa kiasi chake amejitahidi vichache licha ya dosari zake kubwa binafsi alizonazo za kujiona yuko juu ya Sheria.

Juzi niliandika kwa kusema hili sakata likichunguzwa vizuri kuna mtu anafata sheria kuna mwengine anahisi yuko juu ya sheria na kusisitiza kuwa kuna mahali tukiparekebisha tutasonga mbele zaidi.

Ninachokiona kuhusu Makontena ya RC na Waziri Wa Fedha - JamiiForums

'Nani Kurithi kiti cha 'Makonda' Wa Dar??? Ndo swali ninalojiuliza. Hebu nipe safu ya Wakuu wa Mikoa unaowakubali Top 3 ambao unahisi watamsaidia kazi vizuri Prezdaa wetu wa JMT.

Mchumi Halisi
Aug 31 2018.
 
Back
Top Bottom