Jonfredy Averino Kewe
Member
- Jul 3, 2018
- 12
- 5
Tusiwe washibiki wakutolewa tuwe natija zakutafuta suluhu zsmakosa yake kushsbikia tu niuchanga wakisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Chonde Mtaka aendeleee kubaki Simiyu. Ule Mkoa wa mfano mpya na wa pembezoni. Amejitahidi.mno. Kuna mambo mengi na Mipango mingi itafaa aikamilishe kwanza Simiyu. Akihamishwa inaweza kuharibu Mipango mizuri kama RC mpya hataendeleza.
MAKONDA NEVER DIE
tumechoka na habari za makonda kwani makonda kafanya nini
kaambiwa alipe kodi basi akishindwa vinataifishwa kosa kubwa bado sijaliona tatizo lipo wapi
Wewe sio Mungu huna mamlaka ya kuhukukumu. Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hakika atakufa, ukiwo wewe na mimi.Kuna msemo wa Imani ya DINI unasema....''KILA NAFSI ITAONJA MAUTI......'' au kwa Kiarabu,...''kulu nafs tadhawaq almawt''
Sasa Makonda nnani na kaumbwa kwa udongo gani asife?Surely he must die!!
Ni kweli. Na isitoshe mizigo ipo kibao bandarini imeshindwa kulipiwa kodi na imeuzwa sasa hii ya Mh Makonda ndo imekuwa tukio la ajabu mpaka watu wachonge midomo.tumechoka na habari za makonda kwani makonda kafanya nini
kaambiwa alipe kodi basi akishindwa vinataifishwa kosa kubwa bado sijaliona tatizo lipo wapi
Wewe sio Mungu huna mamlaka ya kuhukukumu. Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hakika atakufa, ukiwo wewe na mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah ...Jokate... Dar ni lango la nchi😛
Hizo ni dua za Kuku. Hata akitoka Makonda ni lazima atakuja mwingine na utatawaliwa tena. Unapaswa uheshimu mamlaka iliyopo kama biblia inavyosemaNyamtalakyono,
Mbona mzee wa Lumumba Street hueleweki? Unakwenda mbele unarudi nyuma...!!!Unaongea nini na mie nimeongea nini?
Nilichosema ni kupinga hoja ya fisi mwenzako aliyedai MAKONDA NEVER DIE...!! Mimi nikasema kwanini MAKONDA ASIFE...yeye nnani kwa Mungu? Kama kila nafsi itaonja mauti ukiwemo wewe na mimi....!!Je, kuhukumu kwangu kuko wapi??Hukumu ni ya Mungu na Ndiye aliyesema KILA NAFSI ITAONJA MAUTI AKIWEMO MAKONDA WAKO NA WEWE MWENYEWE...Enyi mafisicm mlio laaniwa acheni kuongea lugha zenye KIBRI CHA UZIMA.....Hakuna atakayetawala milele Tanzania,,,....a day is coming to which you must go to hell!
Hizo ni dua za Kuku. Hata akitoka Makonda ni lazima atakuja mwingine na utatawaliwa tena. Unapaswa uheshimu mamlaka iliyopo kama biblia inavyosema
Ni mtawala gani ambaye unayemfahamu toka kuumbwa kwa dunia hii ambaye alitawala na watu hawakufa.Hakuna dua la kuku hapo mazee....!!
Hatuwezi kuheshimu Mamlaka ya majizi yanayokwepa kulipa Kodi kama huyo Makonda na kuua au kunyanyasa Watz kisa eti ni wapinzani....Damu ya Tundu Lissu inalia, damu ya Ben Saanane inalia, damu ya Daudi Mwangosi inalia, damu ya Azory Gwanda inalia........Mungu kamwe hawezi kubariki Utawala wa aina hiyo...ndiyo maana kina Hitler, Amin, Bokassa, Saadam, Qhadaffy na wengineo wengi Mungu aliwaondoa kwa aibu na kukatisha uhai wao kwa dhuluma walokuwa wakiwafanyia bin-damu wenzao!!Sasa kama wewe unapuuza maombi na vilio vya Watanzania wanaodhulumiwa haki zao kisa si wana CCM.....Just stay tuned!
Hakika Mungu aliye hai atakubariki kwa andiko hili .Hakuna dua la kuku hapo mazee....!!
Hatuwezi kuheshimu Mamlaka ya majizi yanayokwepa kulipa Kodi kama huyo Makonda na kuua au kunyanyasa Watz kisa eti ni wapinzani....Damu ya Tundu Lissu inalia, damu ya Ben Saanane inalia, damu ya Daudi Mwangosi inalia, damu ya Azory Gwanda inalia........Mungu kamwe hawezi kubariki Utawala wa aina hiyo...ndiyo maana kina Hitler, Amin, Bokassa, Saadam, Qhadaffy na wengineo wengi Mungu aliwaondoa kwa aibu na kukatisha uhai wao kwa dhuluma walokuwa wakiwafanyia bin-adamu wenzao!!Sasa kama wewe unapuuza maombi na vilio vya Watanzania wanaodhulumiwa haki zao kisa si wana CCM.....Just stay tuned!
Hawakufa kwa kipindupindu na maradhi mengine au kwa risasi ? fafanua kidogo mkuuNi mtawala gani ambaye unayemfahamu toka kuumbwa kwa dunia hii ambaye alitawala na watu hawakufa.
Kuna wengine waliuwawa kutokana na kwenda kinyume na matakwa ya wafalme.Hawakufa kwa kipindupindu na maradhi mengine au kwa risasi ? fafanua kidogo mkuu
Hakika Mungu aliye hai atakubariki kwa andiko hili .