babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,308
MAKONDA NEVER DIEHili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik , Yusuph Makamba na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele
Kama siyo snura basi wolper , hao ndio wsmetangaza nia tayari ya kulitumikia taifa!
Kwamba atakuwa RC wa milele ?
mimi namsikiaga anasema mkoa wangu ngoja nikalalee
Aiseeee !!!!Huyu Makonda bhana huwa ana nyodo za ajabu sana....yaani yeye kila kitu ni mali yake:
Wataalamu wa Saikolojia na Menejimenti ya Rasilimali watu wanasema ukikuta mtu anatumia sana UMIMI...kama MKOA WANGU, WANANCHI WANGU n.k. ujue si kiongozi mzuri kwa kifupi HE IS A MERE DICTATOR per ce...!!
- Utasikia MKOA wake wa DSM.
- Utasikia WANANCHI wake wa Mkoa wa DSM.
- Urtasikia WAALIMU WAKE wa Mkoa wa DSM.
- Utasikia POLISI WAKE wa mkoa wa DSM.