johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Hahahaa.... hiyo ilikuwa ni mambo ya shule za Kikristo!Mnamuonea makonda tu maana hata Mathew Luhanga alikuwa rais hakuna aliyehoji.
Hahahaa.... hiyo ilikuwa ni mambo ya shule za Kikristo!Mnamuonea makonda tu maana hata Mathew Luhanga alikuwa rais hakuna aliyehoji.
Duh! Eeee bhana eeee !!Ukuu wa Mkoa ni kazi ambayo mtu yeyote tu anaweza kuifanya..
Mwizi wa vyeti anaweza, failure upande wa Taaluma anaweza nk nk..
La muhimu kupita yote ni kwamba Mh RC awe ni mtu wa kujitoa fahamu katika kujipendekeza kwa Boss..
RC ni nafasi ambayo haihitaji weledi wowote na kiukweli mpaka sasa yanayotendwa na Ma RC ni kama hayapo, ndio maana Tume ya Jaji Warioba kwenye rasimu ya Katiba Mpya ILIKIFUTA cheo hiki.
Mkuu unamaanisha Major Gen. James Luhanga?Mnamuonea makonda tu maana hata Mathew Luhanga alikuwa rais hakuna aliyehoji.
Kwanini umemtaja Jerry Slaa?Jerry Sla
ndiye alienda kujaza yale makasha? Imekula kwake!hivi cocochanel baada ya safari yake ya china mmemficha wapi?
Namaanisha Mathew Luhanga nilisoma nae O level baadae akawa rais kwa jina lingine. Ni mstaafu tumwache apumzike.Mkuu unamaanisha Major Gen. James Luhanga?
Miezi 7hivi cocochanel baada ya safari yake ya china mmemficha wapi?
Ile ishu ya kupiga rambi rambi za Masogange imeishàje?Steve Nyerere itapendeza zaidi, mkuu wa mkoa hana kazi yoyote ni kijiwe cha majobless tu.
Freeman Aikael MboweHili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote .
Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache nitaweka majina kadhaa , Tukianza na Marehemu Kandoro , Marry Chipungahelo , Mecky Sadik na Ditopile Mzuzuri
Uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti , leo huyu kesho yule , hakuna kiongozi wa milele .
Pendekeza jina la umtakaye hata kama itafika miaka 15 ijayo .
Wakati si milele
Na ile ya "udalali"?Steve Nyerere itapendeza zaidi, mkuu wa mkoa hana kazi yoyote ni kijiwe cha majobless tu.
Aliiongoza Ilala vizuri alipokuwa MeyaKwanini umemtaja Jerry Slaa?