Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,202
- 9,820
Ni mtawala gani ambaye unayemfahamu toka kuumbwa kwa dunia hii ambaye alitawala na watu hawakufa.
Watawala wote walio wahi kutawala na wanaoendelea kutawala lazima watu wafe....!!Kuna tofauti kubwa sana kati ya MTAWALA na KIONGOZI! . Zungumzia kuhusu KIONGOZI...si MTAWALA...Kiongozi yeyote HATOPENDA KUONA WATU WAKE WANAKUFA hata kidogo kwasababu tu za kipuuzi kama KUKOSOA UTAWALA wake au kutofautina kimawazo na kihoja...Never!
Baba wa Taifa hili Mwl JK Nyerere(rip) aliwahi kusema KUONGOZA NI KUONYESHA NJIA....siyo kulazimisha watu wafuate au wakubaliane na unavyotaka wewe tena nje ya misingi ya Katiba na Sheria....!!!.CCM NI CHAMA TA/TWAWALA ndo maana Watz wasio na hatia wanakufa na kupotezwa, kubambikiwa kesi na kufungwa pasi na sababu za msingi...!!!