Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,406
Hawa wajomba madrassa wamekaririshwa kuomba uthibitisho wa vitu ambavyo havipo.Mtu anayetaka uthibitisho wa kitu hahitaji kuwa na definition, kudai uthibitisho wa kitu ni kudai definition ya kitu, kwa sababu, hutakiwi kuthibitisha kitu bila kuki define.
Kwa hivyo, nilivyotaka uthibitisho Mungu yupo, hapo cha kwanza kujibiwa ilikuwa definition.
Wewe mpaka sasa hujaweza ku define Mungu ni nini na hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Define Mungu ni nini.
Thibitisha Mungu yupo.
Lengo lao mzungushane mpotezeane muda ila mwisho wa siku hamna kitu cha maana mtakachodiscuss
Mtaishia kubishana tu, huyu anataka umpe uthibitisho wa kitu ambacho hakipo, huyu naye anataka umpe uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu...
mwisho wa siku hawajui jukumu la kutoa uthibitisho liko juu ya yule anaedai uwepo wa hiko kitu
ndomaana watu wanaishia kuwaona wajinga.
So save ur energy.