Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Ili tuepukane na huu mjadala, naomba uweke kwenye kumbukumbu zako "tunamuumba Mungu kwenye akili zetu" baada ya kufikia upeo wa mwisho wa kufikiria unadhani kuna mweza ya yote .

Mungu yupo ila ni muweza wa mambo yote yaliyomo ndani ya kanuni zake.
 
Mungu kaumbwa na binadamu na mungu kaumba binadamu. Yaani mungu ni imani iliyotungwa na watu. Kila mtu kaumba anavyojua yeye. Duniani Miungu ni mingi sana kila kabila wana mungu wao na wanajua utaratibu WA kuomba miungu yako. Hivyo Mungu ni nawazo yaliyotungwa na watu. Mpaka Leo bado miungu inatungwa na kutengenzwa .
 
Ok Mungu ni nini yani neno Mungu lina maana gani?
 
Mungu kaumbwa na binadamu na mungu kaumba binadamu. Yaani mungu ni imani iliyotungwa na watu. Kila mtu kaumba anavyojua yeye. Duniani Miungu ni mingi sana kila kabila wana mungu wao na wanajua utaratibu WA kuomba miungu yako. Hivyo Mungu ni nawazo yaliyotungwa na watu. Mpaka Leo bado miungu inatungwa na kutengenzwa .
Ndio maana kuna utofauti kati ya miungu unayoisema na Mungu.

Wewe unamaanisha mungu.

Mleta mada anamaanisha Mungu.
 
Hizo maana au hizo tofauti pia zimeletwa na binadamu, mbuzi hajui uwepo wa stori hizo.
 
It's right to ask , "who created God" so far nobody knows the truth. Who told you that the Creator was not created ? Let me tell you "the idea of God is created in the mind of an individual."
 
Back
Top Bottom