- Thread starter
- #61
Naam, au unaonaje ?
Naam, au unaonaje ?
Bila shaka, sio kila kinachokujia kichwani mwako unapaswa ukiweke hadharanu au ujifarague kwacho.Huyo jamaa ni kundi moja na wewe, unawezaje kumwita mtu Sophist, deceiver, un intellectual, kwa kuhoji tu; Mungu kaumbwa na nani??
Kuhoji ujinga hutanguliwa na ujinga.Sasa kama angeamini bila kuhoji kwamba Mungu naye ameumbwa hapo utamwitaje??!!--- hapo ndipo unatakiwa umwite ignorant kwa kuamini ujinga kwamba Mungu kaumbwa.
Nini maana ya mjinga ? Unakubali kuna kuhoji ujinga na upumbavu ? Kijana unaonekana mzito sana kufikiri na kung'amua mambo,nakujua wewe ndio maana hata kwenye hili naona ni muendelezo wa hali yako. Unaelewa nini mtu anapo pewa tahadhari "Usihoji ujinga ?". Rejea historia ya Mayahudi na kwanini walipotea ? Walipotea sababu walikithirisha kuhoji, mpaka wakawa wanahoji upumbavu na ujinga usio kuwa na tija, maana ya kuhoji ni kuhoji kwa kutafakari na kutumia akili na kuchunga faida na natija.Mtu anayehoji au kuuliza huyo siyo mjinga bali mtu anayeamini na kushikilia ujinga huyo ndiye mjinga, au hujasikia kauli hii; "KUULIZA SIO UJINGA"???--- wewe ni mtu wa wapi??, una copy-paste na kutetea vitu vya ajabu!!!
Anaitwa mjinga baada ya kuhoji nini, ndio kama hivyo ameitwa mjinga kwa kile anacho kihoji, huu ukweli haubadiliki, hata mlalame mtakavyo lalama.Mtu anayehoji huyo anaitwa "Curious" na ukimwita mjinga ni tusi.
Naona mada imekuzidi ukubwa, hapo ameandikwa kila anae hoji ni muongo au ni mjinga ? Sasa acha kukurupuka. Nyinyi ndio mnajidai mnasoma wakati hamuelewi nini mnasoma mnakuja kutupotezea muda kwa ujinga wenu. Sasa jikite kwenye mada na ujue anae itwa mjinga na muongo hapa ni nani ?Halafu pia unatetea mambo ya ajabu au hujui English??, eti mtu anayehoji aitwe deceiver??!!, hiyo ni sawa???
Kijana hawa tunawajua vizuri ndio maana tunawapa stahiki zao. Nakusaidia tu kwa kukuuliza swali dogo, hao wagiriki walikuwa wana taaluma wa mambo gani ? Ukijibu swali hilo, nakuja kukuonyesha kwanini wewe ni mjinga na kwanini hao ni "Sophist".Angalia maana ya asili ya neno; Sophist uone, Sophist walikuwa ni waalimu na wanataaluma wa kigiriki enzi hizo, sasa utasemaje a Sophist awe ignorant? ?!!.
Mpaka hapa hujaonyesha usahihi ulio nao wewe wala hujaonyesha kosa letu zaidi ya kulalama. Nakukumbusha tu ukweli hauangalii nani amelalama au kinyume chake.Elimu zenu zimejaa viburi na kutusi watu, hamuwezi kufundisha watu kwa hekima na kauli njema ila matukano ndiyo mitaala yenu.
Kwamba msimamo ndio huo huo kama wa huyu niliye mnukuu, au hili bado hujalijua ? Nilikuuliza swali mfano wa hili hukujibu.Majibu yako yapi hayo?
Unaweza kwanza kututhibitishia kwanza, haya yaliyomo kwenye vitabu yanetungwa na werevu ?Ayo mambo yamekaa kiimani sana, hakuna ajuaye yahusuyo Muumbaji ata ivi vitabu vya dini vimetungwa tu na werevu kututia hofu kwenye kufanya ubaya,, mambo ya Mungu hayajulikani kaka tunatiana moyo tu kwenye nyumba za ibada.. Ukwel anaujua yey na sio vitabuni wala matisho tunayopewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina imani na vitabu vya dini. Lakin naimani Mungu yupo na anaishi ndani yetu. Lakin sio kupitia vitabuni, hii ni according to our souls..Unaweza kwanza kututhibitishia kwanza, haya yaliyomo kwenye vitabu yanetungwa na werevu ?
Hujajibu swali langu, embu soma tena kisha ujibu.Sina imani na vitabu vya dini. Lakin naimani Mungu yupo na anaishi ndani yetu. Lakin sio kupitia vitabuni, hii ni according to our souls..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka, sio kila kinachokujia kichwani mwako unapaswa ukiweke hadharanu au ujifarague kwacho.
Sasa hivi kuna mtu mwenye akili au anae mjua Mola muumba wa mbingu na ardhi anaweza kuhoji ya kuwa Mola maeumbwa na nani ? Kijana inakuwaje unabisha kwenye "hamna" ? Kama hujaelewa sehemu bora useme wapi hujaelewa kuliko kutetea jambo lisilo wezekana na linalo dhuhirisha ujinga wako mara elfu na ushee.
Hivi unaweza kuhoji kati ya baba na mtoto nani mkubwa ? Anae hoji swali hili anakupa taswira gani au anakujulisha nini kuhusu yeye ? Sasa acha kupoteza muda kubisha ujinga.
Kuhoji ujinga hutanguliwa na ujinga.
Nini maana ya mjinga ? Unakubali kuna kuhoji ujinga na upumbavu ? Kijana unaonekana mzito sana kufikiri na kung'amua mambo,nakujua wewe ndio maana hata kwenye hili naona ni muendelezo wa hali yako. Unaelewa nini mtu anapo pewa tahadhari "Usihoji ujinga ?". Rejea historia ya Mayahudi na kwanini walipotea ? Walipotea sababu walikithirisha kuhoji, mpaka wakawa wanahoji upumbavu na ujinga usio kuwa na tija, maana ya kuhoji ni kuhoji kwa kutafakari na kutumia akili na kuchunga faida na natija.
Kuuliza sio Ujinga huu ni msemo wa Waswahili, msemo ambao ili usimame wenyewe unataka maelezo ya "....isipokuwa...... ".
Anaitwa mjinga baada ya kuhoji nini, ndio kama hivyo ameitwa mjinga kwa kile anacho kihoji, huu ukweli haubadiliki, hata mlalame mtakavyo lalama.
Naona mada imekuzidi ukubwa, hapo ameandikwa kila anae hoji ni muongo au ni mjinga ? Sasa acha kukurupuka. Nyinyi ndio mnajidai mnasoma wakati hamuelewi nini mnasoma mnakuja kutupotezea muda kwa ujinga wenu. Sasa jikite kwenye mada na ujue anae itwa mjinga na muongo hapa ni nani ?
Kijana hawa tunawajua vizuri ndio maana tunawapa stahiki zao. Nakusaidia tu kwa kukuuliza swali dogo, hao wagiriki walikuwa wana taaluma wa mambo gani ? Ukijibu swali hilo, nakuja kukuonyesha kwanini wewe ni mjinga na kwanini hao ni "Sophist".
Mpaka hapa hujaonyesha usahihi ulio nao wewe wala hujaonyesha kosa letu zaidi ya kulalama. Nakukumbusha tu ukweli hauangalii nani amelalama au kinyume chake.
Ukija uje na hoja usije na malalamiko yaliyo tawaliwa na hisia.
Ahsante.
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).
Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.
Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.
Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)
Wote wanaingia humo. Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?Maneno mengi huko na huko, na wewe unapoteza muda tu hapa.
Nasema hivi; mtu anayehoji au kuuliza huyo siye mjinga.
Angalia, kuna hatua hizi ujifunze;
1--- Ignorance
2--- Curiosity
3-- knowledge.
Ignorance ni yule anayeamini na kutenda mambo ya kijinga bila kujua na hataki kujua wala kujishughulisha kutaka kujua.
Curious ni yule aliyetoka kwenye ujinga na anataka kujua, hapa sasa ndipo ule msemo unapo hold kwamba "kuuliza sio ujinga" anayeuliza sio mjinga.
Knowledge hii ni hatua ya mtu baada ya kujua anakuwa mwerevu, lakini akishajulishwaa na akarudia kwenye Ignorance huyo anakuwa ignorant.
Sasa tufanye wewe hukuwa unajua kama Mungu hajaumbwa, na ukawa unahoji kuumbwa kwake, je na wewe ulikuwa; lying (Mdanganyaji), deceiver (Muingopeaji), un intellectual (usiye na taaluma), a sophist nk???--- kwa kuhoji tu unapewa hayo majina???--- je vipi yule ambaye anasema na kuamini kwamba Mungu kaumbwa, tumuite nani???
Soma vizuri swali lako hilo kisha onyesha ukweli wa swali lako, kama dhana basi kaa nayo.
Soma vizuri swali lako hilo kisha onyesha ukweli wa swali lako, kama dhana basi kaa nayo.
Inaonekana hujalewa nilichokiandika.
Inaonekana hujalewa nilichokiandika.
Namaanisha haya :
1. Ulichoandika una uhakika nacho au una dhani ?
2. Swali lako linataka uthibitisho kwanza kinyume chake halina maana na umeandika uongo.
Kwahiyo siko huko ulipofikiria.
Ahsante.
Wote wanaingia humo. Kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Kijana mbona unaruka ruka sana na kuandika mambo yasiyo husiana, nani amekwambia kila mwenye kuhoji ni mjinga ? Wapi kumeandikwa hivyo ? Hapo ameitwa mjinga na sifa hizo huyo anae uliza kuumbwa kwa Mola, elewa maneno usipoteze muda kuandika ujinga. Kumbuka hapa nakusaidia kufikiri vizuri.
Wewe unaingia katika sifa hizo, kwanza wewe ni muongo sababu unauliza swali la uongo, pili wewe ni mjinga sababu humjui Mopa ni nani.
Mimi nimesema hakuna ushahidi alikuwepo...sasa kama unabisha weka ushahidi kama alikuwepo..usiombe ushahidi tena kwangu ninayesema hakuwepoThibitisha kauli yako.