Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Hoja ndiyo hiyo kwamba, iweje kuhoji kwa mtu kuhusu Mungu kuumbwa uwe ni ujinga, uongo, udanganyifu, kukosa taaluma na sophist??

Hebu toa maana ya Sophist kwa kiswahili. Mimi ninayo mashaka juu ya uelewa wako wa kiingereza ndiyo maana namuhitaji huyo uliyeenda kukopi na kupaste kwake aje hapa aeleze alikuwa na maana gani kutumia hayo maneno kwa mtu anayehoji hilo swali, au muulize na majibu yake uyaweke hapa.

Toka lini mtu anayetaka kujua kwa kuuliza aitwe mjinga??, unadhani waliosema; "kuuliza sio ujinga" ni Wapumbavu??--- akili ya binadamu sio ya kuku siku zote Huyo huyo Mungu kaifanya iwe inahoji mambo, na ndiyo chimbuko la maendeleo ya roho na mwili na mazingira.

Eti mtu anahoji Mungu kaumbwa?? Wewe kwa hiyo hoja yake umwite mjinga, Muongo, mdanganyifu, hana elimu, na Sophist in loose meaning.

Sasa tafsiri kwa Kiswahili "Sophist" katika uhalisia wake (in the first meaning uone).

Watu wanahoji Mungu hatokufa??, watu wanahoji Mungu hali,??nk--- hawa wanahitaji majibu ya kuridhisha sio kuwaita Wajinga, Waongo, wadanganyifu nk, maneno nasty kutamkwa na Muumini aliyeshiba Taqwa.
Wanajiwekea difference mechanism kwa sababu wanajua hawana majibu ya maswali wanayoulizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anajua ila anauliza kwa kejeli basi ni ujinga lakini kama mtu hajui ameuliza ni akili kubwa sana.
Mwanao wa miaka mitatu akikuuliza "baba sasa ivi kuna joto kilo ngapi"
Utamuona mjinga au utamfundisha?

Sasa swali la nani kamuumba Mungu sio la kijinga kwasababu sio kila mtu anajua,na inawezekana hata wewe hujui ila umekaririshwa kutouliza kama ambavyo huujui mchanganuo wa sadaka zinaenda wapi na huulizii.
Hahaha clap clap clap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya sasa eleza tukuelewe ni kwa namna gani mtu aulize; je Mungu kaumbwa??--- kwa kuuliza tu awe Muongo muongo, mpotoshaji, msanii, tapeli, mzandiki, barazuli nk??., wewe ndiye utaumbuka kwa Copy- paste zako kutoka kwenye mitandao kutoka kwa watu wasiojua dini, na kunathibisha hizo copy- paste zako kama kwamba ni Hadithi za mtume (saw)--- huku macho na povu zikikutoka kutetea bila ushahidi wa Qur'an wala hadithi.

Jibu hapo ueleweke ni kwa vipi, Mtu aulizapo hilo swali na awe Muongo muongo, awe tapeli, mpotoshaji, msanii nk??

Je ni kwa vipi unajua kama kila mtu aulizaye hilo swali anakuwa na hizo sifa tu baada ya kuuliza, je wewe umekuwa "aalimu ghaibu" na kujua yaliyomo mioyoni mwa waulizaji???

Kumbuka; aalimul ghaibu wa shahada ni sifa za Allah pekee.

Ukishindwa hayo maswali mpelekee huyo mwalimu wako au nasisitiza mlete hapa, kwanini hutaki kumleta au nipe e-mail address yake mimi mwenyewe nimlete hapa ukumbini.
Hahaaa zurri kashikwa pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vyema hizo copy- paste zako, wewe kiingereza hujui lakini unajibaraguza kuokoteza post za kiingereza na kuzituma humu bila kwanza kutafakari impact yake au kuuliza kwanza kutoka kwa wanaojua kiingereza, sasa unapigwa maswali unashindwa kujibu, Umeangukia mdomo pwaaa!!.---- mnanajipa sifa ya "Alghuyuub", sifa ya Allah pekee ya kujua mambo ya ghaibu, huo ni ushirikina na kibri.

Unasema maana ya Sophist ni mtu Muongo muongo, tapeli, mjanjamjanja nk.

1-----SWALI NI HILI UNAWEZAJE KUMJUA VIPI MTU ANAYEULIZA SWALI; " if God is the creator then who created the creator??" KWAMBA YEYE NI SOPHIST (yaani, muongo muongo, tapeli nk)??

2----SWALI LA PILI, JE KILA MTU DUNIANI ANAYEULIZA HILO SWALI NI SOPHIST, a lying, deceiver, devoid of intellect? ??

3---- SWALI LA TATU JE MTU AKIULIZA SWALI; je Mungu kazaliwa na nani??--- naye anakuwa Sophist, an Ignorant, devoid of intellect, a lying deceiver ???

Halafu ni vyema ukatoa tafsiri ya hiyo Copy--paste yako kwa Kiswahili, inawezekana uli copy tu kibubusa (dogmatically) bila kujua maana ya kikichoandikwa humo.

Sema kama huwezi kutoa tafsiri usaidiwe usione aibu.
Aisee hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yupo hakuumbwa bali yeye ndie muumbaji wa kila kitu kile tunachokijua na tusichokijua.
Hana mwanzo wala mwisho,hana mfano wa kitu chochote,hajulikana umbo wala muonekano wake.
 
Mungu ni nini kwanza?

Ili tujue yupo au hayupo, kwanza tupate definition.

Mungu ni nini?

Manake kuna Wahindi wanasema ng'ombe ni Mungu wao.

Na ng'ombe yupo.

Kwa definition hiyo, siwezi kubisha kusema kwamba Mungu huyo wa Wahindi hayupo.

Kwa hiyo, define Mungu kwanza.

Mungu ni nini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu yupo hakuumbwa bali yeye ndie muumbaji wa kila kitu kile tunachokijua na tusichokijua.
Hana mwanzo wala mwisho,hana mfano wa kitu chochote,hajulikana umbo wala muonekano wake.
Haya uliyoyasema ni imani yako tu au ndio ukweli? kama ni ukweli leta uthibitisho wa maneno yako.
 
Usicheke sana ukapasuka mbavu akampa shemeji kazi ya kukukanda maji moto.

Unasubiri hoja gani ???, hoja ndiyo hizo, zifanyie kazi.

Ngoja sasa nijaribu kuingia katika ile LINK uliyoiweka ili kama nitaweza kumpata huyo "Mwalimu wako" nimshawishi aingie humu jf halafu nijadiliane naye na wewe Mwanafunzi wake ukishuhudia ninavyomchakaza teacher wako vibaya, na tuone kama ataweza kujitetea kwa huo upuuzi wake, upuuzi usiokuwa na rejea yoyote ya kiislamu, (bida'a)---- kullu bida'a dhwalala wa kullu dhwalala fii nnar.

Ushauri wangu; Tafuta Waalimu wenye elimu sio hao waalimu wa mitandaoni usiowajua ambao inawezekana kwanza wakawa wanakunywa pombe na ndipo huandika hayo mambo ya ajabu (inconceivable).
Hahaa noted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya uliyoyasema ni imani yako tu au ndio ukweli? kama ni ukweli leta uthibitisho wa maneno yako.
Uthibitisho pekee ni kutokuonekana kwa mungu,kutokujulikana kwa mwanzo na mwisho wake na kutokujulikana muonekano wala umbo lake,lakini kama angekuwa anajulikana katika hayo basi asingekuwa Mungu tena.
 
Back
Top Bottom