Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Tuko pamoja hapa nawataka waje Wakana Mungu ambao huwa wanataka kujua ya kuwa kilichopo kina chanzo,wakati ukweli ni kinyume chake.Muumbaji ni mmoja tu MWENYEZIMUNGU
Wahusika wakiona wataipeleka hii mada sehemu husika.
Mbona nimekujibu soma vizuri na uelewe usisome ili uulize swali.Safi kabisa, umejuaje kama ni kitu cha kufikirika ?
Hujajibu swali hili, wewe umeelezea kuhusu kufikirika.Mbona nimekujibu soma vizuri na uelewe usisome ili uulize swali.
Ungeandika kua unakubaliana na majibu hayo kutoka kwenye hiyo site uliyo copy na kupaste nisingeulizaHayo ndio majibu yangu na huo ndio msimamo wangu, sasa unapotaka majibu yangu wakati majibu yapo huko juu ni kupoteza muda.
Tuendelee.
Unawaza kitoto sana, soma nilichomalizia katika hii mada, shida yako unapenda kupoteza muda ilimradi tu uandike mwisho wa siku unapoteza umakino kama hivi.Ungeandika kua unakubaliana na majibu hayo kutoka kwenye hiyo site uliyo copy na kupaste nisingeuliza
Ulichomalizia kwenye mada yako ni hikiUnawaza kitoto sana, soma nilichomalizia katika hii mada, shida yako unapenda kupoteza muda ilimradi tu uandike mwisho wa siku unapoteza umakino kama hivi.
Hii...future lawyer said:My fello hii
Umeshajua majibu yangu ni yapi kuhusu swali lako ?Ulichomalizia kwenye mada yako ni hiki
"Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.
Ahsante.
Jurjani (Zurri)"
Nukuu hii haijibu swali langu ambalo mi nimekuuliza
Kwa chini hapo nimeandika kua nukuu hiyo haijibu swali langu sijui ka umeionaUmeshajua majibu yangu ni yapi kuhusu swali lako ?
Safi kwa kujua majibu yangu juu ta hili linalo jadiliwa katika hii mada.Kwa chini hapo nimeandika kua nukuu hiyo haijibu swali langu sijui ka umeiona
Yule ambaye ni wa mwanzo asie na mwanzo kabla yake na wa mwisho asie na cha mwisho baada yake, yule ambae ameumba mbingu na ardhi na vilivyomo, yule ambaye anajua yaliyopo, yaliyopita, yajayo na yale ambayo hayapo na laiti kama yangeukwepo anajua yangekuwaje. Huyu ni Allah aliye juu.In Greek mythology there are many gods. They are born but immortal. Which God are you talking here. A Muslim God (Allah) or Christian God (Jesus)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo.Naelewa mistari kisha naichambua kwa akili yangu mwenyewe kupata kitu cha ukweli.
Hata Bible na Qur'an kuna vitu nakubaliana navyo, vingine navikataa.
Pambana na hali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ?Hilo swali achana nalo, ishia hapo hapo.
Kumpa mtu sifa anayo stahiki haijawahi kuwa tusi, labda utuambie umeegemea wapi mpaka ukahitimisha hayo ni matusi ?Hiyo ni lugha ya matusi unaposema kila anayehoji; "Mungu kaumbwa na nani" ni; ignorant, unintellectual, a lying deceiver, a sophist.
Wewe naona unaingia kwenye sifa hizi. Nakuuliza swali "Mjinga" ni tusi ? Hasa akiambiwa mjinga yule ambaye ni mjinga ? Hili sio tusi bali ni haki ya mjinga kuitwa mjinga, kwani maana ya mjinga ni yule asie kuwa na elimu ya jambo fulani huyo ni mjinga juu ya elimu hiyo. Sasa usilete hisia kwenye mambo ya kielimu.Huyo aliyeandika hayo ndiye ignorant na sophist, kwani ni nani mwenye "dynamic mind" hata siku moja asikae na kutafakari;
Sio kila majibu huletwa baada ya kutafakari juu ta jambo fulani, hilo unatakiwa uliwekee ushahidi, kinyume na hapo hii inakuwa dhana mufilisi. Ndio maana sisi kauli yetu huwa tunasema hivi "Elimu kwanza kabla ya kauli na kutenda". Kuba wengine hawajawahi kufikiria huu ujinga, sababu walipata kwanza Elimu juu ya hii, mmoja wapo ni mimi, sijawahi kufikiria ya kuwa Allah ameumbwa, sababu nilianza kumjua kwanza Allah. Kwahiyo usiwe unaandika mambo ambayo tukikuomba ushahidi huwezi kutoa, kwanza haya ni matumizi mabaya ya akili. Fikiri kwanza kabla ya kuandika.bila shaka hata yeye mwenyewe amepata kuhoji hilo swali ndipo akaja na jibu kwamba Mungu ni eternal na akaweza kunukuu hiyo aya ya Qur'an,
Naona unaunga mkono nikichokiandika, na kwakutokielewa ulivho kiandika ni kuwa unae msema sasa hivi sio mjinga tena wa hili, kwahiyo hao wanao hoji kuumbwa kwa Allah bado wanabaki kuwa wajinga. Laiti kama ungefiktiri kabla naamini usingeandika huu ujinga.bila ya hiyo aya si bado angekuwa katika ujinga wa kutojua jibu la vipi Mungu aliumbwa au hajaumbwa.
Poa.Huyo jamaa kaandika nonsensical.
Kumpa mtu sifa anayo stahiki haijawahi kuwa tusi, labda utuambie umeegemea wapi mpaka ukahitimisha hayo ni matusi ?
Wewe naona unaingia kwenye sifa hizi. Nakuuliza swali "Mjinga" ni tusi ? Hasa akiambiwa mjinga yule ambaye ni mjinga ? Hili sio tusi bali ni haki ya mjinga kuitwa mjinga, kwani maana ya mjinga ni yule asie kuwa na elimu ya jambo fulani huyo ni mjinga juu ya elimu hiyo. Sasa usilete hisia kwenye mambo ya kielimu.
Hatuhoji juu ya kutafakari bali tunahoji juu ya kutafakari nini, ubatakiwa umaizi hapa. Anae tafakari juu ya uongi na ujinga kisha akausambaza ujinga huo huyo ni mjinga tena mzandiki.
Sio kila majibu huletwa baada ya kutafakari juu ta jambo fulani, hilo unatakiwa uliwekee ushahidi, kinyume na hapo hii inakuwa dhana mufilisi. Ndio maana sisi kauli yetu huwa tunasema hivi "Elimu kwanza kabla ya kauli na kutenda". Kuba wengine hawajawahi kufikiria huu ujinga, sababu walipata kwanza Elimu juu ya hii, mmoja wapo ni mimi, sijawahi kufikiria ya kuwa Allah ameumbwa, sababu nilianza kumjua kwanza Allah. Kwahiyo usiwe unaandika mambo ambayo tukikuomba ushahidi huwezi kutoa, kwanza haya ni matumizi mabaya ya akili. Fikiri kwanza kabla ya kuandika.
Naona unaunga mkono nikichokiandika, na kwakutokielewa ulivho kiandika ni kuwa unae msema sasa hivi sio mjinga tena wa hili, kwahiyo hao wanao hoji kuumbwa kwa Allah bado wanabaki kuwa wajinga. Laiti kama ungefiktiri kabla naamini usingeandika huu ujinga.
Poa.
Majibu yako yapi hayo?Safi kwa kujua majibu yangu juu ta hili linalo jadiliwa katika hii mada.
Tuendelee....