Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

God is a myth, Mungu huibuka pale tu ukoma wa kufikiri wa mwanadamu unapofika lakìni in real Hakuna mungu
 
Mungu ni roho(energy) yaani ni nishati hai na tafsiri ya nishati kwa kiingereza inasema hivi... Energy can neither be created nor destroyed.. It can only be transformed
Kwamba Mungu ni nishati (hai) na nishati haiumbwi wala haiharibiri bali huweza tu kubadilika ama kubadilishwa.... Mungu sio mwili Mungu ni roho na roho haiumbwi wala haiharibiwi (haiharibiki)

Jr
Asante Mkuu, nilishapendekeza kwamba katika mitaala yetu basi somo la Ulimwengu usioonekana lifundishwe mashuleni hadi vyuoni.

Kwa mfano katika hii hoja ni wachangiaji wachache sana wanaweza kutofautisha kati ya Roho na Moyo.. pia maana ya nafsi...etc
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
Yeye ni alpha na Omega,wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwepo,yupo na atakuwepo milele ma milele.
 
Sasa kama unashindwa kujibu hoja zangu na huelewi unachokiandika,utawezaje kujadiliana na wakubwa zangu, acha kuikosea adabu elimu kijana.

Unachotakiwa kufanya muda huu ni kujenga hoja na sio hisia za malalamiko.

Nipo hapa nasubiri hoja.

Hoja ndiyo hiyo kwamba, iweje kuhoji kwa mtu kuhusu Mungu kuumbwa uwe ni ujinga, uongo, udanganyifu, kukosa taaluma na sophist??

Hebu toa maana ya Sophist kwa kiswahili. Mimi ninayo mashaka juu ya uelewa wako wa kiingereza ndiyo maana namuhitaji huyo uliyeenda kukopi na kupaste kwake aje hapa aeleze alikuwa na maana gani kutumia hayo maneno kwa mtu anayehoji hilo swali, au muulize na majibu yake uyaweke hapa.

Toka lini mtu anayetaka kujua kwa kuuliza aitwe mjinga??, unadhani waliosema; "kuuliza sio ujinga" ni Wapumbavu??--- akili ya binadamu sio ya kuku siku zote Huyo huyo Mungu kaifanya iwe inahoji mambo, na ndiyo chimbuko la maendeleo ya roho na mwili na mazingira.

Eti mtu anahoji Mungu kaumbwa?? Wewe kwa hiyo hoja yake umwite mjinga, Muongo, mdanganyifu, hana elimu, na Sophist in loose meaning.

Sasa tafsiri kwa Kiswahili "Sophist" katika uhalisia wake (in the first meaning uone).

Watu wanahoji Mungu hatokufa??, watu wanahoji Mungu hali,??nk--- hawa wanahitaji majibu ya kuridhisha sio kuwaita Wajinga, Waongo, wadanganyifu nk, maneno nasty kutamkwa na Muumini aliyeshiba Taqwa.
 
Ndiyo maana nakwambia masuala ya Mungu yupo ama hayupo ni IMANI na imani haionelani kwa macho...sasa ukitaka kuhakikisha kwamba kweli yupo ama lah ni suala la kujiua ili ukahakikishe mwenyewe kwa macho yako...hakuna njia nyingine !!
Kwani imani ni nini ? Ina maana kila kisicho onekana hakiongeleki nje ya imani ?

Unakubali kama hujui chochote kuhusu Mola ? Ili upewe elimu ?
 
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs return back to Him: (وَأَنَّ إِلَىٰ رَبِّكَ ٱلْمُنتَهَىٰ) "And that to your Lord is the return (of all beings and affairs) (and of all perfections in attributes)." (53:42).

Thus to ask who or what created something that is uncreated is the way of:
a) an ignorant person devoid of intellect,
b) a lying deceiver, a sophist.

Note : Maelezo haya mafupi nime "copy" na ku "paste" toka kwenye tovuti iitwayo "www.aboutatheism.net", mnaweza tembelea huko mpate faida.

Tujadili hili, kwa wale wote ambao huuliza swali hilo, waje watuambie kwanini wanauliza swali hilo.

Ahsante.

Jurjani (Zurri)
wote hatuna taarifa za chanzo chake hata kama tutajadili tunajazana upepo tu basi. na kama workdone is equal to zero basi tumejisumbua bure.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Hoja ndiyo hiyo kwamba, iweje kuhoji kwa mtu kuhusu Mungu kuumbwa uwe ni ujinga, uongo, udanganyifu, kukosa taaluma na sophist??
Nacheka sana, ngoja nikupe mfano :
1. Je baba ni mkubwa kuliko mtoto ?
2. Hivi kiwango cha joto la leo ni kilo ngapu ?
Haya maswali yanakupa ishara gani juu ya muulizaji ?

Nimeweka maana mbili huko juu za "Sophist" sasa wewe zikosoe, usitafute kichaka na kupoteza muda.
Hebu toa maana ya Sophist kwa kiswahili. Mimi ninayo mashaka juu ya uelewa wako wa kiingereza ndiyo maana namuhitaji huyo uliyeenda kukopi na kupaste kwake aje hapa aeleze alikuwa na maana gani kutumia hayo maneno kwa mtu anayehoji hilo swali, au muulize na majibu yake uyaweke hapa.
Nimeshaweka maana ya Sophist toka kwenye lugha ya Kiingereza, Kiswahili chake sina, naona unakimbia na kupoteza muda. Soma juu huko.
Toka lini mtu anayetaka kujua kwa kuuliza aitwe mjinga??, unadhani waliosema; "kuuliza sio ujinga" ni Wapumbavu??--- akili ya binadamu sio ya kuku siku zote Huyo huyo Mungu kaifanya iwe inahoji mambo, na ndiyo chimbuko la maendeleo ya roho na mwili na mazingira.
Walisahau baadhi ya vitu ndio maana tukasema ya kuwa kuuliza uliza hovyo si tabia nzuri na hupelekea kupotea kwa mtu.

Nakupa mfano wa kauli hii "Yule mwenyewe kusema kila anacho kiona hutosha kabisa kuwa Muongo". Unaelewa nini juu ya kauli hii adhim ?

Pili, naona hujadili mada zaidi ya kukimbia, hakuna aliye sema kuuliza ni ujinga, bali kile anacho uliza mtu hutupa ishara za hali ya mtu huyo, ndio maana tukasema mwenye mwenye kuuliza swali hilo a aingia humo na huwezi kumtoa humo ndio maana unaruka ruka tangu muda ule.
Watu wanahoji Mungu hatokufa??, watu wanahoji Mungu hali,??nk--- hawa wanahitaji majibu ya kuridhisha sio kuwaita Wajinga, Waongo, wadanganyifu nk, maneno nasty kutamkwa na Muumini aliyeshiba Taqwa.
Kwahiyo wanao hoji kuhusu kula kwa Allah wanamjua Allah au kufa kwa Allah wanamjua Allah ? Sasa sijui unafikiria kwa kutumia nini kijana ? Jalia mtu anataka kujua, je anakuwa mjinga juu ya kile anachotaka kukijua au anakuwa na elimu juu ya hicho anachotaka kukijua ? Kijana naona huna hoja unapoteza muda.
Sasa tafsiri kwa Kiswahili "Sophist" katika uhalisia wake (in the first meaning uone).
Nacheka sana aisee. Wewe ndio ulie jifaragua kwamba unaijua maana ya "Sophist" lakini kwa ujingacwako nimekuoa maana mbili za tamko hilo, lakini badala ya kukosoa maana nilizo kupa, unataka nikupe maana ya kiswahili ya tamko hilo, sasa sijui inasaidia nini wakati maelezo ya tamko hilo yaoo wazi. Kijana unatakiwa kuacha kudakia mambo usiyo yaweza, matokeo yake badala ya kujadili hoja, unataka nikuambie "Sophist" kwa Kiswahili. Mimi nasema hivi "Sijui Kiswahiki cha Sophist".

Tuendelee....
 
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.”
— Yohana 1:1 (Biblia Takatifu)
Una maanisha nini hapa ? Ufafanuzi tafadhali.
 
1. Hivi kiwango cha joto leo ni kilo ngapi ?
2. Hivi kati ya baba na mwana nani mkubwa ?
1.joto halipimwi kwa kilo bali kwa centigrade
2.baba ni mkubwa

Simple, haiihitaji complications, tena ntakuwa nimesaidia kuondoa ujinga wa muuliza swali. ila yeye atakuwa ameonesha akili kubwa sana kuuliza swali kwasababu asingeuliza asingeondolewa ujinga.
 
Aisee kazi ipo.
Kwahiyo hali ya muulizaji ni kuwa ana akili kubwa.

Ifikie hatua muwe mnaukubali ukweli na kuacha ubishi wa kitoto, kitendo ulicho kifanya ni kuchagua kuukataa ukweli.
 
Kama anajua ila anauliza kwa kejeli basi ni ujinga lakini kama mtu hajui ameuliza ni akili kubwa sana.
Mwanao wa miaka mitatu akikuuliza "baba sasa ivi kuna joto kilo ngapi"
Utamuona mjinga au utamfundisha?

Sasa swali la nani kamuumba Mungu sio la kijinga kwasababu sio kila mtu anajua,na inawezekana hata wewe hujui ila umekaririshwa kutouliza kama ambavyo huujui mchanganuo wa sadaka zinaenda wapi na huulizii.
 
Nacheka sana, ngoja nikupe mfano :
1. Je baba ni mkubwa kuliko mtoto ?
2. Hivi kiwango cha joto la leo ni kilo ngapu ?
Haya maswali yanakupa ishara gani juu ya muulizaji ?

Nimeweka maana mbili huko juu za "Sophist" sasa wewe zikosoe, usitafute kichaka na kupoteza muda.

Nimeshaweka maana ya Sophist toka kwenye lugha ya Kiingereza, Kiswahili chake sina, naona unakimbia na kupoteza muda. Soma juu huko.

Walisahau baadhi ya vitu ndio maana tukasema ya kuwa kuuliza uliza hovyo si tabia nzuri na hupelekea kupotea kwa mtu.

Nakupa mfano wa kauli hii "Yule mwenyewe kusema kila anacho kiona hutosha kabisa kuwa Muongo". Unaelewa nini juu ya kauli hii adhim ?

Pili, naona hujadili mada zaidi ya kukimbia, hakuna aliye sema kuuliza ni ujinga, bali kile anacho uliza mtu hutupa ishara za hali ya mtu huyo, ndio maana tukasema mwenye mwenye kuuliza swali hilo a aingia humo na huwezi kumtoa humo ndio maana unaruka ruka tangu muda ule.

Kwahiyo wanao hoji kuhusu kula kwa Allah wanamjua Allah au kufa kwa Allah wanamjua Allah ? Sasa sijui unafikiria kwa kutumia nini kijana ? Jalia mtu anataka kujua, je anakuwa mjinga juu ya kile anachotaka kukijua au anakuwa na elimu juu ya hicho anachotaka kukijua ? Kijana naona huna hoja unapoteza muda.

Nacheka sana aisee. Wewe ndio ulie jifaragua kwamba unaijua maana ya "Sophist" lakini kwa ujingacwako nimekuoa maana mbili za tamko hilo, lakini badala ya kukosoa maana nilizo kupa, unataka nikupe maana ya kiswahili ya tamko hilo, sasa sijui inasaidia nini wakati maelezo ya tamko hilo yaoo wazi. Kijana unatakiwa kuacha kudakia mambo usiyo yaweza, matokeo yake badala ya kujadili hoja, unataka nikuambie "Sophist" kwa Kiswahili. Mimi nasema hivi "Sijui Kiswahiki cha Sophist".

Tuendelee....

Mtu anauliza, Baba namtoto yupi mkubwa??, joto la nje ni kilo ngapi??--- kuna ishara gani kwa muulizaji??, Mtu huyo anaashiria kutaka kujua majibu ya hayo maswali, kutaka kwake kujua hauitwi "ujinga" udanganyifu, uongo, umaamuma, sophist nk.kama jinsi wewe na huyo Mwalimu wako unavyotaka kutuaminisha, Kuuliza sio ujinga bali ujinga ni kutojua na kung'ang'ania kutokuuliza.

Muulizaji anajitoa katika kundi la ignorance (ujinga) mara anapouliza kutaka kujua asichojua huyo anaitwa "curious" na akishaelewa anaitwa Educated, etc.

Mtu asiyeuliza kwamba Mungu kaumbwa, na ashikilie imani hiyo kwamba Mungu kaumbwa huyo anaitwaje ndiye mjinga.

Maana yake ni hii, mtu ayeuliza yupo katikati ya ignorance na knowledge na katikati ndiyo inaitwa Curiosity.

Muulizaji anajitoa katika kundi la ujinga na anaitwa "curious". Ignorance is not curiosity or vise versa.

Unashindwa kutoa maana ya Sophist kwa kiswahili kwasababu huwezi kwani umezoea kukopi na kupest bila tafakuri ndiyo maana nasisitiza mwite huyo uliyekopi hiyo post nijadiliane naye hapa, bila shaka yeye atanielewa kwasababu post ni yake na aliiandika kwa kiingereza na wewe kiingereza huwezi.
 
Back
Top Bottom