Nani aliyemuumba Mungu?

Nani aliyemuumba Mungu?

Abdoool sina muda wa kuhangaika na koran
Okay, basi tuwekee hizo nukuu vizuri mzee, maana hatuoni marejeo ya hivyo katika kitabu cha Imaam Abuu Ja'afar bin Jarir at Tabari.
 
Sitaki kujadili kwa undani sana vitu ambavyo havina uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo kwanza ili tujadili kwa kina.

Kama huwezi kuthibitisha Mungu yupo, sitaki kujadili hadithi za kufikirika.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Mimi nimeuliza swali kwani Mungu hayupo? Badala ya kunijibu kama yupo au hayupo au hujui,Matokeo yake unaniambie nithibitishe uwepo wa Mungu!

Hujaniambie ni vp mimi niliyeuliza hilo swali natakiwa kuthibitisha uwepo wa Mungu? Unazungumzia kujadili kwa kina wakati hata nilichouliza hakijajibiwa sasa utazungumziaje kujadili kwa kina? Kipi cha kujadili kwa kina?

Mie nimeuliza tu na sio kukwambia tujadili kwa kina.
 
Mimi nimeuliza swali kwani Mungu hayupo? Badala ya kunijibu kama yupo au hayupo au hujui,Matokeo yake unaniambie nithibitishe uwepo wa Mungu!

Hujaniambie ni vp mimi niliyeuliza hilo swali natakiwa kuthibitisha uwepo wa Mungu? Unazungumzia kujadili wakati hata nilichouliza bado hakijajibiwa sasa utazungumziaje kujadili kwa kina? Kipi cha kujadili kwa kina?
Mungu ni nini kwanza?

Ili tujue yupo au hayupo, kwanza tupate definition.

Mungu ni nini?

Manake kuna Wahindi wanasema ng'ombe ni Mungu wao.

Na ng'ombe yupo.

Kwa definition hiyo, siwezi kubisha kusema kwamba Mungu huyo wa Wahindi hayupo.

Kwa hiyo, define Mungu kwanza.

Mungu ni nini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mungu ni nini kwanza?

Ili tujue yupo au hayupo, kwanza tupate definition.

Mungu ni nini?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Eh! Mbona wewe ulipotaka uthibitisho wa Mungu hukueleza Mungu ni nini ila ulienda moja kwa moja kutaka uthibitishiwe kwanza uwepo wa Mungu? Sasa mie baada ya kukuuliza kwani Mungu hayupo ndio unaleta hoja ya definition ya Mungu, sasa mwanzo ulipotaka uthibitisho tu hukujua definition ya hicho unachokusudia kupewa uthibitisho wake?
 
Uthibitisho wa Mungu unatakiwa kuanza na definition ya Mungu.

Kama huja define Mungu, huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Utathibitishaje kitu ambacho undefined?

Define Mungu ni nini. Halafu thibitisha yupo.

Mpaka sasa si tu hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Hujaweza hata ku define Mungu ni nini.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Okay, basi tuwekee hizo nukuu vizuri mzee, maana hatuoni marejeo ya hivyo katika kitabu cha Imaam Abuu Ja'afar bin Jarir at Tabari.
Tabari I:198 inasema: “I heard Muhammad say: ‘The first thing created by Allah was the Pen. (Nilimsikia Muhammad akisema: Kitu cha kwanza kuumbwa na Allah kilikuwa ni kalamu.)
.
Tabari I:204/Bukhari:V4B54N414

‘Allah existed while there was nothing else. His Throne was upon the water, and all that was going to be was written on the memorial Tablet before anything else was created. (Allah alikuwapo wakati kukiwa hamna kitu. Kiti chake kilikuwa juu ya maji, na vyote ambavyo vingekuwapo viliandikwa kwenye Kibao cha ukumbusho kabla ya kitu chochote kuumbwa.)

Huyu ndo jini la Makkah
 
Tatizo huvunji hoja,una ruka. Kwahiyo ile maana yako nayo umeokoteza ? Maana inaenda kinyume na hiki ulichokiweka hapa.

Almuhimu ni kuwa bado nasubiri hoja zako.

Kwa Maana ya asili ya neno Sophist ndiyo HASA mtu anayehoji kuumbwa kwa Mungu anatakiwa aiitwe na sio kwa maana za "kuokoteza", ninaposema za kuokoteza maana yake ni zile maana zisizo za asili za neno lolote (loose meaning).

Sasa huyo "Mwalimu wako" hajui kama kuna maana ya asili ya neno Sophist???---- kifupi ni kwamba huna Mwalimu, huna Mwalimu wa Lugha hata dini. Sababu hukumu alizotoa na wewe ukazichukua " Mazima mazima" ni mbovu kilugha na kidini pia.

Ushauri wangu kwako, unapoingia kwenye mitandao usichukue jambo lolote bila kulifanyia upembuzi kabla ya kuliweka hadharani na kulitetea, vinginevyo utaja sutwa udanganyifu kwa uongo wa mwingine.
 
Nimecheka sana. Nasibiri hoja.

Ahsante.
 
Tabari I:198 inasema: “I heard Muhammad say: ‘The first thing created by Allah was the Pen. (Nilimsikia Muhammad akisema: Kitu cha kwanza kuumbwa na Allah kilikuwa ni kalamu.)
.
Tabari I:204/Bukhari:V4B54N414

‘Allah existed while there was nothing else. His Throne was upon the water, and all that was going to be was written on the memorial Tablet before anything else was created. (Allah alikuwapo wakati kukiwa hamna kitu. Kiti chake kilikuwa juu ya maji, na vyote ambavyo vingekuwapo viliandikwa kwenye Kibao cha ukumbusho kabla ya kitu chochote kuumbwa.)

Huyu ndo jini la Makkah
Sasa hilo pepo la Makkah lililo umbwa na Uthman liko wapi hapo ?Ndio maana nikakuomba ushahidi, ona sasa kilichotokea.

Nipe ushahidi wa kile ulichokiandika, sio unaleta mambo mengine.
 
Uthibitisho wa Mungu unatakiwa kuanza na definition ya Mungu.

Kama huja define Mungu, huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Utathibitishaje kitu ambacho undefined?

Define Mungu ni nini. Halafu thibitisha yupo.

Mpaka sasa si tu hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Hujaweza hata ku define Mungu ni nini.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Kwani Mungu hayupo?

Hilo ndio swali nililokuuliza mie baada ya kuona comment yako unayotaka uthibitishiwe kama kwanza kama Mungu yupo, ila nashangaa unaniambia sijaweza kuthibitisha Mungu yupo mara sijui sijaweza ku define Mungu ni nini.
 
Nimecheka sana. Nasibiri hoja.

Ahsante.

Usicheke sana ukapasuka mbavu akampa shemeji kazi ya kukukanda maji moto.

Unasubiri hoja gani ???, hoja ndiyo hizo, zifanyie kazi.

Ngoja sasa nijaribu kuingia katika ile LINK uliyoiweka ili kama nitaweza kumpata huyo "Mwalimu wako" nimshawishi aingie humu jf halafu nijadiliane naye na wewe Mwanafunzi wake ukishuhudia ninavyomchakaza teacher wako vibaya, na tuone kama ataweza kujitetea kwa huo upuuzi wake, upuuzi usiokuwa na rejea yoyote ya kiislamu, (bida'a)---- kullu bida'a dhwalala wa kullu dhwalala fii nnar.

Ushauri wangu; Tafuta Waalimu wenye elimu sio hao waalimu wa mitandaoni usiowajua ambao inawezekana kwanza wakawa wanakunywa pombe na ndipo huandika hayo mambo ya ajabu (inconceivable).
 
Huna hoja kijana, unaweka maana kisha unaipinga na kuchagua maana, nakupangiana maana bila kukosoa maana. Hapa ndio nacheka sana.

Umeshindwa kujenga na kuandika makosa mengi, hujajibu maswali, unataka ujadiliane na wakubwa zangi, aisee acha kuikosea adabu elimu.

Naona umelivamia tena neno "bida'a" kijana. Kwanza kule juu ulirekebisha kutoka "Edward" kwenda "Richard" ?

Nasubiri hoja zako zinazo kosoa hili, kuanzia Qur'aan na Hadithi hujaweka tangu jana analialia tu.

Ahsante.
 
Kwani Mungu hayupo?

Hilo ndio swali nililokuuliza mie baada ya kuona comment yako unayotaka uthibitishiwe kama kwanza kama Mungu yupo, ila nashangaa unaniambia sijaweza kuthibitisha Mungu yupo mara sijui sijaweza ku define Mungu ni nini.
Unawezaje kujua kitu kipo au hakipo kama hujui hata hicho kitu ni nini?

1.Mungu ni nini?
2.Thibitisha Mungu yupo.
 
Sasa hilo pepo la Makkah lililo umbwa na Uthman liko wapi hapo ?Ndio maana nikakuomba ushahidi, ona sasa kilichotokea.

Nipe ushahidi wa kile ulichokiandika, sio unaleta mambo mengine.
Allah ni pepo, haiwezekaniMungu akafanya blunder kaka hizo soma vizuri.

Ni pepo pekee ndio linaweza kusema Mungu aliumba kalamu.
Kama umewahi kushuhudia wanaotolewa mapepo hutoshangaa kabisa nachokiandika
 
Kwanza omba radhi kwa kuandika UONGO.

pili, onyesha hizo blunder na utupe na marejeo yako.

Mwanzo kabisa niliandika allah ni pepo ambalo limeumbwa na Othman.

Sikubahatisha, kwanza Othman ndiye kaitengeneza hiyo koran unayoitumia sasa tatu katengeneza hizo blunder mbili kwanza ziko tatu moja nimeiweka kiporo.

Mungu aliyehai hawezi kufanya hizo blunder ni jini pekee.
Wewe unaamini cha kwanza kuumbwa ni kalamu? Unaamini Mungu anakaa kwenye wingu? Rubbish!
.
Nikijadili kama GT sasa allah ni pepo tu na pepo always huwa ni muharibifu hajengi anabomoa.
Imani yako imeanza na kubomoa kilichokuwepo na kuleta kitu kipya hiyo ni sifa ya pepo.
 
Unawezaje kujua kitu kipo au hakipo kama hujui hata hicho kitu ni nini?

1.Mungu ni nini?
2.Thibitisha Mungu yupo.
Kwani wewe ulivyotaka uthibitisho wa uwepo wa Mungu ulitoa definition ya Mungu kwanza kabla ya kutaka uthibitishiwe? Ulikuwa na definition gani ya Mungu wakati ulipotaka uthibitisho?
 
Mtu anayetaka uthibitisho wa kitu hahitaji kuwa na definition, kudai uthibitisho wa kitu ni kudai definition ya kitu, kwa sababu, hutakiwi kuthibitisha kitu bila kuki define.

Kwa hivyo, nilivyotaka uthibitisho Mungu yupo, hapo cha kwanza kujibiwa ilikuwa definition.

Wewe mpaka sasa hujaweza ku define Mungu ni nini na hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Define Mungu ni nini.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom