Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?
Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
Kati ya Mh. Kassim au Samiah?
Hili sio swali halali, tunaongozwa na katiba, likitokea lolote kwa presidaa, VP anachukua, hakuna hoja ya nani anafaa.

Hoja ya msingi ni kuna Watanzania wengi tuu, ambao ni presidential material, who would have made a better presidents than What we have had, lakini kufuatia utaratibu wetu wa kupata wagombea urais, we dont go for best, tunatafuta nani ni mwenzetu ukijumlisha na kanuni ya mserereko, watu hawajitokezi, na Rais Samia ni mpango wa Mungu kuupata urais kwa kudra yake, JPM asingechomoka, CCM isingesimamisha mgombea mwanamke hata mara moja!., kwa Samia imetokea tuu, hajaomba wala hajasailiwa, October tunakwenda kumpa.
P
 
Unajua katika maisha ya mwanadamu, unaweza kuwa na kilo mia moja lkn ukatulizwa na mtu mwenye kilo 45 tena na mikwala juu ukabaki unakashangaa tu lkn mesg clearly delivered
Alright. Nimekupata. Mambo ya TAL juzi mahakamani. Right?
 
Back
Top Bottom