Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,250
- 3,451
Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!?
Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama!"
Lissu "Nitaendelea kupigania ninachokiamini,nitaendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo vya wakoma hadi washami wakimbie,nitaendelea kumlipua Mwenyekiti hadi siku ya uchaguzi"
Nani adui wa Chadema!!?