Namuonea huruma mama Lucy Nkya

Namuonea huruma mama Lucy Nkya

kwani dr kondo vp, yuko wapi? aligombea nae kipindi kile, 2015 hana mpango ama?
 
Wewe mandla Jr ni moja ya wachumia tumbo ambao sijawai ona katika nchi hii.
 
Tishio lake ni nini?au hiyo elimu ya masters imekutisha?uzoefu wake ktk siasa na uongozi ukoje?
Naskia morogoro kusini ambako sasa hivi yupo Inocent karogelesi ataenda kugombea prospa Mbena afu kalogeres anaenda morogoro kusini mashariki kwa Lucy nkya
Ila hawa wote ni vimeo aisee yani hakuna hata mwenye afadhari.
Mfano kalogeresi
1.hajui hata kuongea wala kujenga hoja kuanzia jimboni kwake mpaka bungeni.
2.Syo mwenyeji wa morogoro kusini so halijui jimbo vizuri kuanzia wananchi,maeneo na matatizo yao.
3.Hana msaada kwa wananchi kwani kuna vijana wanashindwa mpaka kulipa ada kwenye shule za kata na wanafukuzwa shule ikiwa ni government skul lakini mbunge anauchapa usingizi tuu.
4.Elimu yake magumashi na yakuunga unga tuu.
5.Syo mbunifu wa kutatua kero za wananchi jimboni kwake na anafumbia macho maovu ikiwamo migogoro ya wakulima na wafugaji ilooanza kujitokeza kisaka pamoja na mauaji ya kikongwa bwakira juu

Ila inasemekana kuna kijana makini sana anaitwa James Mbena anajipanga kwenda kugombea jimbo la morogoro kusini kama cyo mwakani basi ni 2020..
Huyu kijana ni mzaliwa wa konde matombo morogoro na elimu yake ni:-
2001-2004 =O level matombo secondary

2005-2007=A level at Changarawe high school mafinga mkoani iringa

2007-2010=Bachelor degree in Political science and public administration from UDSM

2013-2014= Masters of science in Human Resources Management from Mzumbe university
Aisee hii ni CV yake kwa ufupi ila kiukweli huyu kijana ni tishio

Tishio lake nini?au unamaana ya elimu yake?tudadavulie uwezo wake kisiasa na kiuongozi.unaweza kuwa na elimu ya juu na ushindwe hata uongozi wa kifamilia!
 
Tishio lake ni nini?au hiyo elimu ya masters imekutisha?uzoefu wake ktk siasa na uongozi ukoje?

Tishio lake nini?au unamaana ya elimu yake?tudadavulie uwezo wake kisiasa na kiuongozi.unaweza kuwa na elimu ya juu na ushindwe hata uongozi wa kifamilia!
Mtu anaandika CV anaweka na masters yaani as if ni kitu kikubwa sana kwenye CV wakati hakuna hata rekodi yoyote ya utendaji halafu anasema huyu mtu anafaa. Etii ndo tishio huyu yaani hata sijaelewa anachoongea full mburura tu. Ina maana huyu ndo kasoma kuliko waluguru wote au
becky.gif
becky.gif
becky.gif
becky.gif
Yaani muanzisha thread ni kima tu hana kitu kichwani. Ila si kosa lake. Ndo akili za kiluguru na kikwere zilivyo:becky:. Na kwa vyeti bila rekodi ya uchapakazi hakutoshi kusema mtu fulani anafaa. Kama ni hivyo hata mimi masters ninayo. Ina maana nafaa kugombea ubunge. Watu wengine wana hoja nyepesi sana wanaongea utadhani wanafikiria kwa makalio.
 
Fleelander unaonekana ni mtaalamu wa mitusi kama job lusinde kibajaji.
Hongera sana mkuu pia kwa dharau zako kwa waluguru but we take it as a challenge to move forward.
Kama unataka kukosoa makabila kiuwezo wakiutawala kwanza fuatilia records zao coz raisi ni mkwere na katibu prospa Mbena ni mluguru na wanakuongoza wewe unaetoka kabila bora(kwa mtazamo wako)
Waluguru hatuna majivuno kama wananiii.....
TAWA usihangaike kujibizana na huyu mtu just piga kazi kamanda wangu ikiwezekana anzisha thread special tuwe tunajadili mustakabali wa morogoro kusini na wilaya yetu kwa ujumla.
Mtamba vipi wale watu wenye social influence kama korwa na ngata wanasapoti chama gani?
Wasalimie masela wa TAWA waambie tutakuja kuunganisha nguvu kupambana na mafisadi.
 
Mwendawanzhimu hi wakulonga nae baye.
 
Mtu anaandika CV anaweka na masters yaani as if ni kitu kikubwa sana kwenye CV wakati hakuna hata rekodi yoyote ya utendaji halafu anasema huyu mtu anafaa. Etii ndo tishio huyu yaani hata sijaelewa anachoongea full mburura tu. Ina maana huyu ndo kasoma kuliko waluguru wote au
becky.gif
becky.gif
becky.gif
becky.gif
Yaani muanzisha thread ni kima tu hana kitu kichwani. Ila si kosa lake. Ndo akili za kiluguru na kikwere zilivyo:becky:. Na kwa vyeti bila rekodi ya uchapakazi hakutoshi kusema mtu fulani anafaa. Kama ni hivyo hata mimi masters ninayo. Ina maana nafaa kugombea ubunge. Watu wengine wana hoja nyepesi sana wanaongea utadhani wanafikiria kwa makalio.

Ndg mbona umewekeza kwenye matusi na dharau? au ndio ulivyofunzwa kwenu.....! Jamaa kaleta hoja mjibu kwa hoja kejeli za makabila ya watu zanini?
 
Amenitukania mama yangu mzazi simwachi :becky:. Unafikiri anahitaji kuheshimiwa?:becky::becky: Nilikuwa nina mpango wa kutoendelea kama angenitukana mimi kama mimi. Amejifanya mwehu. Mi mwehu zaidi yake:becky: Mtu anayetaja viungo vya uzazi vya mama wa mwingine mimi siwezi kumheshimu hata kidogo. Hiyo post mpaka mod imebidi aifute
 
Unachuki binafsi na huyu mama. Ana utu na moyo wa upendo. kiukweli sina cha kusema zaidi ila mkuu huyu mama toka zamani nichaguo kipenzi cha wana morogoro na ataendelea kupendwa hata mwakani. Time will tell us the truth
 
Abood Mluguru wa matombo, Dewji..Mnyatu..?, Rostam..Mnyamwez.H.S.Sett- Mhehe wa Ipogoro, "L.Nkya nimwenyeji pale... haya ndo madhara ya kupigia chama, badala ya kiongozi anayetatua matatizo na kuleta maendeleo
 
Unachuki binafsi na huyu mama. Ana utu na moyo wa upendo. kiukweli sina cha kusema zaidi ila mkuu huyu mama toka zamani nichaguo kipenzi cha wana morogoro na ataendelea kupendwa hata mwakani. Time will tell us the truth

Inaonesha unaongea kishabiki au hujui nn unaongea kuhusu Lucy nkya. Wewe nawe ni walewale wachumia tumbo Wa tshirt na kofia za kijani.
 
Omar Mgumba mbona anaonekana kama amejiandaa kuchukua hiyo nafasi? Pilau zinalika haswa
 
Huyu Wa wapi naye? Maana hata hajulikani wala hasikiki.
 
Mnyika, Lema, Wenje, Mdee, n, k ni wazaliwa wa majimbo wanayoyaongoza?
 
Kaka unashindwa kujiongeza Kwa akili yako ndogo tu. Hayo majimbo yapo katika majiji ambako kuna mchanganyiko Wa watu wenye makabila tofauti lakini unapozungumzia Matombo tunajua wenyewe ni waluguru. Haya kawe wenyewe ni nani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom