MFIZIGO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 374
- 233
TAWA na Kisewe ni wajinga wanaoamini katika ukabila na ndio tatizo la Waluguru.
hawaoni Miji iiliyoendelea Arusha, Dar-es-salaam, Mwanza kunamakabila mchanganyiko ambako Waluguru hawapo huko.
Kuna Makabila ambayo yanajihusisha na Biashara au Siasa Waluguru hawapo
Cha muhimu waache roho mbaya, mgeni yeyote ni mtanzania
Huenda mawazo yako yapo sawa ila namna ambavyo umewasilisha ndiyo tatizo. huyu mama tunayemzungumzia ana takriban mwaka Wa kumi kama si kumi na tano lakini hakuna maendeleo zaidi ya kuwatumia waluguru kama daraja. Barabara mbovu, zahanati duni, majimbo yote mawili ya Moro (V) hakuna Shule hata moja ya high school. wilaya nzima vituo vya polisi ni vitatu tu.