Namuonea huruma mama Lucy Nkya

Namuonea huruma mama Lucy Nkya

Nachukia sana watu Wa dar wanapokuwa wasemaji Wa sisi watu Wa vijijini.

Kwanza nani kasema nipo dar, acha hoja nyepesi!!
Pili we we mwenyewe upo dar,
kama upo morogoro basi shukrani kwa Lucy nkya kwani waruguru sasa wanaingia Facebook na jamii forum.
Ama kweli tenda wema uendezako
 
Hapa inaonesha kabisa wewe hulijui ulisemalo kwa kuwa na chuki binafsi na roho mbaya
ukitaka nafasi hiyo UGOMBEE lakini sio kumpaka matope Mama wa watu
unafahamishwa wewe unapandikiza chuki na hasira kuwajibu Member wenzako
unalidhalilisha Jukwaa letu tunaonekana wote ni vvitoto chini ya miaka 18 visivyojiandikisha kupiga kura

Nafasi ipo wazi ingia, lakini kuweka Ukabila
Uluguru na Uzaramo mtabakia hayohayo

ukwaju wewe ni pilipili hana hoja huyu
 
Hii promo
Naskia morogoro kusini ambako sasa hivi yupo Inocent karogelesi ataenda kugombea prospa Mbena afu kalogeres anaenda morogoro kusini mashariki kwa Lucy nkya
Ila hawa wote ni vimeo aisee yani hakuna hata mwenye afadhari.
Mfano kalogeresi
1.hajui hata kuongea wala kujenga hoja kuanzia jimboni kwake mpaka bungeni.
2.Syo mwenyeji wa morogoro kusini so halijui jimbo vizuri kuanzia wananchi,maeneo na matatizo yao.
3.Hana msaada kwa wananchi kwani kuna vijana wanashindwa mpaka kulipa ada kwenye shule za kata na wanafukuzwa shule ikiwa ni government skul lakini mbunge anauchapa usingizi tuu.
4.Elimu yake magumashi na yakuunga unga tuu.
5.Syo mbunifu wa kutatua kero za wananchi jimboni kwake na anafumbia macho maovu ikiwamo migogoro ya wakulima na wafugaji ilooanza kujitokeza kisaka pamoja na mauaji ya kikongwa bwakira juu

Ila inasemekana kuna kijana makini sana anaitwa James Mbena anajipanga kwenda kugombea jimbo la morogoro kusini kama cyo mwakani basi ni 2020..
Huyu kijana ni mzaliwa wa konde matombo morogoro na elimu yake ni:-
2001-2004 =O level matombo secondary

2005-2007=A level at Changarawe high school mafinga mkoani iringa

2007-2010=Bachelor degree in Political science and public administration from UDSM

2013-2014= Masters of science in Human Resources Management from Mzumbe university
Aisee hii ni CV yake kwa ufupi ila kiukweli huyu kijana ni tishio
 
Kaka unashindwa kujiongeza Kwa akili yako ndogo tu. Hayo majimbo yapo katika majiji ambako kuna mchanganyiko Wa watu wenye makabila tofauti lakini unapozungumzia Matombo tunajua wenyewe ni waluguru. Haya kawe wenyewe ni nani?
Mama Nkya ataendelea kutawala na hakuna cha kuweza kufanya. Hebu kauze ndizi we Mloka acha porojo:becky::becky:
 
Mama Nkya ataendelea kutawala na hakuna cha kuweza kufanya. Hebu kauze ndizi we Mloka acha porojo:becky::becky:

Baada ya uchaguzi usije ukanambia mm ni mchawi kaka
 
Kama kuna wabunge Wa chama cha mapinduzi wenye wakati mgumu katika harakati za kurudi bungeni baada ya uchaguzi Mkuu Wa mwakani 2015 basi mbunge Wa morogoro kusini mashariki, mama Lucy Nkya ana kazi kubwa mno.
Huyu mama hakubaliki hata na watoto wadogo kwenye jimbo lake kwani:
1. Anahusishwa na kifo cha aliyekuwa diwani Wa kinole (ccm) Kwa kuwa walikuwa wakigombania nyumba ambayo mama alimuonga diwani huyo ili awashawishi wananchi ambao hawamtaki mama.
2. Mama nkya siyo mzawa Wa eneo husika hivyo watu Wa kiloka, mkuyuni pamoja na kinole ambao Kwa asili ni waluguru wamechoka kutawaliwa na Mgeni Kwa miaka sasa wakati eneo hilo lina wazawa wengi wenye sifa.
3.Hakuna maendeleo yoyote ambayo yamefanyika toka kuja Kwa mama huyu. Soko lililojengwa mkuyuni ni kazi nzuri ya mwenyekiti Wa kijiji (CUF) Kwa kushirikiana na diwani wake. Mama huyu haonekani jimboni.
KWA MAEKEZO HAYA, MAMA TAFUTA CHAKA MAPEMA.

Pumbafu kabisa.Karne hii bado unazungumzia ''uzawa'' unazungumza ''ukabila''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom