TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
- Thread starter
- #41
Daraja la mtombozi kule siyo la huyu mama. Jimbo la mama huyu linaanzia daraja la ruvu kurudi nyuma kama unaenda mjini.Yapo...Amejenga dispensary,Daraja la mtombozi linajengwa kwa mil 525 sasa,Barabara inaanza kuchongwa pia.Project ya bwawa imeanza na wananchi washalipwa