Inaonesha unaongea kishabiki au hujui nn unaongea kuhusu Lucy nkya. Wewe nawe ni walewale wachumia tumbo Wa tshirt na kofia za kijani.
Nipinge kwa facts sio matusi. mi sio mnazi wa chama gamba lakini sina ugomvi na mama huyu mtendaji shupavu
Inaonesha unaongea kishabiki au hujui nn unaongea kuhusu Lucy nkya. Wewe nawe ni walewale wachumia tumbo Wa tshirt na kofia za kijani.
Mwendawanzhimu hi wakulonga nae baye.
Weyaghe womsopa ayu gwe mleke
Hapa inaonesha kabisa wewe hulijui ulisemalo kwa kuwa na chuki binafsi na roho mbaya
ukitaka nafasi hiyo UGOMBEE lakini sio kumpaka matope Mama wa watu
unafahamishwa wewe unapandikiza chuki na hasira kuwajibu Member wenzako
unalidhalilisha Jukwaa letu tunaonekana wote ni vvitoto chini ya miaka 18 visivyojiandikisha kupiga kura
Nafasi ipo wazi ingia, lakini kuweka Ukabila Uluguru na Uzaramo mtabakia hayohayo
Ww unaishi dar cjui wapi. Mm nakaa eneo la tukio naishi na hao wapiga kura mm ni miongoni mwa hao wapiga kura wake, cjauona huo utumishi unaosema ww. Toka 2010 kaja juzi katika kura za maoni za ccm. Akija anafanya vikao vya ndani vya ccm anaondoka sasa ndio utumishi uliotukuka? Jiongeze bro acha kutumika.
Hovyo. Kwa akili yako kila anayemkosoa mbunge ama diwani basi anataka kugombea. Maccm mna akili za ajabu sana. Ctaki kugombea wala Cna mpango Wa kufanya siasa za Tanzania directly bro.
kama hutaki kufanya direct ndo ufanye za matope
siasa za udongo za mwanasesele
siasa za vitoto za chekechea jf so mahala pake peleka facebook
mngekuwa na akili kubwa angewashinda ubungeee tulia nije na factsHapakwi mtu matope hapa mm nakupa fact Mbona ww unapayuka bila kutoa evidences!? Nambie Kwa nn unamtetea huyu fisadi. Hakuna maendeleo hapa kwetu Kwa ajili ya hii mijitu yenye akili ndogo kuongoza watu wenye akili kubwa.
Huna fact kwenda hapa.
Huna fact kwenda hapa.
JF hatuko hivyo unaingia ili kuja kumbomoa mtu na hasira zakoHapakwi mtu matope hapa mm nakupa fact Mbona ww unapayuka bila kutoa evidences!? Nambie Kwa nn unamtetea huyu fisadi. Hakuna maendeleo hapa kwetu Kwa ajili ya hii mijitu yenye akili ndogo kuongoza watu wenye akili kubwa.
Hapakwi mtu matope hapa mm nakupa fact Mbona ww unapayuka bila kutoa evidences!? Nambie Kwa nn unamtetea huyu fisadi. Hakuna maendeleo hapa kwetu Kwa ajili ya hii mijitu yenye akili ndogo kuongoza watu wenye akili kubwa.
Hovyo. Kwa akili yako kila anayemkosoa mbunge ama diwani basi anataka kugombea. Maccm mna akili za ajabu sana. Ctaki kugombea wala Cna mpango Wa kufanya siasa za Tanzania directly bro.
[*]Inaonesha unaongea kishabiki au hujui nn unaongea kuhusu Lucy nkya. Wewe nawe ni walewale wachumia tumbo Wa tshirt na kofia za kijani.
Amenitukania mama yangu mzazi simwachi :becky:. Unafikiri anahitaji kuheshimiwa?:becky::becky: Nilikuwa nina mpango wa kutoendelea kama angenitukana mimi kama mimi. Amejifanya mwehu. Mi mwehu zaidi yake:becky: Mtu anayetaja viungo vya uzazi vya mama wa mwingine mimi siwezi kumheshimu hata kidogo. Hiyo post mpaka mod imebidi aifute
JF hatuko hivyo unaingia ili kuja kumbomoa mtu na hasira zako
ukiangali amajibu yako yote toka mwanza wa uzi huu ni kujaa chuki
km huna la kuwanufaisha Member ungekaa kimya, au uitoe Thread yako
lakini km Member na ni GT lazima ujibiwe huwezi kung'ang'ania ujinga na uchawi mnaouendekeza Waluguru mkaletea maendeleo mnayakataa
Wafugaji mnawafukuza
Wageni hamuwataki
kila siku kushinda kwenye vilinge vya walozi
Ni Mbunge gani wa kiluguru ambaye amewanyanyua mkaacha kukimbilia sokoni kuuza matunda na mbogamboga
maana hapa hujulikani unamkashifu nani member wenzako au Lucy Nkya, kuna Member hapa umemtukana na tukanyamaza tukijua ni punguani lakini kumbe ni kibaka tu unatafutia watu BAN nyuma ya keybody
GT hawako hivyo unalidharaulisha kabila lako, mnaokaa kufunga barabara wakati wamaasai wakichukua mashamba na hao wafukuzeni basi
Angalia profile yangu Dada Npo jf toka lini.