TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,674
- 1,572
- Thread starter
- #21
Naskia morogoro kusini ambako sasa hivi yupo Inocent karogelesi ataenda kugombea prospa Mbena afu kalogeres anaenda morogoro kusini mashariki kwa Lucy nkya
Ila hawa wote ni vimeo aisee yani hakuna hata mwenye afadhari.
Mfano kalogeresi
1.hajui hata kuongea wala kujenga hoja kuanzia jimboni kwake mpaka bungeni.
2.Syo mwenyeji wa morogoro kusini so halijui jimbo vizuri kuanzia wananchi,maeneo na matatizo yao.
3.Hana msaada kwa wananchi kwani kuna vijana wanashindwa mpaka kulipa ada kwenye shule za kata na wanafukuzwa shule ikiwa ni government skul lakini mbunge anauchapa usingizi tuu.
4.Elimu yake magumashi na yakuunga unga tuu.
5.Syo mbunifu wa kutatua kero za wananchi jimboni kwake na anafumbia macho maovu ikiwamo migogoro ya wakulima na wafugaji ilooanza kujitokeza kisaka pamoja na mauaji ya kikongwa bwakira juu
Ila inasemekana kuna kijana makini sana anaitwa James Mbena anajipanga kwenda kugombea jimbo la morogoro kusini kama cyo mwakani basi ni 2020..
Huyu kijana ni mzaliwa wa konde matombo morogoro na elimu yake ni:-
2001-2004 =O level matombo secondary
2005-2007=A level at Changarawe high school mafinga mkoani iringa
2007-2010=Bachelor degree in Political science and public administration from UDSM
2013-2014= Masters of science in Human Resources Management from Mzumbe university
Aisee hii ni CV yake kwa ufupi ila kiukweli huyu kijana ni tishio
Tafadhali kama yupo humu namshauri aachane na ccm Npo hapa mtamba kuna kampeni ya ccm na chadema, ccm hakuna hoja kabisa ila Kwa chadema watu nyomi na hoja tele