Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwita25, Oct 24, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu, Mwita25 hii nini tena. ?.
   
 3. l

  lasix JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  makubwa!
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,132
  Likes Received: 6,624
  Trophy Points: 280
  Mwita25 kumbe hii ndiyo tabia yako halisi
  siku zote ulikuwa unajificha tu.
  haya kitumbua gani hicho tena.
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hizi raha kwakweli Mungu alizipangilia. Yaani hata bila hela nikipata ile kitu mimi mwemwere, yaani faraja tosha
   
 6. MAMESHO

  MAMESHO Senior Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  :lol: hahhahhaaaaaaaaaaaaaa!!! lini umeanza kula wewe?? hhahaaaaa na samaki pia usisahau,, bata jee?
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwakweli Mungu ametupendelea sana wanaume, kitumbua kitamu sana jamani
   
 8. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mi kitumbua tu chanitosha
   
 9. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona kawaida sana!! kila mtu ana radha zake, kwa mfano mimi binafsi sioni kama kuna kitu kitamu kama kisamvu cha kopo. na nimesikia wadada wengi husifia matango. kwa hiyo usijidanganye kwamba utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  "Vitumbua"......labda wengine huwa wanaweka 'sukari' ndio maana vinakuwa 'vitamu'!.....lakini mbona kuna wengine wanasema vina "chumvi"! Au ni aina tu ya 'ulaji wa kitumbua' ndio inatofautisha?...Lol
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo anayeweka chumvi kitumbuani yampasa amuone Babu wa Loliondo.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  eh Mwita siasa naona zimekuwa ngumu
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Siasa bado zipo ila kitumbua nacho kipewe pongezi zake, tusikisahau.
   
 14. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwita kwenye siasa kumbe ulikuwa unapoteza muda,huku ndo kunakufaa.
   
 15. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Makubwa!!! Khaaa!
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Si bure, lazima kuna kitu kimetokea
   
 17. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kilabu cha pombe chajengwa eneo la shule ya msingi Bahi
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,829
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa afadhali ulitoka kwa Magamba maana ungekuwa saa hizi unasifia kitumbua ambacho umekipata toka kwa mke wa mtu!!!!
   
 19. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Makubwaa!
   
 20. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Mwita, hicho kitumbua unachokisifia ni cha mchele, mtama, au ngano????
   
Loading...