Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

Hizi ni siri ambazo unatakiwa ushiriki na mke wako haya unayoeleza hapa ni ushamba wa hicho kitu. Ukioa huwezi toa hizi komenti hapa kwani ushamba utakuwa umakutoka

mshamba ni wewe usiyejua raha ya mambo. Mwanaume aliyekamilika hawezi kuacha kusifia kitumbua wewe. Nina mashaka na meno yako hayawezi kutafuna kitumbua
 
Mwita 25 kitumbua kinakuwa kitamu zaidi kama muhusika anakuwa amevalia na shanga acha tu uuuu maana mate yanaweza kukutoka kabla ata ujala hilo tumbua...

Hee, shanga kwenye kitumbua tena? Makubwa
 
duh!! we Mwita leo umekuwaje? nimecheka sana hadi machozi yamenitoka.
 
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?

Mkuu hii itakuwa sumu tuu sio bure, itabidi tukufanyie mpango uende India na wewe, yaani haiwezekani kabisa Siasa ikusinde hivi hivi
Uanze ya kitumbua
 
Duh! Mkuu kitamu zaidi ni cha alfajiri. Nusura nichelewe kazini!!!?
 
raha ya kitumbua uwe hujakila kama miezi miwili mpaka mitano. Ila ukiwa unakila kila siku na mara kwa mara kama dawa ya kichwa basi hutakiona kitamu. msisahau pia kuna sambusa manyoya pia ni tamu sana
 
Back
Top Bottom