Namshukuru Mungu, kitumbua kitamu sana

I lyk u Mwita! Unabadilika badilika...leo uko kwenye vi2mbua! Hahaha! Mwee!
 
Duh,,kweli leo ni brown Monday,, i mean Monday imevaa kimini..hay bwana Mwita25..
 
Nishasema kitumbua hicho kimezidishiwa sukari, angalia usije ukapata kisukari bure ukafa kabla siku zako hazijafika tena ukiwa na kilo mbili!!!!
 
Mwita 25 kitumbua kinakuwa kitamu zaidi kama muhusika anakuwa amevalia na shanga acha tu uuuu maana mate yanaweza kukutoka kabla ata ujala hilo tumbua...
 
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza wanawake nao huwa wanapata utamu uleule ninaopata mimi?

Bado una hang-over ya wikendi?
 
Unga wa Mchele + sukari + hamila+ hiliki +maji ukichanganga ukaanga ukikaange na mafuta=KITUMBUA.......... Ndo hiki unachozungumzia au?Mbona kn vitamu zaidi.
 
mwita inaonesha ulivyokua unanjaa,siangekupa na kisamvu ushibe kabisa,afu uyo mpishi sijui atakua wa mkoa gani kwani wa kule kwenu MURAAA awajui ayo mapishi afu wanachakachua kitumbua.
 
UNGA WA MCHELE+ SUKARI+HILIKI+MAJI CHANGANYA KAANGA NA MAFUTA= UNAPATA KITUMBUA ndo hiki au?
 
Kwakweli Mungu ametupendelea sana wanaume, kitumbua kitamu sana jamani

Hizi ni siri ambazo unatakiwa ushiriki na mke wako haya unayoeleza hapa ni ushamba wa hicho kitu. Ukioa huwezi toa hizi komenti hapa kwani ushamba utakuwa umakutoka
 
Unga wa Mchele + sukari + hamila+ hiliki +maji ukichanganga ukaanga ukikaange na mafuta=KITUMBUA.......... Ndo hiki unachozungumzia au?Mbona kn vitamu zaidi.

yeye ameona kitumbua tu, labda hivyo vingine hajawahi kuvionja.
 
Back
Top Bottom