Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

na mchina kaleta sinoray ya gear sita unachomoka ka mshale laana....kikubwa chede...sema nayo kudanja ni sekunde sema nini mbaya ni mbaya tuu
Hahaha maisha ya mwanaume yana risk nyingi sana , kuna ma rider wana chede hatari , wanamiliki mabiashara makubwa mjini ya kuzugia , ila mpango upo kwenye shada janja.
 
Hahaha maisha ya mwanaume yana risk nyingi sana , kuna ma rider wana chede hatari , wanamiliki mabiashara makubwa mjini ya kuzugia , ila mpango upo kwenye shada janja.
mimi enyewe nataka ni tafute burungu moja used...niipige service alaf ni pimp.....nitafute raman ya mkokaa...wakinibamba nawaachia ....kama unataka kushiba pita njia halali ila kama unataka uhakika wa kushiba njia inajulikana kamanda
 
Kabisa mkali, mwanaume ni kuchagua kimoja , ufe au urudi na kibunda
 
Sensa ya 2022 ilionesha 49% ya watz wako chini ya miaka 18.

Nafikiri kuna mahali nilisoma waliopo chini ya 35 ni 70%.

Kuna wategemezi wengi sana, na chini ya CCM nchi haikui.

Hawa wategemezi watakapofikia utu uzima huku fursa ni chache, maisha yatakuwa magumu sana.
Sio kwamba hawajipangi, hili ni suala la kimfumo.
Ongeza nguvu kazi ya Tanzania ni watu milion 25 tu kati ya milion 65 hii inamaana zaidi ya watu milion 40 ni tegemezi. Hapo hapo wanaolipa kodi ya moja kwa moja ni milion mbili,, 😆
 
Sawa, nakubaliana na wewe maboda wengi wanapiga hela, hasa maeneo ya town na masoko makubwa. Hilo halina ubishi.
Lakini hoja yangu haikuwa kama wanaingiza au hawaingizi.
Hoja yangu ni hii
Je hiyo hela ni endelevu?
Akiumwa wiki moja tu, kipato kinakata
Ajali ikitokea, maisha yanabadilika ghafla
Pikipiki ikiharibika, income inasimama
Hakuna mfumo wa akiba au uwekezaji kwa wengi
Na ukweli mwingine, hata kama wanapata 40k–60k kwa siku, wengi wanatumia bila plan ndio maana wengine wanakaa miaka lakini bado hawana stability.
Kwa hiyo point sio “wana hela au hawana”.
Point ni wana mfumo wa hiyo hela kuwasaidia kesho?
Sustainability.
Sustainable income...

Jane ninakupm
 
Back
Top Bottom