Wewe unasema wazee lol
Kuna vijana, wanawake,na watu wanaoishi vijijini ambao umaskini umewafanya wawe Dependent CURRENTLY wala sio uzeeni..lol
Poverty ina affect financial literacy, in a sense that wale waliopata chance ya kusoma zaidi na kuwa na kazi inayolipa zaidi ndio wengi in average wanaojua saving/ banking access kuliko wasiosoma. sasa ukiangalia vizuri wale wasiosoma kupata elimu nzuri na kuwa na kazi nzuri wengi wanatoka kwenye familia maskini. In other words kuna watu wako disadvantaged earlier in their lives na hio inadetermine maisha yao ya uzeeni yatakuwaje..
Pia poverty ina affect maisha ya wengi mfano bodaboda sio kwamba wengine hawajui saving ila maisha yao wengi ni for survival, huwezi kufikiria uzeeni utakuwaje ilihali kuna intermediate needs ambazo hujazi cover/ meet.
Ingewezekana kabisaa bodaboda na watu wanaofanya kazi private sector wakalipa tax minimum amount na serikali ikawacover uzeeni kuwapa pension. Ila social protection kwenye nchi za kimaskini ni kama hakuna , wengi marais wanaotoka kwenye hizo nchi wanakimbilia chaka kwamba nchi ni maskini hivyo funds zinakuwa prioritised na haziwezi ku cover kila kitu WHILE TUNAONA VIONGOZI WAKI MISUSE PUBLIC FUNDS ....MSONYOOOOO